Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Hapa sasa naona kuna makundi mawili, moja likisema inawezekana ni JK hataki kuonana na Slaa.

Na jingine ni kuwa Slaa bado hataki kuonana na JK.

Na tukirudi nyuma kwenye matukio hayo, "tukachanganya na zetu" basi inawezekana tukapata mweleko flani.

Kuna wanaodai kuwa JK angetaka kuonana na Dr Slaa, basi angeweza muda wowote hata kumwita kwasababu yeye ni Rais, jambo moja wanalosahau ni kwamba JK hawezi kumwita Slaa bila sababu hata kama yeye ni rais.

Na tunachotizama hapa si wao kuitana, rather ni kwanini hawasalimiani hata pale inapotokea nafasi ya kuweza kufanya hivyo?

Kwanza kuna issue ya bungeni kuhusu kumtambua Rais mara baada a uchaguzi mkuu, pia kuna kauli kadhaa wa kadha kuwa uchaguzi haukuwa huru na uchakachuaji ulikuwepo, hilo pekee linapelekea confusions, na speculations kama hizi.

Walikwenda ikulu kuonana na JK, Slaa hakwenda.Mtu yeyote anaweza kuwa na tafsiri yoyote isiyo rasmi kwasababu ofcourse hata Zitto hakwenda na pia kuna watakaodai haikuwa na ulazima yeye Slaa kwenda, na kwamba hilo hali constitute yeye kutokutaka kuonana na JK etc.

Sikubaliani na wale wanaodai kuwa JK ndiyo hataki kuonana na Slaa kwasababu ushahidi wa kimazingira hauonyeshi hivyo.

Mara zote ambazo hawakukutana, ni Slaa ndiye aliyemiss, kwa mfano ikulu na kwenye mazishi na bungeni.

Haya yote si kwamba nina uhakika kuwa mkwepaji hapa ni Slaa, maybe not, or maybe yes...

Its a matter of disscussion.

BTW mimi sina chama na hivyo msishangazwe na neutrality yangu na maswali ambayo simply ni yenye kuleta changamoto zaidi towards finding any truth, if any at all!lol

kundi la tatu linaamini kutokusalimiana ni issue ndogo sana coz inaweza ikasababishwa na mazingira.
 
Watanzania tujue kudeal with priorities primary task ifakara ilikua kumzika kamanda Regia, RIP Kamanda, secondary task ndio kupeana mikono, mahug na kadhalika especial kwa wafiwa, kusalimiana Mhe Raisi angesalimiana na watu wangapi? unajua kuna protocal to be followed, uraisi ni taasisi bandungu iko miiko, raisi hawezi kunywa komoni kwa kopokezana kilita kwa mfano. Walitimiza primary task yes, secondary task yes, sasa shida ya baadhi ya watu mlitaka wakumbatiane au? Mhe Raisi chapa kazi, Doctor Slaa jenga Chama, mkitaka kusalimiana mnazo number zenu zs simu mtapigiana. Yaani issue hapa inakua kama mtu umekaribishwa chakula, ukapewa pilau then unaanza lalamika mbona hakuna kachumbari na ndizi. Nafikiria kwa kelele
 
hivi mkuu unaamini JK alishinda?
Sikuwepo mkuu na main source yangu ni hapa.

Kumbe ni kweli wengi wananchi wengi na hususan wana CHADEMA wanaamini kuwa mkulu alichakachua?

If so, then sioni kwanini tushangazwe na hili la coincidence, ama pia sasa maybe sitoshangazwa na wale wenye kuona kuwa hakuna umuhimu wa wao kukutana.

So maybe i was right following my guts, tatizo ni mimi kutokuwa na same level ya some info kuhusiana na siasa za bongo.
 
Sikuwepo mkuu na main source yangu ni hapa.

Kumbe ni kweli wengi wanaamini kuwa alichakachua?

If so, then sioni kwanini tushangazwe na hili la coincidence, ama pia sasa maybe sitoshangazwa na wale wenye kuona kuwa hakuna umuhimu wa wao kukutana.

