Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Jmushi ni nani angefaidika kisiasa kati ya Slaa na Kikwete kama wawili hao wangedalimiana on camera? Na ingekuwa faida gani?
JK angekuwa na faida zaidi kwasababu angeamini kuwa sasa aliyegombea urais kamtambua na maybe nchi itatawalika.

Kwa mtu mwenye caliber ya rais, kupiga picha inawezea kuwa mojawapo ya jambo lenye kubeba ujumbe, ie hatua nzuri "symbolically."
 
Nashangaa hasira zote hizo za nini?Ntakuripoti ukiendelea na matusi.
 
Nyani hakuna ulichosema hapo kinachoonyesha kuwa wewe ni great thinker.

Nimeshasema huko siji ng'oo!

Nakubali, mimi si greath thinker. Ma great thinkers hawajitambi kuwa wao ni ma great thinkers.

Wewe ni great thinker?
 
Huniwezi kwa hoja, matusi yes, na ntakuripoti hadi urudi kwenye hoja!
 
Nashangaa hasira zote hizo za nini?Ntakuripoti ukiendelea na matusi.

Acha vitisho vya kitoto. Wewe kama unataka kuripoti bonyeza kitufe. Unanitaarifu ili iweje sasa?

Na jibu swali langu, wewe ni great thinker Mangi?
 
Hunuiwezi kwa hoja, matusi yes, na ntakuripoti hadi urudi kwenye hoja!

Kusema sikuwezi kwa hoja si hoja kwani hivyo hata mimi naweza kusema.

Acha hoja zako ndiyo zithibitishe hilo na si vinginevyo. Wewe si ni Nguli wa hoja bana. Basi zijenge, ziache zisimame zenyewe kwa ubora wake na si kusema tu sikuwezi sikuwezi....jenga hoja, acha zisimame. Period.
 
Nimeshakuripoti, na sitaki mjadala na wewe wenye kuhusiana na mimi ama wewe, rudi kwenye hoja.
 
Umeshantukania mama yangu na ukoo wangu wote!Sitaki mjadala na wewe.

Don't take the easy way out.

Craft your arguments and then let them stand on their own merit since you claim the be the best of the best. Don't chicken out.
 
Nataka nijuwe kama ni rhuksa kutukana hayo matusi humu.
 
Nimeshakuripoti, na sitaki mjadala na wewe wenye kuhusiana na mimi ama wewe, rudi kwenye hoja.

Stop crying like a little girl. Let your arguments stand on their own and prove the whole JF world that you are better than me. I bet you can't do that. All you can do is say you are better. That don't impress me much.

Show me better than you can tell me Mangi boy.
 
g
Niliwaambia hii isssue juzi wakabisha, wakadai hayo ni mazishi tu wala hakuna politics, sasa imagine kama wangejipanga baada ya kusikiliza ushauri.

All in all, wasikilize ushauri wasisikilize, when it cost them, it just does and there is no any other way around it, kuna watu wanaosomea siasa na kuna ambao iko kwenye damu lol!

Si kila mtu mwenye kuelewa mambo ya siasa, wengine bakini tu huko Chit Chat lol!

Wengine Viazi, sorry kazi kweli kweli!
Hakika wewe jmushi uu miongoni mwa "wapatanishi"!. Kuna wengine wanapenda politics of confrotations wakati wengine tunapenda politics of reconciliation!.

"Heri Wapatanishi .....
 
Sitaki mjadala na wewe hadi ntakapopewa taarifa kwanini wengine wako immune wakitukana matusi ya nguoni, naona una share humu since uliwambia waihamishie hii thread kule chit chat na sasa unavurumisha haya matusi.
 
Ujidhaniavyo wala hufanani bwana mdogo. Hauna akili kihivyo.
 
Du kumbe si kwa makusudi. Bado lengo lao wote ni zuri juu ya Watz isipokuwa namna au njia watumiazo ni tofauti.
 
Mods mseme kama mnataka kukimbiza watu kwa ajili ya matusi, siwezi kujadilliana kwa style hii.

Ni kama kuna watu wanataka kuwaogopesha wengine washichangie, sasa nani anajuwa nani ni nani humu?

Ama mnataka tu na mimi nirudishe matusi ili mnifungie?
 
Sitaki mjadala na wewe hadi ntakapopewa taarifa kwanini wengine wako immune wakitukana matusi ya nguoni, naona una share humu since uliwambia waihamishie hii thread kule chit chat na sasa unavurumisha haya matusi.

Mimi nina hisa humu? Ushaanza kuona maruweruwe wewe. So much for a self proclaimed "great thinker".
 
Mods mseme kama mnataka kukimbiza watu kwa ajili ya matusi, siwezi kujadilliana kwa style hii.

Ni kama kuna watu wanataka kuwaogopesha wengine washichangie, sasa nani anajuwa nani ni nani humu?

Ama mnataka tu na mimi nirudishe matusi ili mnifungie?

You are not what you think you are boy. Not even remotely close.

The only thing you are good at is saying how good you are. Fact of the matter is, you ain't all that you think or say you are.
 
Haya matusi yote na uko immune?

Nimeshasema rudi kwenye hoja achana na mambo ya Mushi na Ngabu.
 
You are not what you think you are boy. Not even remotely close.

The only thing you are good at is saying how good you are. Fact of the matter is, you ain't all that you think or say you are.
Narudia tena, rudi kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom