“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Wanaume wachace sana wanathamani mmbo ya kukiss, labda awe wa ki western sanasana, hawa wetu tunaokutana nao kwenye kiti moto mhhh
yaani kiss sio saana
Mi nakusoma tu, action baadaye.........!
 
Shem.... shem.... shem....! Watch your steps! Ohooooo! Si unajua nlivyo mbea? Shauri yako!

Oh! Nimekosa... Nikirudia ndio useme bana... (i get carried away when i think of him.... Dah!)
 
Shem mbona hio adhabu kali saana?? Punguza bana... Khaa!! (alafu nimemwita ili aone yoote haya na muyamalize)
Asipokuja nairudishja ile kitu inayokupa nightmares! Afu nakunyang'anya access ya kusoma posts zangu....... unaiona hiyo makitu peke yake.......
 
Siri ikiwa all your mind and concetration iwe hapo...

if there is true love...........................and there will never be true love if the participants are in a sinful relationship........................that is the bottom line........
 
Kwani we agemate, hii kissing inayozungumziwa si ndo mwanzo wa muendelezo wa hiyo makitu?...........hasa kwenye hiyo red hapo siyo? I will be damned if am wrong.... where is my Shem....? Clarifications tafazali, kama unahofia waweza nielezea kwenye mtaa wa pili kule lol

Shem ODM acha kunitega.... hio etc kwa MTM mbona Mama Matesha tells me how good you are!! lol
 
ha ha ha.... Mie nahisi labda ulimchimba beat.... Maana nilitaka saana nijue her share of Kisses na zipi za msisimua.....lol... Hebu mbembeleze basi atuambie hapa....lol

...halafu nimekuona umeeiendea deep na kuinyofoa hadi ile post ya romantic retreat, yaani wewe...lol...

Wanaume wachace sana wanathamani mmbo ya kukiss, labda awe wa ki western sanasana, hawa wetu tunaokutana nao kwenye kiti moto mhhh
yaani kiss sio saana

...dahhh?!,...ha hahahhahhahaha! ...jamiiforums where we dare to talk openly, nice one gaga na ashadii, twangeni mawe leo mpaka paeleweke hapa weekend hii!
 
Tatizo la wanaume wa kiafrika they can easily be turned on. Huwezi kumpa tongue kiss adharani unaweza kuzua balaa. Wa kwangu even some touchings have to be done while in right places, otherwise....
Hahahaha.... dogo langu siku ya arusi likampiga wife wake tongue kiss, kuja kutaharuki baba mkwe wake kishatoka ukumbini saa nyiiiiiiingi!
 
Asipokuja nairudishja ile kitu inayokupa nightmares! Afu nakunyang'anya access ya kusoma posts zangu....... unaiona hiyo makitu peke yake.......

Heee!! ODM vipi wewe.... yaani hasira ya Soulmate iishie kwangu?? adhabu 3 kosa moja?? Sio haki ujue.... and you always protect me..... Dah!
 
if there is true love...........................and there will never be true love if the participants are in a sinful relationship........................that is the bottom line........

I see.....
 
...halafu nimekuona umeeiendea deep na kuinyofoa hadi ile post ya romantic retreat, yaani wewe...lol...

...dahhh?!,...ha hahahhahhahaha! ...jamiiforums where we dare to talk openly, nice one gaga na ashadii, twangeni mawe leo mpaka paeleweke hapa weekend hii!

Umeona eeeh?? Sipendi kubahatisha Mbu....lol... Hapa ni with evidence.... That in blue is only possible if true....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tatizo la wanaume wa kiafrika they can easily be turned on. Huwezi kumpa tongue kiss adharani unaweza kuzua balaa. Wa kwangu even some touchings have to be done while in right places, otherwise....

Dear sio wako peke yako.... Majority ndio hivo hivo.... Usimguse!! Saa ingine wala hata hamjapanga na wala sio wakati wake.....
 
C'mo shem..... hapa tunajadili kisses, right? Now stop off topics lol

Umenishaka pazuri kweli.... lol... No Comments!!

Hahahaha :"Whenever you are confronted with ODM. Conquer him with love."

hahahahaha!!! ODM never confronts... when he does that... you can not imagine the wasi wasi.....lol
 
Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?

yaani nyie wadada mkiamuaga mna mambo!! haya nendeni taratibu basi .. siku hizi MMU, under 18 wamejaa kibao humu!!
 
Kwani we agemate, hii kissing inayozungumziwa si ndo mwanzo wa muendelezo wa hiyo makitu?...........hasa kwenye hiyo red hapo siyo? I will be damned if am wrong.... where is my Shem....? Clarifications tafazali, kama unahofia waweza nielezea kwenye mtaa wa pili kule lol

aisee..........:brick:
 
Back
Top Bottom