“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

I wish you could open my heart and observe what is inside there
You can write a book
Ila huwa nasema kile kidogo ambacho nimeweza kukisema na kukitoa ndani ya moyo
Great moment, pleassure, enjoyment, fantasy, wou need i say more
TF karibu kwenye huu ulimwengu

-Impressed-
 
hahahahaaaa ... were they really sealed?? hope they have arrived safely!! nice weekend jamani, and thanx for the nice thread! my kisses on the cheeks only ... l.o

Are you sure unataka kwenda... maana unaaga mara ya tatu.....lolz
 
Hahahahahaha huu sasa uchokozi mwe!! mie nauliza swali unanidongoa ah!! Soulmate si aje kunisaidia wajameni!!

aaaah!! Jamani MJ1 believe me you hio part sikuiona.....lolz, ndo maana nikafurahi na kuhakikisha mtu chake, maana hata mimi hivo hivo, siwezi pita post.... lolz... Sikudongoi bana!
 
hivi huna contact ya wale jamaa wanaoweka mwanya wa kichina? ukishajua faida zake (for nangojea niskie perspective ya mwal mosqwito) uniambie nikupeleke,lol
AshaDii kwenye notebook yangu kuna pahala nilinote Mbu akisema kuna wengine wana 'mwanya' so ni bora akastick kwenye vicheek na peck kisses?? Ulimwuliza kazi au raha ya mwanya ni nini? maana kuna wengine wanafikiria kuwa mwanya ni upendeleo tu mtu alopewa ili aweze kuingiza oksijeni kwa wingi mdomoni!!
I wish ningekuwa nao!!
 
They are there waiting for you just open your eyes
Usifikirie the past think oy today and tomorrow and run away from hatred and learn to love
Welcome to the world of happiness where everybody is happy no matter what is inside their heart
My quote for this weekend thanks Rocky
 
-Impressed-

Always huwa nasema kuwa raha itengeneneze na iendeleze
hata kama kuna maumivu jipe nafasi na jipe muda to seek the lost happiness by any cost
maisha mafupi kw anini ujipe tabu ya kukasirika na kukunja kunja sura
Jipe muda na tafuta mtu w akukupa kiss ambayo itakuondolea machungu yako yote hata kama umegombana na mtku kuna kiss unaweza pata ikaondoa hasira zote
 
aisee, umepania! fellow teacher, angalia usije uka-misconduct

Where the ladies at???? Lol!!!!

wifi,unajua sikio halizidi kichwa? ngoja tuweke nondo,hii itakua kama oxford class of 1956
Hivi Wifi King' are you SURE ni Kissing Class?? Maandalizia yanitisha kumbuka
List yenyewe ya wanafunzi.....lol.... (Teamo, ODM, MTM, BOSS) Vingine punguza, i am worried you know??

sasa hapa si unajua mgambo wa jiji watakuwepo. ila hivyo viatu na mapochi tunalipia b4 or aftr them kisses?
Will get there brother, nataka nihakikishe leo King'asti mwili mzima akitembea barabarani unawaka makisses tu hadi kwenye vidole lol
 
Hajalipa ada huyo, si unajua hela tunahitaji tukulipe zile bishaa za dukani?
Nafasi zimebakia mbili tu naona utakuwa umewahi darasa linaanza after working hours saa 12 hadi saa 6 usiku. STRICTLY PRACTICAL
 
mzee mwamba, yaani kwa jinsi ulivyo na mistari, nina wasiwasi kama hatutakua waangalifu na means of evaluation, utafaulu kwa sababu ya maandalizi na sio practiko zenyewe za kukiss...
They are there waiting for you just open your eyes
Usifikirie the past think oy today and tomorrow and run away from hatred and learn to love
Welcome to the world of happiness where everybody is happy no matter what is inside their heart
 
aisee, umepania! fellow teacher, angalia usije uka-misconduct
sasa hapa si unajua mgambo wa jiji watakuwepo. ila hivyo viatu na mapochi tunalipia b4 or aftr them kisses?
Hakuna mis-conduct lina mwalimu akafeli, huduma kwanza malipo baadae lol
 
Always huwa nasema kuwa raha itengeneneze na iendeleze
hata kama kuna maumivu jipe nafasi na jipe muda to seek the lost happiness by any cost
maisha mafupi kw anini ujipe tabu ya kukasirika na kukunja kunja sura
Jipe muda na tafuta mtu w akukupa kiss ambayo itakuondolea machungu yako yote hata kama umegombana na mtku kuna kiss unaweza pata ikaondoa hasira zote

Your woman is indeed a happy person kama una msimamo huo Rocky... That is really good of you aisee!!
Nimependa kweli hapo maana wakaka wengi saana humu wamenibishia i.e Bishanga & Co. lol hivo wewe
kama mkaka kuongea hivo.... I am PROUD on behalf of your wifel.....
(Alafu ghafla nimemkumbuka Bebii - where is she when we most need her???)
 
mzee mwamba, yaani kwa jinsi ulivyo na mistari, nina wasiwasi kama hatutakua waangalifu na means of evaluation, utafaulu kwa sababu ya maandalizi na sio practiko zenyewe za kukiss...
Thank you King'asti
Huwa napenda zaidi kutenda kile ninachoamini na ninachopenda kuwepo na kuyafanya yale ninayoyaamini
 
awifi,unajua sikio halizidi kichwa? ngoja tuweke nondo,hii itakua kama oxford class of 1956

sasa hapa si unajua mgambo wa jiji watakuwepo. ila hivyo viatu na mapochi tunalipia b4 or aftr them kisses?

Kwa hilo nakuaminia Wifi King'.....lol
 
Your woman is indeed a happy person kama una msimamo huo Rocky... That is really good of you aisee!!
Nimependa kweli hapo maana wakaka wengi saana humu wamenibishia i.e Bishanga & Co. lol hivo wewe
kama mkaka kuongea hivo.... I am PROUD on behalf of your wifel.....
(Alafu ghafla nimemkumbuka Bebii - where is she when we most need her???)

Mhhh am so happy when someone recognize and appreciate my words and what i believe.
Thank you a lot AshaDii
In a serious note i always do what i believe is right at that time and sucrufice my pride and ego to smooth the situation
It is better kuwa mdogo kwa baadhi ya sehem ili kuweza kufikia malengo yako hasa unapotakiwa kufanya kitu kidogo tuu kupata makubwa
 
...
images
...umenifanya mpaka niiweke picha mtandaoni, maana unamhoji ashadii ilhali mhusika wa hisia ni weye, ...lol...!

:redfaces: Ama kweli nilikoamkia leo siko ngoja nirudi kitandani niamke tena upya!
Mbu ndo nini sasa?!!
 
Back
Top Bottom