jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
MKJJ, i knew this was gonna happen mara tu baada ya Pasco kuja na ile thread kuwa JK atayaongoza mazishi ya Regia.Absolutely! Nakuambia hata kesho kwenye msiba huu wa Sumari, Dr. Slaa akienda na kumpa pole Rais Kikwete - genuinely kumpa pole - haitachukuliwa kuwa ni pole! itakuwa:
Hatimaye Slaa asalimu amri!
Slaa amtafuta Kikwete, ampa mkono
Hatimaye Dr. Slaa akubali kushindwa!
Slaa amwambia Kikwete 'wewe Rais'
Ikulu:"Slaa ampa pole Dr. Rais Kikwete"
Slaa apiga picha na Kikwete; aonekana na aibu
Kwenye maelezo ya picha
"Pichani Kulia aliyekuwa mgombea wa urais wa CDM Dr. Wilbrod Slaa akimpa mkono wa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Jakaya Mrisho Kikwete"
"Kikwete akisalimiana na mgombea aliyemshindwa kwenye uchaguzi mkuu Dr. Slaa wa CDM"
"Hatimaye Slaa aacha kumsusia Kikwete"
Its all about legitimacy. Ukitaka kuondoa hiili ni Kikwete amtafute Slaa na kuonana naye nje ya camera na ving'ora na vimulimuli!
Na ni kweli yametokea kuwa there was more politics on the stuff, yani mazishi ilikuwa just a cover so to speak.
Lakini ni picha nk ndo vilikuwa vikiisubiriwa.