Khaaa! nani kachafua CV? I hope hakuichafua mbele ya Keren Happuch.
KH hajapitia kwenye hii siredi bana kwa hiyo hajaona na wala hataona wala usiwe na wasi wasi
Khaaa! nani kachafua CV? I hope hakuichafua mbele ya Keren Happuch.
Aisee acha tu! Ngoja nifanye mchakato wa kupata wa kukiss humu!
Thank you honey;mmmmmmwwwwwaaaaaaaaaaaaaaa
sweetie, unaharibu starehe yote ya jana sasa, mi nataka uendelee kama jana mimate siitaki kabisa, hiyo waachie ashadii na kaizerHivi mimate si ni sehemu ya juice ya kiss? Si wanasemaga mapenzi ni uchafu? Kesho ntakuachia mimate kikombe kimoja kwa friji ili ukinimisi ufungue friji na kujipatia SRM ya zarura (Sitachanganya na makohozi kama siku ile, nimeshapona TB usijali LOLZ)
Ye angoje aingie S...... nae utamwona atakavokuwa mpoleShemeji klorokwini tuwie radhi bana, tulichelewa si unajua tena mambo ya SRMs tulikuwa bado tunafeel memories. Haya nitumie invoice, Mr ameniachia maVISA cards nisawazishe! Usijezuia uhalalishaji wa hii kapo.
ODM na Gaga kuweni wapole paw kwa Klorokwin anatii mamlaka mjue
Unafanya mchezo upelekwe kule kote kwenye SRM halafu isitunge???Dah! Mkuu Mbu umetisha! inaonesha hasira za goonerz zote ulizielekeza kwenye uzazi wa mpangilio. Tuombe Mungu kababy ketu kasije kakachukua tabia za PAW.
tusemeni amen
Hahhahahahaha paw na nani sasa? Si unajua tena dada SRM inategemea na wahusika pia?! Mandhari nzuri, vitanda vizuri, upepo mwanana na candle lights pekee havitoshi bila kuwa na wahusika wachangamfu, walio alive ili vicheko vitawale, utani na vinogesho vingine??!Ye angoje aingie S...... nae utamwona atakavokuwa mpole
Unafanya mchezo upelekwe kule kote kwenye SRM halafu isitunge???
Dah kwa FF nimeshindwa mm, mambo ya kuomba kiss na kuambiwa unachekesha cyawezi!Kamanda si tuliibariki soulmate yako na faizafoxy wewe? imekuwaje?
Unafanya mchezo upelekwe kule kote kwenye SRM halafu isitunge???
Hahhahahahaha paw na nani sasa? Si unajua tena dada SRM inategemea na wahusika pia?! Mandhari nzuri, vitanda vizuri, upepo mwanana na candle lights pekee havitoshi bila kuwa na wahusika wachangamfu, walio alive ili vicheko vitawale, utani na vinogesho vingine??!
Wengine, the feeling is still going on ingawa tushajirudia kwenye real life ya kibanda cha mkaa na mgao wa umeme ati!!
Lol..............................unataka kusema He is a sharp shooter? lol
Mbu umenunua kesi hapa shauri yako hahahahaahahah. Watu wataanzatafuta jina la mtoto kungali alfajiri
Hahaha!!! Boss si unaona AshaDii amesubiria weee mwishowe naona kakata tamaa ameenda kulala mimi hapa nitakesha hadi asubuhi lol
Dah kwa FF nimeshindwa mm, mambo ya kuomba kiss na kuambiwa unachekesha cyawezi!
Hapa kijijini wananiita Lonado De Kaprio kwa utaalam wa idara hii ya denda. Yaani nikimkiss waifu wako basi hakyanani lazima neksti day akudai talaka.
Watu tuna vipaji mpaka tunajiogopa! khaaa!
Gotcha you! Nah nah nahu ar one daring boy! FF!!! nah nah nah...
Waonaje tukijaribu letu.
La aliezimia na aliezinduka.
OTIS.