yaani nyie wadada mkiamuaga mna mambo!! haya nendeni taratibu basi .. siku hizi MMU, under 18 wamejaa kibao humu!!
Tatizo la wanaume wa kiafrika they can easily be turned on. Huwezi kumpa tongue kiss adharani unaweza kuzua balaa. Wa kwangu even some touchings have to be done while in right places, otherwise....
Nakumbuka kama nlishawahi kukukanya: Punguza umbea kama umeshindwa kuacha lolSoulmate nasikuongelei ww ni yule mama wa jirani alinisimulia ya kwake
Rocky ndio yale tulizungumzia mambo ya malezi... wazazi wana nunulia BB mtoto ili aone fahari... na mtoto wa dot com aweze tumia BB ashindwe net?
Sio wote bana
Nilihudhuria harusi moja tena mimi nikiwa mpambe wa moja ya harusi zilizofungwa siku hiyo
Mhubiri alitoa mahubiri na kasema wazi bana ukishahalalishwa njoo nae hata kanisani mmeshikana mikono na ukifika kwenye kiti mpe kiss kwanza ndo mkao maana umehalalishwa
Ni vile tuu kuna aibu na nini ila ndo hali halisi
Maana baada ya kufunga ndoa si mnaambiwa u can kiss
Sasa kwa nini siku ile ukubali kukiss na siku nyingine uogope
Umepiga madongo sana wanaumeHapo kwenye bold; ni kanisa gani linasema you can kiss the bride hapa bongo? Have never seen or heard about this.
Huko kwenye masherehe nakubali kwani we are trying to westernize; ila kanisan nimehidhuria harusi kibao sijawahi kuona.
Na suala si kuogopa ila wanaume wa kibongo mna xxx sana (naogopa watoto). Hivyo ni hatari kukisiwa adharani.
Wakati ndo wanapenda....lol.. Unacheza na Kissing na related activities nini??
Madabwada it been too long bana.... Umepotelea wapi for sijakuona kabisa!! How are you?? alafu kweli bana hio ya under 18 kidogo tulisahau....
Naamini na hapa issue kama ni kiss wakiona ni balaa
nipo mpenzi ... nakusomaga juu kwa juu tu ... mkoloni anakama sana muda wangu siku chache hizi ... na jioni ndo hivyo tena mambo ya parental guidance kwenye TV zetu ... msalimie Gaga ukimuona!
Mr Rocky ... hao madogo wako fasta kuliko unavyoweza dhania ...
Wakiona hapo tena ndo sasa wanajikuta wakivunja amri....
Once in a while uwe unagusa kama leo hivi walau members tujue kua
you are well and Good (vipi lile jicho la tatu linasemaje?? kazi inaenda vizuri??)
Gaga nitamsalimu... Usijali, BUT naomba usiondoke bila kuongeza ujuzi hapa....