Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Leo umeonja mvinyo??Kisema baby....by vee money wenyewe wanaita FWB
Leo umeonja mvinyo??Kisema baby....by vee money wenyewe wanaita FWB
Hollywopd peke ao nikasema no,ni no. Na move on na mwingine tukikutana tunapiga za kisela
Hollywood!!???utashangaa!!! Haya mie Naenda kulala usisinzie ukadondosha rungu lako![]()
![]()
Kisela tena
Hahaha sawa, niko makini si umeona tumepunguza 13 hata nikisinzia leo kidogo sio mbayaHollywood!!???utashangaa!!! Haya mie Naenda kulala usisinzie ukadondosha rungu lako
How sure you are..... ??Men are from Mars n women are from Venus.
kwanza kujiita tu naughty gal,inaonekana bado toto.Am not a kid! But why uniambie hivo,maybe una sababu unaweza kuniambia
Hollywopd peke ao nikasema no,ni no. Na move on na mwingine tukikutana tunapiga za kisela
Mwandiko wako unaonesha hivyo ukijumlisha na unachofanya na huyo mpenzio,Am not a kid! But why uniambie hivo,maybe una sababu unaweza kuniambia
Miaka mingi tu to be called a womanHow old are you, little girl?
Am not a kidkwanza kujiita tu naughty gal,inaonekana bado toto.
Tunajifunza kutokana na makosa,i know nimekosea inabidi nikubaliane na yote! Nashukuru kwa ushauri wakoMwandiko wako unaonesha hivyo ukijumlisha na unachofanya na huyo mpenzio,
A grown up woman daima huwa ni mrekebishaji wa mahusiano na anafight for her hapiness..
Sasa unahitaji mtu halafu unamfukuza tena?
Bold your thoughts.
love thé love or hâte thé love.....
Nitafanya hivofanya sala ya toba kama wewe ni mkristu, au dua kama wewe ni muislam.
Sent using Jamii Forums mobile app
I can't regret coz I'm in love with a right person Me too come to testify itZa usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo