Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Pasco,

..there is another opportunity ktk msiba wa Sumari.

..nashauri JK ashinde msibani siku mzima, na alale matanga kabisa, halafu tuone Slaa atakimbilia wapi.
 
Pasco,

..there is another opportunity ktk msiba wa Sumari.

..nashauri JK ashinde msibani siku mzima, na alale matanga kabisa, halafu tuone Slaa atakimbilia wapi.

hhahahahaaa! na kwanini Dr.slaa ahudhurie mazishi ya sumari? mbona sijamuona mkama msibani? au alikuwepo?
 
Kura za wanyonge alizozichakachua JK zitamtafuna milele.

Watanzania tuna vipaji sana vya kuwaza na kufikiria. Mheshimiwa DR SLAA mwenyewe alishalitolea jibu suala hili. Kwa kauli yake mwenyewe alisema kwamba hamkwepi Mheshimiwa Raisi bali yeye anachukulia mambo ya mazishi kama si sehemu ya kupatia manufaa ya kisiasa. Jibu hilo lingetosha maana hamna anayejua zaidi kwanini Slaa hakusalimiana na Mheshimiwa Raisi zaidi ya Dr Slaa mwenyewe.

Masuala ya uchaguzi mkuu mimi nashindwa kuelewa yanaimngiaje? Kama suala ni kwamba kura za wananchi zilichakachuliwa, hilo lisingekuwa suala la Dr Slaa peke yake bali chama chake chote. Lakini hatujiulizi? Kama tatizo ni hilo mbona kiongozi wa juu kabisa katika chama cha Chadema alipeana naye mkono. Kama sababu ingekuwa ni tofauti, basi ingekuwa ni tofauti binafsi kati ya Dr Slaa na Mheshimiwa Raisi na wala sio suala la uchaguzi. Lakini bahati nzuri Dr Slaa mwenyewe ameweka wazi. Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?
 
Kwani ni lazima kumsalimia? Kwanini JK yeye hakwenda kumsalimia Slaa au yeye ndo ana haki ya kusalimia, please be serious people
 
update:
Invisible, asante kwa taarifa hii.Wanajf wenzangu, ile much anticipated photo ya wakisalimiana, nilioitafuta kwa udi na uvumba, hatimaye nimeiona!. Roho yangu imetulia, tuliyoyasema kule nyuma hatimaye yametimia! Thread ya kutimia iko mbioni kupanda. wale wote mlionitukana sana pale mwanzo nilipoeleza Chadema Yakubali Yaishe!, Yamtambua Rasmi JK!. Mlio hai niombeni msamaha, waliotamgulia nimeshawasamehe!
Naitafuta ile thread yangu ya chadema wakubali yaishe
 
hhahahahaaa! Na kwanini dr.slaa ahudhurie mazishi ya sumari? Mbona sijamuona mkama msibani? Au alikuwepo?

heee alipiga kikofia cha kisharobaro
kavaa kitoz
mi nlidhan hamza kalala kucheck vzr
du kaka mkubwa mukama.lol ccm kwa
pamba hoyeeeeeee
 
Back
Top Bottom