AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #321
nafikiri Mods nao wangeweka kipengele cha umri kwa wanaoingia MMU maana mada nyiongine za huku ni nzito sana
Mkuu madogo si ndio wanatutoa kaka zao kwenye track
maana mambo yao sio madogo mkuu
Sijui nimeelewa hapa?? Mnazungumzia kissing na under 18?? Khaaa! (hope not)