“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

AD thanks for your thread that reminded me of my first kiss. It was way back when we were teens, actually the girl was our neibour a few blocks from where i lived. And she used to wear braces on her teeth. Her parents were very strict, so she had to sneak out, thanks to the help of the 'house gal' who we got along very well. She took off her braces and we passionately kissed! Oh it was so good!
 
Ashadii naona post inaendelea. Ngoja tupate uzoefu zaidi.
TF we huwezekani kabisa
 
Nimeolewa na nina watoto wa3 na kiukweli nilishawahi kuwa na wanaume tofauti...lakini i'll never 4get ur kisses in my whole life...it was the best thing i ever had...u really know how to kiss mysteryman(alitaja jina langu) n am dying wit jealous kwa huyo girlfriend wako najua anaenjoy sana......ilikua ni meseji kutoka kwa my ex gf.....
 
Hahahaha.... dogo langu siku ya arusi likampiga wife wake tongue kiss, kuja kutaharuki baba mkwe wake kishatoka ukumbini saa nyiiiiiiingi!
Ndio kibongobongo hvyo, ndo maana hata wakati wa kufungua music eti wakwe wanatoka, huwa sioni logic kabisa, hii imenifanya nikimwandalia harusi mtu music anafungua mwanzo kabisa wa sherehe ili wazazi wote wawepo, unaonaje hii soulmate wangu
 
Always huwa nasema kuwa raha itengeneneze na iendeleze
hata kama kuna maumivu jipe nafasi na jipe muda to seek the lost happiness by any cost
maisha mafupi kw anini ujipe tabu ya kukasirika na kukunja kunja sura
Jipe muda na tafuta mtu w akukupa kiss ambayo itakuondolea machungu yako yote hata kama umegombana na mtku kuna kiss unaweza pata ikaondoa hasira zote
Kweli kabisa, ukisubiria mtu akupe raha unaweza subiri miaka yote
nice one Mr Rocky
 
Klorokwin hapo chini haumalizi kusoma tu au unavizia makiss ya kwenye thread najua tokea umeenda Igunga kwenye shughuli ya ugawaji chakula makiss yamekuwa haba sana
 
Klorokwin hapo chini haumalizi kusoma tu au unavizia makiss ya kwenye thread najua tokea umeenda Igunga kwenye shughuli ya ugawaji chakula makiss yamekuwa haba sana
heheh ankal bana! hili lisredi wewe unazani nani anaweza akalisoma mwanzo mpaka mwisho? nimesoma page 2 za mwanzo tu.
 
Mie jana niliishia page ya 15 tangu asubuhi nasoma ndio nimemaliza sasa hivi, looo spead ilikuwa kali sana, ehe za igunga?
Watu wanaandika utazani internet hawalipii? khaaa! za igunga mpaka sasa salama ila gesti zimekuwa tabu sana. Watu wanaaga wanakwenda kampeni kumbe wanaishia gesti. Kama una mume wako kakuaga ameenda Igunga gaga imekula kwako aisee!
 
Back
Top Bottom