Nilimpenda sikufanikiwa hadi kaolewa, ni daktri sasa yupo na happy family kabisa

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
420
1,582
Basi boss ashampoo huwa napenda kuandika kama diary mambo ambayo siwezi kumsimulia mtu raha ya jamii forum ni unakuwa unknow mara nyingi naandika nikiwa usiku nikiwa natafakari kwa hisia kali

Hapo naandika pembeni kwenye music system yangu chumbani kenny g anapiga tarumbeta lake taratibu

Basi mwaka 2005 nikiwa shule msingi kama nilivyo waambia huko nyuma tulihamia sehemu panaitwa mafinga mwaka 1996 kutoka dsm na shule nakaanzia huko huko ...mwaka 2003 kama sikosei tulikuwa tunakaa myumba za national housing nikiwa darasa 3 ...basi jiran yetu alikuwa pia mfanyakazi wa halmashauri idara ya mali asili with 3 kids mmoja wa kike tumwite jina pinky(sio jina halisi)

Tukiwa tunacheza kibaba pinky siku nikaona mbususu ya pinky kwao pale kota alinionesha yeye mbususu yake maksudi ...ghafla akaona nakimbia mbio kumbe nilikuwa nimetaili/jando week ile so ilivyosimama nilisikia maumivu nikakambia kumbuka sikuwa na hisia na pinky sababu nilikuwa mtoto wa dar 3 nae mtoto wa la pili....hili tukio huwa nalikumbuka ila kwao walikuwa wana well off kidogo compare tu us

Basi tukajenga nyumba tukahama kota za national housing sikumuona pink tena kumbuka tunavyoondoka kuhama pale national house hata pink alikuwa akisoma kayumba kama mimi ile kayumba ilikuwa inaitwa mkombwe primary . Na mimi nikisoma kayumba ya wambi


Baada ya kuhama kota sikumuona tena pink kwa miaka 5...basi siku nikiwa niko naandesha kama kuchezea baiskel mfupa wa majani ya ng'ombe basi nikaaenda na lile baiskel mbali sana hadi maeneo ya mafinga kwa mkuu wa wa wilaya huko hapo niko la saba

Wakati narudi namuona mtoto kavaa nguo za shule ya kishua pale mafinga inaitwa southern nikasema hee kazuri kasichana hapo nilikuwa nimepaki baiskel natengeneza mnyororo wee kutazamaa vizuri ni pink ....huwez amini akaniangalia nikamwambia mambo akajibu asee kumbe ile miaka 5 alikuja kuwa mzuri mno we toka siku ile nilimpenda mno narudia sijawahi penda kama nilivyompenda pink toka ile meeting hapo mimi niko kayumba yeye shule ya ushuani

Toka siku hiyo ikawa namuwaza pink nikamsimulia mdogo wangu basi nikawa natembelea ile mitaa mida yao ya kutoka shule nimuone tu nikimuona hata siongei nae narudi home nafurahi sana ...nikamaliza la saba nikaenda boarding schools nje ya mji wa mafinga mixed school

Huko form 2 my marehemu mama yngu akaninunulia simu na line ya simu ambayo hadi leo naitumia nikafanya mishe kupata number ya pink maana alikuwa form 1 nikapata ya aunti yake piga nikasema nataka kuongea na pink we wakasema we muhuni unamtaka mtoto kesi kesi wakaja hadi home kumwambia mamdogo wangu sio mama wewe huyo mamdogo kimbelembele akanichukua hadi kwa kwa kina pink dukani eti nikaombe msamaha mixer kusema mimi mkorofi ...kiukweli naandika huku nasema sijawahi penda kama vile

Basi nikamaliza form 4 nikapata girl friend akiitwq blue(sio jina halisi) na alisoma ile shule ya kina pink .huyu blue tulikuwa sawa kidarasa sasa alikuwa anashangaa sana naulizia kwake habari za pink ....by that time pink anasoma morogoro shule moja nzuri siwezi itaja nayo kishua kidogo ipo kati ya dar na moro kama sikosei

Blue alikuwa mzuri afu famiy friend kwao wana hela babake doctor mifugo mama doctor mifugo basi matokeo yakatoka nikapiga division 1 mwaka 2010 nikachaguliwa kuja shule minak boyz ..blue akaenda sijui mbeya so tukaachana na blue ila mimi kichwani akili ni jinsi ya kumpata pink

Hatimae nikapata number ya pink rasmi nikamwambia how i feeel nikiwa form five we pink alikataa hivi unajua kata kata

Nikaingia six pink mtongoza wapi jamani hapo mimi wasichanana wengine wananipenda lakini wapi na date nao lakini mimi akili yangu ni pink mahusiano na wasichana wa jangwani sec kama yote ila akili kwa pink

Basi nikamaliza advance nikaingia chuo kikuu boom la chuo likanifanya nikanawili kuvaa nguo nzuri na hapo mnakumbuka niliwaambia nikiwa chuo mimi nilianza biashara so hela nikaanza kushika nikiwa na 20 years tu

Nikiwa field hapo mafinga kwenye ofisi moja ya serikali nikampiga pink tuonane akasema njoo home nikaenda hadi kwako piga story sana tukaanza kuwa cloz pink akaanza kunielewa na design nisingeharibu ningempata


Basi siku moja tukaonana jion kwa matembezi ya jioni basi tukatembea nae akaja home akamuona sister angu tukaenda hadi kwao alichoharibu pink siku hiyo alikuwa open sana kwangu maana alikuwa ashaanza kunielewa kwa mbali

Akanisimulia past relationships zake mixer aliwayi tembea na cousin wake pia wanafunzi wa chuo ambacho mamangu anafanya kazi chuo cha madaktar wewe siku hiyo nilishangaa nikahuzunika yaani nilimuona bitch wakat nilikuwa namuona malaika

Nikaaga naondoka nikarudi home asee nilimshushia matusi najuta nilikuwa na saikolojia ndogo sana ya mapenzi enzi nzile au sababu nilimpenda kiukweli ...basi pink alichukia na kunichukia hadi leo ananiona muhuni ...basi

Nikiwa chuo mwaka wa pili biashara kariakoo ikachanganya nikawa na madem kama wote ila still niliendelea kupenda pink...na pink alizidi kunichukia baaada ya yale matusi

Hapo nikiwa chuo naenda china narudi life good yaani nikamaliza chuo nakumbuka nikasema hebu nione kama pink anapenda hela au laaa nikamtumia laki mbili nikijua labda itamzuzua wapi asee akampiga mixer mikausho mikali inshort kwao hawana njaa kabisa

Nikamaliza chuo wakati huo pink anasomea medicine udaktar mkoa flan hapo najaribu kila mbinu lakini wapi pink ananiona muhuni tu tapeli

afu pink mwenyewe nikiangalia wanawake niliotembea nao mixer warwanda wamburu afu mimi mtu wa kupenda matako makubwa pink hata tako hana ila nilikuwa nashangaa nampenda nyie mapenzi uchawi sometimes


basi akamaliza udaktari 5 years siku nikamuona mlimani city tukaongea kidogo hapo mimi nikiwa na mahusiano yangu serious na mtu mwingine ila bado nampenda pink

Akaja akaolewa na kijamaa pharmacist so good family demu doctor jamaa pharmacist niliumia sana pink akapata na mtoto juu

Inshort japo now biashara zangu ziko hovyo ila kajamaa nimekazidi hela mbali kuna siku nilitest mitambo nikasema hebu nimtumie pink nauli ya ndege aje dar maana wako mikoa siwezi taja ila ni moja ya mkoa una udongo mwekundu afu hakuna maendeleo pink alinijibu huoni mi mke wa mtu niheshimu nikasema kweli hatingishiki angekubali ningetuma laki tano ila ndo hivyo

Inshort true story hii ya maisha imenifundisha sio kila kitu kwenye maisha utaweza kukipata .... pink nilimpenda after years nimekubali siwez kuwa nae ....
Now yupo na age 30 .nahisi so

Im 32 now ....nimeandika kama diary/kumbukumbu but open diary to public sitak ushauri wowote ule

Kama true love iliwahi pita kwangu basi ni mimi jinsi nilivyompenda pink wengine ilikuwa kamba tu ila ila maximum love ni pink...... kinachoniuma zaidi sijawahi kumla yaani bora hata ningeonja tu hahahahah ila basi bwana kiukweli nikiandika hivi huwa kama natoa sumu mwilini maana siwezi msimulia mtu so sehemu pekee ni hapa

Bye boss ashampoo kijana wa mjini
 
Ofcoz kwenye maisha huwezi pata vyote ....nilipata bahati bahati ya kuwa mahusiano na wasichana wazuri zaidi yake.. hapa tanzania kuna DAS wilaya moja mzuri kuliko madas wote niliwahi kuwa nae ukimuona unaweza sema we jamaa vipi ... lakini kwa pink nilishindwa hadi leo imebaki story inshort maisha ni hadithi
 
Pole, ungempata huenda ungeshamchoka, acha ibaki story
Hii ni ukweli kabisa ila huwez amini jamaa aliyempata anaoneka ni mtu sahihi kwake kuliko maana mungu alimuepusha na mengi kwa tabia zangu ma zake tusingeendana yeye ni mtu wa kusali mimi hata mlango wa kanisa si ujui so jamaa yake ni mtu wa kanisa ...pia mimi ni businessman yeye doctor so tofauti .....yeye na jamaa yake ni perfect koz jamaa pharmacist yeye doctor so nice family
 
Kuna manzi nilimpendags nikiwa first year. Tulikua tumosoma ote o level then tukakutana year one.

