I think am in love with the wrong person

I think am in love with the wrong person

Tatizo liko kwako mwenyewe
1.Hujiamini,na huamini watu
2.unstable
3.u are in an emotianal roller coaster
4.Unaogopa kuumizwa,possibly due to past experiences.

Nini chakufanya
1.Relax/take a chill pill/tulizana,dont overcomplicate life
2.Fanya maamuzi sahihi,dont make decisions based on emotions instead of logic.

3.Sio dhambi kukosea,take risks.just make sure that they are well caliculated risks,ukiamua kujitosa kwa mtu jifunze kuwa na trust,akiamua kuharibu ni yeye,epuka tabia ya kuhisihisi,kumdhania mtu mabaya ilhali huna ushahidi kuwa anayafanya.


4.Jipende kwanza kabla ya kupenda mwengine,achana na yale mapenzi ya tamthilia za kifilipino,just learn to love withoit expecting it in return

5.Find yourself a new man,huyo ulonaye anamatatizo kama yako mtasumbuana,tafuta mwanae confident anayejiamini na anayeweza kukuhandle ukatulia

6.Meditate,learn to control your feelings and emotions.wasalam
 
Una Tatizo LA Uoga WA Mahusiano.
Linatokana na historia mbaya(Bad experience) iliowahi kukukuta ama kusikia wengine imewakuta.

Hili linakufanya hau-Enjoy mahusiano na Boyz.
Sio ajabu hata kwenye sita kwa sita Hau enjoy kiviiile.
Badilika namna unavyofikiri.
Fikra zako ndio adui yako.
Sikuzote Mwanaume ni zaidi yako. Hata kama hana Pesa wala kazi.Weka hii akilini. Kujishusha ni 'Pi"

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni kweli kabisa ni uoga tu, nishawahi kuwa hivo lakin deep down uoga ulikua unanisumbua, ati nikiachwa nisije umia mara siombi hela hata nikimuacha niwe nishakua sio tegemezi yaan vya ajab unajiwazia tu, unashindwa kutoa mapenzi yako yote kisa wasiwasi tu.
 
Be Aware:
Huwezi kumkomoa mwenza wako kwa kumwambia maneno ya uongo ili tu azidi kuumia na kujiskia vibaya wakati unajua si kweli.Hilo litaweka doa katika mahusiano yenu hata kama mtarudiana.
 
Asa kama unanipenda mbona ulinitukana na kwanini uje uwaambie wana jf sijapenda tabia yako..
 
pole sana dogo! nna hyo tabia na mm toka nakuwa msichana! sijawah kujuta wala kumkumbuka ex... nadhan tunajiamini kupitiliza.. usimtxt matusi unajishusha hadhi we piga kimya km mnapendana mtarudiana tu iwe isiwe! mie ndo najitibu had nitapona!... nadhan ni kiburi tu kwasabb unatongozwa tongozwa ungekuwa hutongoziw huenda ungenyooka ! lol..
Red hyena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa um
Keep on thinking...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa umejitambua ulivyo ni hatua ya kwanza muhimu sana katika kuelekea kubadilika. Hata kama huyo hamtarudiana lakini ni eneo moja la kuanzia kulishughulikia.
Halafu hiyo tabia inaanza mbali sio kwa tu hao unaotofautiana, chunguza una maumivu gani moyoni uliumizwa kwa namna moja au nyingine.
Anaweza kuondoa uchungu (chuki), hasira moyoni ni Mungu, ingawa wengine hawakubaliani ni hili. Ukweli wengi wamefanikiwa kubadilika baada ya kukabidhi njia zao Kwake. Kwanza samehe kwa wale waliokuumiza, na wewe tubu kwa Mungu. Halafu endelea kujifunza juu ya kupambana na yaliyo moyoni mwako.
Naamini utashinda, na hata mwenzako akiona mabadiliko hayo yatafanya afikirie, ila ikishindikana endelea mbele ukiwa mtu aliyebadilika.
 
Wanawake wenzangu ulioenda shule kidogo acheni kujifanya mpo juu kwa kila kitu.
Mwanaume anaheshima zake kwan akijua unampenda shida nn hapo! Kwan ukijishusha itatokea nn hapo.
Ndio maana wanawake wasomi hamuolewi mnaishia kuwa single mom badilikeni bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula Jeuri Yako Alafu Upambane Na Hali Yako.
Btw Ukija Kuolewa Divorce Lawyer Nipo. Mkizinguana Nicheck Tu,Kuanzia Petition For Divorce,Distribution Of Matrimonial Property Hadi Custody Ya Watoto. Si Huwezi Kujishusha Sasa??!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wanakuudhi kabla au baada ya kukutana kimwili?

Na kipindi kipi unaachana nao, baada au kabla ya kukutana kimwili?

Inaonekana umejawa kiburi, dharau na majivuno ndiyo maana...

Cc: mahondaw
 
Wanaume wanakuudhi kabla au baada ya kukutana kimwili?

Na kipindi kipi unaachana nao, baada au kabla ya kukutana kimwili?

Inaonekana umejawa kiburi, dharau na majivuno ndiyo maana...

Cc: mahondaw



Bwaha Bwaha Bwaha!! My king Jamani kwanini umekonclude ivo lol!!


Pole yake jamaniii



Mahondaw wa Smart911
 
Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama mwanamke kutaka kujikweza aidha kwa kujiona mrembo sana au mjuaji, sasa inavyoonekana ww huwa haushauriki kama kuna kosa umefanya and it seems ur there just for funny and enjoyment tu, as long as unasema unampenda but surely in other side haupendi kukosolewa, one thing is sit down and rethink about what,when,how to control ur conversation with him aither for good deeds or bad.

Ur not let at all, still you have a time to do some thing good.

Avoid provoking ur partiner if you that you are not well in making reconciliation via oral words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom