I think am in love with the wrong person

I think am in love with the wrong person

Utakuwa mzuri bila shaka

Ndo athari za kuwa na mahusiano na mabinti wazuri huwa hawadumu kwenye mahusiano yao na hata ndoa kisa " sipendi kujishusha na muda wowote akiachika anapata bwana mwingine.

Wewe subiri kila mtoto na baba'ke ndo nyota yako

ukijizoeza hivyo itakuwa ndo tabia yako hadi uzeeni

kwa tabia hiyo hutaiweza ndoa hapo baadae kwa maana ndoa ni cake inayoliwa na kufaidiwa na wavumilivu na wenye kujishusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya Angelo na ynah,wafilipino wanatuongopea na kutuingiza chaka sana. wao mwisho wa siku wanarudiana,bongo mwisho wa siku unasikia nderemo na vifijo.
Waache waoane.
Kabisa ukijumlisha hapo na Wakorea mambo ndo yanaharibika kabisa.
 
Kwanza umeshatoa suluhu halafu unataka tukushauri!!?
Me nataka nikushauri,ujiepushe na chuki kwa sababu athari zake ni kubwa kuliko unavyodhani.

Kwa mfano hapa unajenga chuki ya nje kumuonyesha jamaa kuwa huwezi kushuka chini..lkn hiyo chuki ya nje uliyoijenga inakuumiza mwenyewe...jitahidi kutafuta amani ktk kila jambo ili kujipa furaha...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi
 
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile navosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.

Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida

Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Unatoka kilimanjaro?
 
Utakuwa mzuri bila shaka

Ndo athari za kuwa na mahusiano na mabinti wazuri huwa hawadumu kwenye mahusiano yao na hata ndoa kisa " sipendi kujishusha na muda wowote akiachika anapata bwana mwingine.

Wewe subiri kila mtoto na baba'ke ndo nyota yako

ukijizoeza hivyo itakuwa ndo tabia yako hadi uzeeni

kwa tabia hiyo hutaiweza ndoa hapo baadae kwa maana ndoa ni cake inayoliwa na kufaidiwa na wavumilivu na wenye kujishusha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kawaida sema tu hiyo hali ambayo ninayo sihitaki tena
 
Dada kwa ushauri tu siku zote mwanamke ndio anajishusha kwa mwanaume. Na hata kama mwanaume amekukosea kwa mwanaume ni vigumu sana kujishusha. Kwa hali uliyonayo utabidi ubadilike cause ukiendelea ivyo utaishia kuachwa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kupenda wasichana ni kawaida tu ila
Kugegeda sasa inategemea
 
If you really love him, swallow your pride!

Matatazo yenu mnayatengeneza tu wenyewe kwa kutokuaminiana.

Lakini pia hiyo style ya kutoleana maneno machafu wakati mnaachana ni ushamba.

Kama hamuelewani mnaachana kwa amani.
Don't take us back to the stone age!

- KANA -
 
pole sana dogo! nna hyo tabia na mm toka nakuwa msichana! sijawah kujuta wala kumkumbuka ex... nadhan tunajiamini kupitiliza.. usimtxt matusi unajishusha hadhi we piga kimya km mnapendana mtarudiana tu iwe isiwe! mie ndo najitibu had nitapona!... nadhan ni kiburi tu kwasabb unatongozwa tongozwa ungekuwa hutongoziw huenda ungenyooka ! lol..
 
Back
Top Bottom