N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,122
Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996.

Nilikutana nae kwenye event moja jijini Darusalama.

The kind of events which are attended only by people who really matters in this country.

Alikuwa anasoma Law School Of Tanzania Cohort ya 24, a Fresh LIB Graduate from St.Augustine University of Tanzania ( SAUT- Mwanza)

Rafiki zake walimwita simply "Mwasi" Na Mimi kwenye Uzi huu nitamuita Mwasi.

Niliambiwa N'gwasi kwa kisukuma maana yake ni msichana, kama ilivyo kwa kilingala (Mwasi. Mfano Mwasi Kitoko = Msichana mzuri)

Tulikuwa tumekaa kwenye meza moja kubwa iliyo zungungukwa na viti kumi na viwili.

Vitu alivyo kuwa akiviongea na hoja alizo kuwa akizijenga ikilinganishwa na umri wake vilini fanya niprove beyond any reasonable doubt ndani ya nafsi yangu kwamba ama kwa hakika this fine specie of a woman before me, is undoubtebly extremly brilliant. She only spoke relevant facts and relevant facts only

Ukiniambia nitunge sentensi moja kuhusu N'gwasi D. Kamani i will simply say , Mwasi D. Kimani is a very brilliant lady.

Kupitia maongezi ya hapo kwenye meza niligundua kwamba huyu mdada is a Lawyer in the making. She was pursuing her Diploma in Legal Practising at the Law School Of Tanzania and Of course I said to my self sijawahi KUKUTANA na lawyer or a lawyer to be wa kitanzania ambae yupo brilliant kama huyu dada " Mwasi "

Niliomba namba zake za simu na tukawa marafiki wakubwa sana na msichana huyu makini smart brilliant na mtoto wa tajiri kutoka kwao huko jijini Mwanza.

To be honest with u guys, I have got a very deep respect toward this girl na huwaga naamini atakuja kufika mbali sana kwenye career yake kama ninavyo amini kuhusu Jokate Mwegelo na Khadija K.Ismail.

Kutokana na heshima kubwa niliyo nayo kwa Mwasi, mwaka 2020 Nilipata mtoto wa kike and I named her after her.

Can u imagine? Mimi sio msukuma lakini nimempa mtoto wangu wa kike jina la kisukuma. Yani ni sawa na wewe mnyakyusa umuite mtoto wako Kokushubila simply kwa sababu umependezwa na msichana wa kihaya aitwae Kokushubila.

Ukiona mtanzania anampa mtoto wake jina la kikabila la mtanzania mwingine kwa sababu ya mtanzania huyo basi jua mtanzania huyo ana sifa za kipekee sana.

Nilisomaga na jamaa anaitwa Zamoyoni Massawe.

Baba ake mzee Massawe alimkubali sana Zamoyoni Mogella hadi akaamua kumuita mtoto wake jina la kiluguru/kizaramo wakati yeye ni mchagga. ( Zamoyoni Massawe baba ako alikuwaga anauza supu kwenye bar Manzese miaka ya 95 tukiwa darasa la 4 ni wewe ndo nakuzungumzia hapa)

Kwa wale wasio fahamu, I am a Gemini. We the Gemini people across the world , are characterised by one common character , the which character is we have the most biggest Egos on the face of planet earth.

When u think about the Gemini people u think about people like:

Donald Trump

Kanye West

T.I.D

Jide

Diva the Bawse

Tupac

Biggie etc .

Ni watu wenye big ego and arrogancy. We think we are the gods of this planet ( of course we are)

Ukiona mpaka nimefikia hatua ya kumkubali mtu kiasi cha kumpa mtoto wangu jina lake basi jua there is something special about that person.

Mwasi never speak nonsense.

When she speak one time I listen a million times.

Rule numbre uno: Mwasi is never wrong when she speak.

Rule number 2: if u think she is wrong then refers to rule number 1.

Rule no 3: If u think she is very very wrong then you should regard the " wrong" thing as a new idea.

Mh. N'GWASI D.KAMANI, The Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts there too save for primary courts.

With due respect. I beg to agree with your statement.

Sura ya Samia iwekwe kwenye hela ya Tanzania..

Sio mnatuwekea picha ya tembo, nyoka, twiga au Simba.

Wewe unaweza kumshika tembo wewe? Unaweza kumshika Simba au nyoka wewe?

Wenzako walio weka picha ya tembo na nyoka na Simba wanakutukana kiutu uzima wanakwambia kwa lugha ya picha kwamba huwezi kushika hela wewe kama ambavyo huwezi kumshika tembo utabaki kuwa masikini.

Mwasi ameshauri iwekwe picha ya mama Samia badala ufurahie wewe unataka iendelee kukaa picha ya tembo ili usiendelee kushika hela. ( kwa sauti ya Mzee Mpili; we mjinga nini???)

Wewe ponda tu kauli ya Mwasi , Utaendelea na ufala wako wa kutokushika hela hivyo hivyo.

# Mama Kizimkazi.

# Samia mbele kwa mbele.
# Naunga mkono hoja ya Mh.Mwasi
 
Attachments

  • 1707402433851.jpg
    1707402433851.jpg
    48.1 KB · Views: 5
Huyo dada aliyetoa hoja hiyo yupo sahihi , kwanza Samia ni mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa Rais na katika kipindi cha miaka yake michache ameonyesha uwezo wa kuongoza Nchi, apewe heshima yake tena ile tshs 5000 toa yule nyumbu weka SAMIA
 
100% correct
 
Kama unaona kuweka picha ya huyo bibi kwenye noti kutapunguza umaskini wa waTanzania na kutaleta maisha bora basi noti zote wekeni picha yake

BUT IF NOT

Achane ujinga..Hali ni ngumu mtaani serikali tafuteni namna ya kupunguzu ugumu wa maisha kwa kupunguza bei za bidhaa
 
Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996.

Nilikutana nae kwenye event moja jijini Darusalama.

The kind of events which are attended only by people who really matters in this country.

Alikuwa anasoma Law School Of Tanzania Cohort ya 24, a Fresh LIB Graduate from St.Augustine University of Tanzania ( SAUT- Mwanza)

Rafiki zake walimwita simply "Mwasi" Na Mimi kwenye Uzi huu nitamuita Mwasi.

Niliambiwa N'gwasi kwa kisukuma maana yake ni msichana, kama ilivyo kwa kilingala (Mwasi. Mfano Mwasi Kitoko = Msichana mzuri)

Tulikuwa tumekaa kwenye meza moja kubwa iliyo zungungukwa na viti kumi na viwili.

Vitu alivyo kuwa akiviongea na hoja alizo kuwa akizijenga vilini fanya niprove beyond any reasonable ndani ya nafsi yangu kwamba ama kwa hakika this fine specie of a woman before me, is undoubtebly extremly brilliant. She only spoke relevant facts and relevant facts only

Ukiniambia nitunge sentensi moja kuhusu N'gwasi D. Kamani i will simply say , Mwasi D. Kimani is a very brilliant lady.

Kupitia maongezi ya hapo kwenye meza niligundua kwamba huyu mdada is a Lawyer in the making. She was pursuing her Diploma in Legal Practising at the Law School Of Tanzania and Of course I said to my self sijawahi KUKUTANA na lawyer or a lawyer to be wa kitanzania ambae yupo brilliant kama huyu dada " Mwasi "

Niliomba namba zake za simu na tukawa marafiki wakubwa sana na msichana huyu makini smart brilliant na mtoto wa tajiri kutoka kwao huko jijini Mwanza.

To be honest with u guys, I have got a very deep respect toward this girl na huwaga naamini atakuja kufika mbali sana kwenye career yake kama ninavyo amini kuhusu Jokate Mwegelo na Khadija K.Ismail.

Kutokana na heshima kubwa niliyo nayo kwa Mwasi, mwaka 2020 Nilipata mtoto wa kike and I named her after her.

Can u imagine? Mimi sio msukuma lakini nimempa mtoto wangu wa kike jina la kisukuma. Yani ni sawa na wewe mnyakyusa umuite mtoto wako Kokushubila simply kwa sababu umependezwa na msichana wa kihaya aitwae Kokushubila.

Ukiona mtanzania anampa mtoto wake jina la kikabila la mtanzania mwingine kwa sababu ya mtanzania huyo basi jua mtanzania huyo ana sifa za kipekee sana.

Nilisomaga na jamaa anaitwa Zamoyoni Massawe.

Baba ake mzee Massawe alimkubali sana Zamoyoni Mogella hadi akaamua kumuita mtoto wake jina la kiluguru/kizaramo wakati yeye ni mchagga. ( Zamoyoni Massawe baba all alikuwaga anauza supu Manzese miaka ya 95 tukiwa darasa la 4 ni wewe ndo nakuzungumzia hapa)

Kwa wale wasio fahamu, I am a Gemini. We the Gemini people across the world , are characterised by one common character , the which character is we have the most biggest Egos on the face of planet earth.

When u think about the Gemini people u think about people like:

Donald Trump

Kanye West

T.I.D

Jide

Diva the Bawse

Tupac

Biggie etc .

Ni watu wenye big ego and arrogancy. We think we are the gods of this planet ( of course we are)

Ukiona mpaka nimefikia hatua ya kumkubali mtu kiasi cha kumpa mtoto wangu jina lake basi jua there is something special about that person.

Mwasi never speak nonsense.

When she speak one time I listen a million times.

Rule numbre uno: Mwasi is never wrong when she speak.

Rule number 2: if u think she is wrong then refers to rule number 1.

Rule no 3: If u think she is very very wrong then you should regard the " wrong" thing as a new idea.

Mh. N'GWASI D.KAMANI, The Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts there too save for primary courts.

With due respect. I beg to agree with your statement.

Sura ya Samia iwekwe kwenye hela ya Tanzania..

Sio mnatuwekea picha ya tembo, nyoka, twiga au Simba.

Wewe unaweza kumshika tembo wewe? Unaweza kumshika Simba au nyoka wewe?

Wenzako walio weka picha ya tembo na nyoka na Simba wanakutukana kiutu uzima wanakwambia kwa lugha ya picha kwamba huwezi kushika hela wewe kama ambavyo huwezi kumshika tembo utabaki kuwa masikini.

Mwasi ameshauri iwekwe picha ya mama Samia badala ufurahie wewe unataka iendelee kukaa picha ya tembo ili usiendelee kushika hela. ( kwa sauti ya Mzee Mpili; we mjinga nini???)

Wewe ponda tu kauli ya Mwasi , Utaendelea na ufala wako wa kutokushika hela hivyo hivyo.

# Mama Kizimkazi.

# Samia mbele kwa mbele.
# Naunga mkono hoja ya Mh.Mwasi

Wewe na Lucas Muoshambwa
IMG_8491.jpg
 
hivi bi joyce banda siku hizi yuko wapi?
 
Yes she is, ni basi tu siasa za CCM zinahitaji mambo ya “hivyo hivyo”.

Btw 2025 atagombea UVCCM tena au atagombea UWT au Jimbo. Kwasababu hakushinda, alipewa nafasi ya Halima, baada ya halima kukatwa, Ofcoz mahusiano ya mzee wake na mzee Magu (RIP) pia yalisaidia.
Safi sana love inaonekana unamjua vizuri sana. Ulisoma nae SAUT? Unakubaliana na Mimi kwamba huyu mtoto ni kipanga?
 
Wewe bwege changanya shule yako na huyo lawyer wako uchwara bado hamfui dafu kwangu....ikibidi leteni na koo zenu zote...
Nina uhakika hata Rais mwenyewe anashangaa huu upuuzi wenu!
Wacha bana
 
Back
Top Bottom