Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Umeshaziona, rudi nyuma usome, ama unataka tu attention?

JF siyo sisi peke yetu na utambuwe kuwa wengine wanahitaji kuchangia na si kuja kusoma matusi yako.
 
Sijaona hoja zozote za maana toka kwako. Sorry.
 
Acha walioona wazijibu, kama huoni potezea tu, ndo raha ya JF.
 
Mimi nina hisa humu? Ushaanza kuona maruweruwe wewe. So much for a self proclaimed "great thinker".
Hii "nyumba" inaitwaje tena?Kusema wewe si great thinker ni opposite ya JF motto, so hilo si tatizo langu.
 
Kura za wanyonge alizozichakachua JK zitamtafuna milele.
Mabolio, aliyechakachua ni JK au NEC?. Wote walioshiriki pia si walikuwa na mawakala?. Mbona hawatio basi hizo takwimu zao ili tubaini tofauti?. Naomba usitonyeshe makovu ya vidonda vya uchaguzi uliopita, watu wanafunga safari mpaka vijijini kujaribu kutibu makovu wewe unataka kutonyesha?.
 
kwani Dr.Slaa alikwenda ifakara kwa ajili ya kusalimiana na kikwete ama kumsindikiza mpendwa wetu na mpamanaji na pia mtetezi wa wanamorogoro na watanzania wanaopigwa na kunyanyaswa na hiyo serikali ya ******
jamani eleweni mambo mengine kama magreat thinker sio kujadili jambo ambalo halina tija wala faida yeyote kwa wahusika think twice jameni ,kwani kama kulingana na mtizamo wako kama Dr.Slaa angesalimiana na Kikwete wewe ungelinufaikaje kwa wao kusalimiana au unadhani ni nani angepata faraja either kwa kusalimiana na mwenzake na nani ilimuumiza sana
 
kwani ,kwani kama kulingana na mtizamo wako kama Dr.Slaa angesalimiana na Kikwete wewe ungelinufaikaje kwa wao kusalimiana au unadhani ni nani angepata faraja either kwa kusalimiana na mwenzake na nani ilimuumiza sana
Mosachaoghoko, kama wangesalimiana mimi ningepata picha!. Kwani ule muafaka kati ya Maalim Seif na Karume kuna yoyote anajua walizungunza nini?. Tulionyeshwa tuu picha wakisalimiana na ilitosha kumaliza hostilities zote!. Na mimi ndio nilikuwa naitafuta tuu hiyo picha!. Nimesikitika sana kuikosa na hii thread yote page 21 sasa ni watu wanaochangia thread hii just kusoma tuu masikitiko yangu kuikosa ile picha!.
 
Why is it a big deal that they didn't exchange pleasantries?

NN, its about legitimacy. Remember Dr. Slaa never conceded defeat. Kikwete and his party colluded with NEC to ensure that presidential results were "somewhat" cooked. Kama watu wanakumbuka sana (na ninajua Watz mara nyingi hatukumbuki sana au hatuna uwezo mkubwa wa kukumbuka) kulikuwa na mazingira mabaya sana ambayo yalifanya mtindo mzima wa kutangaza matokeo ya Urais uwe mbovu na uoneshe kuwa kwa makusudi ulikuwa una lengo la kumbeba JK. Kikwete angeweza kushinda labda kwa asilimia 51 lakini ingetia aibu sana kwa mtu ambaye anaamini anapendwa sana. Niliandika kwa kirefu kuhusu hesabu za uchaguzi na wachache walielewa.

Kikwete ametangazwa kuwa ni mshindi, amepongeza na watu wengine (kumbuka US hawakumpa pongezi ya ushindi) n.k Lakini hakupewa pongezi ya ushindi na watu waliomatter - yaani CDM. Na katika CDM hakuna mtu ambaye angempa legitimacy kama Dr. Slaa. Hakukubali kushindwa kihalali (japo alitangaza mapema kuwa angeshinda kihalali angekubali) na hakutaka kuonekana anakubali kumlegitimize JK.

Kimsingi basi ni JK ambaye anatakiwa atafute legitimacy toka kwa Dr. Slaa! Yeye kama anataka kuonana na Dr. Slaa angempigia simu, wangezungumzia tofauti, angekubali udhaifu uliotokea na kuonesha kuwa ametambua kuwa uchaguzi wake ulikuwa na matata. Lakini ana act as if alishindwa kwa ushindi "mkubwa"!

