“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Ashadii itabidi nijaribu hiyo kiss mpaka kilele haijawahi nikuta, ina maaana mimi ni rigid au?
labda wakati anani kiss awe ana keep his fingers walking hahahaaa
Haa haa haaa.... hii kiss inabidi mtu anayoitowa awe amerilax na anayepatiwa ajue kabisa hii ni kwa ajili yake (yaani inanoga kuliko). mnaweza mkawa mnafanya shughuli mbali mbali huyu anadeki huyu anapanga vitu mezani nk na mmoja wenu akaja kwa utaratiibu, unyenyekevu na ukitaka upate alama 100% muombe mwenzio naomba kukukiss we weeee achaaaa hiyo huwa haiitaji vidole vitembee just have a deep kiss three minutes then back to your work lazima baada ya ten minutes unarudia tena na safarii hii kiss and hug aaahh unaona kabisaa jinsi kilele cha ubora kinashuka taratiiib..... najitahidi kwa kweli!
 
"AshaDii THANKS Fxb for this WONDERFUL post"

The good thing ni kua it seems you know what you are talking about....lolz
 
ha haaaa hivi ni ku confess?au kusimulia hivi??/
ha haaaaaa.....umenikumbusha mbaali saana

unajua kuna mtu leo ni mke wa mtu na mama wa watoto kadhaa
ananikumbuka for the kiss i gave her........still today...lol

Boss!!!!! Don't tell me you did the needful (or should I say the un-needful!)
 
no
not at all
kilichofanya nikumbuke ni kuwa sikufikiri
that kiss was anything special...high school sweetheart.....
so nikikumbushiwa leo najiuliza what was that?
 
The above from another member would have been understandable....lol...
(Hivi just because she was a HS sweetheart you are allowed stolen Kisses??)
And Boss, Just name what the Kiss was about....lol
 
ha haaaa hivi ni ku confess?au kusimulia hivi??/
ha haaaaaa.....umenikumbusha mbaali saana

unajua kuna mtu leo ni mke wa mtu na mama wa watoto kadhaa
ananikumbuka for the kiss i gave her........still today...lol
Lol!!! Hivi stolen kisses si inaweza kumbushia enzi hizo
 
Back
Top Bottom