“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Ni kaka tu soulmate taratibu sweet
Eheeee...... ukiniita hivyo najisikia raha zaidi ya unavyonikiss, hivi ulidamka saa ngapi manake nimestuka niko peke yangu kitandani.
 
I see you from a distance, jana ulimkiss nani mbona lips zimevimba
Khaa! Umesahau ulivyokuwa umening'ang'ania? Au ulizani unanyonya juice ya miwa?

Nani kabariki hii soulmates ya gaga na fellow tablet?
Fellow tablet huo ni wivu au unataka kujua. Wasimamizi wetu walikuwa Mbu na MJ1. Kama huamini muulize AshaDii shem wangu.........
 
Lawyer ambae amepewa mamlaka na JF kubariki soulmates couple ni mimi tu. Mbu na MJ1 wenyewe hawajamaliza ada zao hapa ofisini.
acha niwasiliane na Paw yaani mmevunja sheria muhim sana ya JF
 
Watu wanaandika utazani internet hawalipii? khaaa! za igunga mpaka sasa salama ila gesti zimekuwa tabu sana. Watu wanaaga wanakwenda kampeni kumbe wanaishia gesti. Kama una mume wako kakuaga ameenda Igunga gaga imekula kwako aisee!
Hahahaa anakusikia ujue hapa, nimemuwekea kufuli la solex bana, sasa ule ubwaubwa ulikuwa unagawa mbona hauna nyama?
 
Ni Uporoto bana! na hivi napost bado yuko rumande! ameomba dua zenu wanaJF.

Tugawie basi yale magunia ya mchele yaliyobaki kwenye ile tenda yako ya kusupply wali na pilau kwenye kampeni maana nasikia ndo yamekufanya ufungue mradi wa kuuza mchele mtaani
 
Khaa! Umesahau ulivyokuwa umening'ang'ania? Au ulizani unanyonya juice ya miwa?

Fellow tablet huo ni wivu au unataka kujua. Wasimamizi wetu walikuwa Mbu na MJ1. Kama huamini muulize AshaDii shem wangu.........
Mwambie kabisa tayari tushapata location ya SRM, tuna baraka zote toka kwa paw
 
Eheeee...... ukiniita hivyo najisikia raha zaidi ya unavyonikiss, hivi ulidamka saa ngapi manake nimestuka niko peke yangu kitandani.
Sikutaka kukusumbua maana yale makiss yalikuwa si ya kitoto, nimeshukuru tu kumbe hutemi mimate kweny kissing
 
Lawyer ambae amepewa mamlaka na JF kubariki soulmates couple ni mimi tu. Mbu na MJ1 wenyewe hawajamaliza ada zao hapa ofisini.
acha niwasiliane na Paw yaani mmevunja sheria muhim sana ya JF
Mie bana huwa sipendi kuonge sana, hebu msome sweetie hapa chini ......

Mwambie kabisa tayari tushapata location ya SRM, tuna baraka zote toka kwa paw
kwa Taarifa yako SRM = Sweet Romantic Moment kwa hisana ya soulmates.......... na hapa JF ziko mbili tu zinazomilikiwa na ODM na Mbu.
 
Sikutaka kukusumbua maana yale makiss yalikuwa si ya kitoto, nimeshukuru tu kumbe hutemi mimate kweny kissing
Hivi mimate si ni sehemu ya juice ya kiss? Si wanasemaga mapenzi ni uchafu? Kesho ntakuachia mimate kikombe kimoja kwa friji ili ukinimisi ufungue friji na kujipatia SRM ya zarura (Sitachanganya na makohozi kama siku ile, nimeshapona TB usijali LOLZ)
 
Hahahaa anakusikia ujue hapa, nimemuwekea kufuli la solex bana, sasa ule ubwaubwa ulikuwa unagawa mbona hauna nyama?

Tugawie basi yale magunia ya mchele yaliyobaki kwenye ile tenda yako ya kusupply wali na pilau kwenye kampeni maana nasikia ndo yamekufanya ufungue mradi wa kuuza mchele mtaani

Khaaa! nani kachafua CV? I hope hakuichafua mbele ya Keren Happuch.
 
.....our 1st kiss with our mouths full of chocolate lead us into this.... ...
Lawyer ambae amepewa mamlaka na JF kubariki soulmates couple ni mimi tu. Mbu na MJ1 wenyewe hawajamaliza ada zao hapa ofisini.
acha niwasiliane na Paw yaani mmevunja sheria muhim sana ya JF
....mmmnnnhhh?!....si usubiri basi mtoto azaliwe bana....tunaandaa cards za baby shower.
 
.....our 1st kiss with our mouths full of chocolate lead us into this.... .......mmmnnnhhh?!....si usubiri basi mtoto azaliwe bana....tunaandaa cards za baby shower.

Dah! Mkuu Mbu umetisha! inaonesha hasira za goonerz zote ulizielekeza kwenye uzazi wa mpangilio. Tuombe Mungu kababy ketu kasije kakachukua tabia za PAW.
tusemeni amen
 
Back
Top Bottom