So maybe i was right following my guts, tatizo ni mimi kutokuwa na same level ya some info kuhusiana na siasa za bongo.

wapiga kura 20milions waliojitokeza ni 8milions waliompigia kura JK ni 5milion plus kuchakachua, uchakachuaji ulikuwa wa wazi na hata tume ya uchaguzi walikiri kuchanganya data wakati wakutangaza matokeo ya majimbo, hiyo tu ni sifa kubwa kwamba hakushinda bali alipewa ushindi.
 
kwa issue sensitive km ya kuhesabu kura ilitakiwa tume kusitisha zoezi zima la kuhesabu kura, hawakufanya hivyo, hakuna cha coinsidence wala nini, Dr. kamkacha huyu mporaji wa haki.
 
wapiga kura 20milions waliojitokeza ni 8milions waliompigia kura JK ni 5milion plus kuchakachua, uchakachuaji ulikuwa wa wazi na hata tume ya uchaguzi walikiri kuchanganya data wakati wakutangaza matokeo ya majimbo, hiyo tu ni sifa kubwa kwamba hakushinda bali alipewa ushindi.
Duh!
Hii kali, sasa kuna haja gani ya kujidai kuwa walitaka kukutana kama situation ndo ilivyokuwa?

Come on nao Dr Slaa, what else could've gone wrong?

Ama ana hofu?

Route wanayoichukua si nzuri hata kidogo kwa wapambanaji.
 
Mimi sioni kama kuna issue ya msingi sana hapa. Mheshimiwa Raisi alienda kushiriki kama mazishi ya mheshimiwa mbunge na Dr Slaa alienda kwaajili ya hilo hilo. Kwenye msiba kuna watu wengi huwezi kusalimiana nao wote. Wapo viongozi wengine waandamizi wa Chadema ambao wana nafasi za juu kuliko Dr Slaa na walisalimiana na Mheshimiwa Raisi na wakapeana mikono mbona hilo hamsemi? Wapo pia watu wengine wa chini kama mimi ambao walisalimiana na Slaa na Mheshimiwa Raisi mbona hatusemi?


Dr Slaa kutokuhuzuria kikao juu ya mswaada wa Katiba ni mambo ya ndani ya mipangilio ya Chadema. Wapo viongozi wengine pia hawakuhudhuria. Sioni haja ya kujenga hisia kwamba alikuwa anamkwepa mh. Raisi. Kama ingekuwa hivyo Dr Slaa angesema wazi.
 
Hakuna kukutana naye wala kusalimiana jitu jizi la kura ka nini la kazi gani kulisalimia..yaaani unasalimia wezi
 
huyu pasco ndio Ulanga Ally/Ally Ulanga wa kule Wanabidii...
Cheze, hapa jf kutajana majina ya kudhania/halisi ya watu halisi ni kosa linaloitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.
 
Kama ni kweli this stuff is coincidence, then nataka ni bet na mtu kuwa hawatakaa wapeane mikono hadi 2015, whos's ready and willing for the bet?

Laki moja tshs?
 
Pasco huyo!!!
kazi maalumu!
Birigita ni kweli nilikwenda Ifakara sio kuhudhuria maziko wala sikuguswa na msiba ule bali nilikwenda kwa kazi maalum tuu ya kupiga picha JK akisalimiana na Dr!. Tena ni ofisi iligharimia kwa kutoa usafiri, chakula, na malazi, pia nilisaini masurufu na maduhuli na mwisho wa siku picha nikaikosa!.
 
Kitu ambacho sijakielewa ni kwa nini baadhi ya mashabiki wa JK na CCM wanaona kuwa JK anamiss kitu kwa vile Dr. Slaa hajapeana naye mkono? Kwa nini wanasubiri kwa hamu hilo litokee? Kwani JK amegeuka sanamu ya Nebukadneza?
 
Back
Top Bottom