Iddi njema wote!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iddi njema wote!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Aug 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,181
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  UKIPENDA FANYIA KAZI UKINUNA ACHANA NAYO IDDI NJEMA WOTE MA LOVELY JF MEMBERS

  Yaani unasubiri huyu jamaa akuchekeshe ndo ujisikie una furaha, mwenzio analipwa!
  [​IMG] Kuwajibika na kujitoa ni moja ya mahitaji muhimu sana ya mafanikio yoyote dunia leo.
  Pia hakuna sehemu muhimu kwa kuwajibika na kujitoa kama kwenye ndoa na mambo ya familia.

  Watu wanaoamua kuoana huwa wanawajibika na kuhakikisha wanajitoa kwa ajili ya uamuzi na uchaguzi wamefanya kwanza kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake ili kuhakikisha ndoa inaendelea.

  Kila anayeingia kwenye ndoa huwa anakuwa amebeba limfuko la matatizo binafsi na kutokukomaa katika maisha ya ndoa (immaturity), hana uzoefu na kinachofuata ni kupata uzoefu mpya.

  Hivyo partners wote wanawajibika kukutana na matatizo na kuyashughulikia hayo matatizo bila kulaumiana au kumlaumu mwenzake kwa matatizo just focus to the solutions kuliko ku-focus kwenye matatizo na kuanza kulalamikiana, ingawa hapa kuna wengine huwa kichwa ngumu anajiona yeye yupo sahihi siku zote na anaweza ku-ignore kila kile mwenzake anapendekeza ili ndoa irudi kwenye amani na usalama.

  "Marriage is a commitment of one imperfect person to another imperfect person".

  Kila mwanandoa anahusika na kuwajibika kwa ajili ya furaha yake, hisia zake na kila reactions, hakuna mtu atakufanya uwe happy ila ni wewe kwanza, kwani ukishinda umekasirika siku nzima au mwezi mzima au hata mwaka unapata faida gani?

  Furaha ni matokeo ya kukomaa kwa mtu na kufahamu kwamba yeye mwenyewe ni chanzo cha furaha na simwingine.
  Wewe ukiwa na furaha na wengine watakuwa na furaha.
  Watu wenye furaha hutengeneza ndoa zenye furaha na watu wasio na furaha hutengeneza ndoa zisizo na furaha

   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pdidy topic zako mimi huwa zanifurahisha sana sijui huwa unazifukunyua wapi.
  idd njema na kwako pia.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Asante sana but umewahi mno nawe aaaaahh
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  mmmhh "fukunyua"...!!!!!!!!!!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  idi lini?????
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  we vp.. Ur not even FASTING.. live it to us
   
 7. data

  data JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Jumanne na Jumatano
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Data kwani vp mbona wanijia juu tena how can u judge me like that?! How sure u r 4what u hv said?! Ar u sure that im not fasting? Good of u anyway
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thanks Mkuu wa Data

   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,181
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  mwaya topic zenyewe zinaitaji mazoezi ya siku tatu nikisema nisubiri si anaumia mtumwaya ahsante kwa ushauri
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,181
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  dear naomba msamehe asikufurutishe kabla ya muda hawa awakosekani hata kwenye ligi kuu ya engaland kama arsenal nane nane awakosekani
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante Pdidy, nitajihadi kuwa na furaha kila siku, ili ndoa yangu iwe na furaha mwaya. Pididy huyo jamaa hapo juu nimemsikia leo anasema yeye ni Mchungaji mtarajiwa.......Yani amemkabidhi bwana Yesu maisha yake....,Ameokokana anatarajia kuwa mchungaji wa roho za watu.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,181
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Mungu amsaidie aanze kurekebisha ndoa yake kwanza maana ukimpokea mungu huku mkeo akikusumbua aatakuingiza majaribuni ndio maana watume wakichaguliwa wanaomba wake zao nao waitwe watumewanajiua mama akiuliza siku moja hivi we utakuwa mtume mpaka lini na mwenzio ndan akukaliki mwaya anyway mungu ampe nguvu
  sikuku njema wote
   
 14. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Shukrani mkuu kwa taarifa, kwani ukiwa upo mikoa mingine huku na hivi hakuna hata radio mbao basi unakuwa upo gizani tu!.
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  .....................

  Love you sweetheart.......................................................
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Thanks!!
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Eid Mubarakh... Taqabbala Allaahu Minnaa wa Minkum
   

  Attached Files:

 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Eid Mubarak.
   
 19. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  thanx..........
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Come one, come all. The venue will be...'
  eid mubarak nyote.
   
Loading...