Sasa kilichobakia ni kuwa kuna hamu na tamaa ya kuona Dr. Slaa anakubali tu kidogo kuwa JK alimshinda. Remember, hawagombanii kuwa Dr. Slaa amtambue kuwa ni Rais la hasha, wanagombania Dr. Slaa aoneshe kukubali kushindwa!

Hivyo, Dr. Slaa aende kwenye kuapishwa - aonyeshe amekubali kushindwa
Dr. Slaa aende Ikulu na kusalimiana na JK - aonyeshe kushindwa
Dr. Slaa amtafute Kikwete msibani amkumbatie na kupiga picha naye - aonyeshe kushindwa
Dr. Slaa aombe kukutana na Rais aoneshe kushindwa.

Wanachotaka ni Dr. Slaa aoneshe kushindwa na hivyo finally Kikwete awe legitimate. (soma mada yangu ya zamani ya "Illegimate" nilioandika baada ya uchaguzi). Kinyume na watu wanataka kuonesha kuwa ni about reconciliation na courtesy ukweli ni kuwa JK hataki kukutana na Slaa katika mazingira ya udugu na reconciliation; anataka kukutana naye hadharani na picha na makamera ili amuoneshe kuwa amekubali kushindwa!

Kikwete si huwa anatembelea ndugu jamaa na marafiki na hata mahospitalini. Well, anaweza kabisa kupanga kumtembelea Slaa nyumbani kwake bila camera, bila waandishi bila taarifa ya Ikulu. That WON'T HAPPEN I PROMISE! Kwa sababu haitamuonesha Slaa kashindwa.

Lakini kubwa ni kuwa watu wengi wanaotaka Slaa aonekane na Kikwete wanataka kufanya hivyo kwa sababu Slaa ndiye anahitaji kuonana na Kikwete. Hakuna ambaye ametuambia kuwa Kikwete anataka kuonana na Slaa na kwanini!
 
Asante Mwanakijiji kwa maelezo yako mazuri. Nimeelewa sasa.

Ila ina maana wangeonekana wanasalimiana msibani hiyo ndiyo ingekuwa kigezo cha reconciliation, legitimacy, na concession?

I don't know...I'm still kinda bewildered by all the fuss.
 
Sasa tuko ukurasa mmoja.

Hata hivyo si kweli hujaelezwa, umesahau nilipokwambia ni symbolically important?
 
Asante Mwanakijiji kwa maelezo yako mazuri. Nimeelewa sasa.

Ila ina maana wangeonekana wanasalimiana msibani hiyo ndiyo ingekuwa kigezo cha reconciliation, legitimacy, na concession?

I don't know...I'm still kinda bewildered by all the fuss.

Absolutely! Nakuambia hata kesho kwenye msiba huu wa Sumari, Dr. Slaa akienda na kumpa pole Rais Kikwete - genuinely kumpa pole - haitachukuliwa kuwa ni pole! itakuwa:

Hatimaye Slaa asalimu amri!
Slaa amtafuta Kikwete, ampa mkono
Hatimaye Dr. Slaa akubali kushindwa!
Slaa amwambia Kikwete 'wewe Rais'
Ikulu:"Slaa ampa pole Dr. Rais Kikwete"
Slaa apiga picha na Kikwete; aonekana na aibu

Kwenye maelezo ya picha

"Pichani Kulia aliyekuwa mgombea wa urais wa CDM Dr. Wilbrod Slaa akimpa mkono wa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Jakaya Mrisho Kikwete"
"Kikwete akisalimiana na mgombea aliyemshindwa kwenye uchaguzi mkuu Dr. Slaa wa CDM"
"Hatimaye Slaa aacha kumsusia Kikwete"

Its all about legitimacy. Ukitaka kuondoa hiili ni Kikwete amtafute Slaa na kuonana naye nje ya camera na ving'ora na vimulimuli!
 
Hahahaa siasa bana. It's all about jockeying for some kind of position. Hata misibani watu wanaangalia vifursa vya kujipatia vipoints fulani fulani.

But then I wonder which side is doing the most politicking? Perhaps the one which is seeking the legitimacy or whatever the hell it is.
 
Back
Top Bottom