Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,861
Reaction score
870,832
Si kila safari ya maisha huanza kwa furaha na kumalizika kwa furaha.

Kwa wanandoa wawili kutoka Bangladesh, safari yao kuelekea Makka ilipaswa kuwa mwanzo wa kumbukumbu nzuri ya maisha yao ya ndoa.

Walikuwa wameanza ukurasa mpya wa maisha, wakielekea katika mji mtakatifu wa Makka kwa matumaini na furaha lakini mambo yalibadilika ghafla.

Wakiwa huko, Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar walikumbwa na tukio lililobadilisha kabisa hatima yao.

Ndani ya msikiti huko Makka, Nazrul alimbusu mkewe Siti kwenye paji la uso, busu hilo lilikuwa ishara ya upendo na shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya mwanamke aliyekuwa amekuwa sehemu ya maisha yake.

Badala ya wakati huo kuwa kumbukumbu ya upendo, uliishia kuwa mwanzo wa matatizo makubwa, wawili hao walikamatwa, wakafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na baadaye kuhukumiwa kifo kwa kosa lililohusishwa na kitendo cha maadili yasiyofaa ndani ya msikiti.

Hatimaye, hukumu hiyo ilitekelezwa safari iliyokuwa imeanza kwa matumaini ya wanandoa wapya ikageuka kuwa safari ya mwisho ya maisha yao.

Miili yao ilirejeshwa Bangladesh ikiwa katika majeneza mawili tofauti, huku familia zao zikikabiliwa na maumivu makubwa ya kumpoteza watu wao wa karibu katika mazingira ambayo ni vigumu kuyasahau.

Wakati mwingine maisha yanaweza kubadilika ndani ya muda mfupi sana, safari iliyokuwa ya fungate, ikaishia kuwa safari ya mwisho.

Somo ambalo nimejifunza kwenye hili jambo ni kwamba usiende kwenye nchi ambayo haujui mila, desturi na Utamaduni wake.
1792523322560.jpg
 
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA. Bado sijajua hii kampeni inalenga nini. Sababu nimefuatilia sipati chanzo sahihi.

Mtu inifafanulie. Je, nii propaganda za kisiasa au taarifa za kidini?

Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
 
Somo ambalo nimejifunza kwenye hili jambo ni kwamba usiende kwenye nchi ambayo haujui mila, desturi na Utamaduni wake.View attachment 3694831
Sharia Law!!! Sharia law. Hakuna Upendo wala Ishara ya Upendo. Dah!
Inasikitisha mno. RIP wanandoa wapya- ndo ivo tena imeshakuwa.
 
Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
Saudi Arabia katiba yao inasema ukifanya mapenzi msikitini adhabu yake ni kifo unakatwa kichwa, uki retard yaan ukihama Uislamu ukaenda Ukristu adhabu yake ni kifo unakatwa kichwa, na zingine zote zimeorodheshwa kosa na adhabu na hawana mswalie Mtume wao wanadeal na Allah tu
 
Aisee?!! Huyo Allah wao ni balaa.
 
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA. Bado sijajua hii kampeni inalenga nini. Sababu nimefuatilia sipati chanzo sahihi.

Mtu inifafanulie. Je, nii propaganda za kisiasa au taarifa za kidini?

Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA🥺🥺🥺
 
Ingekuwa safi sana , lakini kitalipwaje? Naona kama haiwezekani Pakistani/Bangladesh na Mecca mbali sana.
Watawalipa tu maana hilo ni bifu la Nchi na Nchi huwezi ukaua raia wa Nchi nyingine ukachekewa wataenda Wasaudia huko Bangladesh watasakiziwa mbwa wakikimbia tu imeisha hio za kichwa
 
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA. Bado sijajua hii kampeni inalenga nini. Sababu nimefuatilia sipati chanzo sahihi.

Mtu inifafanulie. Je, nii propaganda za kisiasa au taarifa za kidini?

Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
Hivi wewe unaakili? Je! CHADEMA ni Chama Cha siasa Cha Huko Sudia au Bangladesh? Maana taarifa inasambaa kutoka huko. Fikiri kwanza kabla ya kujamba mbele za watu
 
Back
Top Bottom