Tulijaribu kudate lkn yeye akawa na mambo mengi. Ofcourse alikua ni pisi kali. Kufika mwaka wa pili tukaachana(alidisco)

Tukapotezana kama 3 years. Nimekuja kuonana nae amechoka mbaya. Roho ikaniuma hatari, anajaribu kuforce tuwe karibu lkn ndo haiwezekani.

Kama ingekua ni lazima upate unachotaka bc huyu ndo angekua mke wangu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi ya kuanzia utotoni yanakuwaga real sana
Kiukweli utoto tunakuwa decent moyo unakuwa hauna mambo mengi ....ukimsema unampenda unakuwa unamaanisha

Kuna rafiki yangu nilisoma hiyo kayumba tumuite sky asee kiutani tukiw standard seven pale kayumba mafinga alimtongoza mtu darasani mwanamke tumuitwe redrose... kama utani toka 2006 wakiwa la saba wamependana kiukweli ..sky akaja kuwa mwanajeshi nyota tatu captain wakaona hajawahi achana na redrose toka mwaka 2006 hadi leo ninavyongea ..... sky na redrose wakafunga ndoa ya kijeshi

So mtu akiniuliza kuhusu true love niliwahi iona na ushahidi ninao hii ya sky na redrose.... walipenda toka primary hadi leo wako na mtoto na ndoa juu

Bwana ashampoo nipo tu
 
Ila mwamba in real life yaonesha ni mtu wa kujiskia sana uandishi wako kuna kitu kinaonekana cna hakika ila sijui kama unaweza make ur own family in that 32 of urs anyway hayanihusu
Kiukweli family sio priority kwa sasa mkuu kuna mambo na set nimeandika uzi nyingin kumbuka mimi hii nachukulia kama open diary so najitahidi sana kuandika kama history yangu....so huwa sijisikii nacho andika ndo nilichopitia unapoandika diary you can't lie to your self...this is open diary of my life
 
Kiukweli family sio priority kwa sasa mkuu kuna mambo na set nimeandika uzi nyingin kumbuka mimi hii nachukulia kama open diary so najitahidi sana kuandika kama history yangu....so huwa sijisikii nacho andika ndo nilichopitia unapoandika diary you can't lie to your self...this is open diary of my life
Ok right behind you
 
Kuna manzi nilimpendags nikiwa first year. Tulikua tumosoma ote o level then tukakutana year one.

Tulijaribu kudate lkn yeye akawa na mambo mengi. Ofcourse alikua ni pisi kali. Kufika mwaka wa pili tukaachana(alidisco)

Tukapotezana kama 3 years. Nimekuja kuonana nae amechoka mbaya. Roho ikaniuma hatari, anajaribu kuforce tuwe karibu lkn ndo haiwezekani.

Kama ingekua ni lazima upate unachotaka bc huyu ndo angekua mke wangu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Kama kwel ungempenda ungerudi ukimpenda mtu ni ngumu kuresist ....ila kama unasema sio kila kitu kwemye maisha lazima upate....mengine tunaacha yapite tu

Mapenzi ya kweli yapo ila mengi hupatika tukiwa bado wadogo sana huku tukiwa watu wazima ni mwendo wa uongo na kuangalia maslai zaidi


Even nataka nianzishe family lakin naangalia mtu kuoa je maslai yatakuaje sio upendo sana...
..upendo wangu uliobaki duniani sasa nitauonesha zaidi kwa watoto zaidi
 
Kama kwel ungempenda ungerudi ukimpenda mtu ni ngumu kuresist ....ila kama unasema sio kila kitu kwemye maisha lazima upate....mengine tunaacha yapite tu

Mapenzi ya kweli yapo ila mengi hupatika tukiwa bado wadogo sana huku tukiwa watu wazima ni mwendo wa uongo na kuangalia maslai zaidi


Even nataka nianzishe family lakin naangalia mtu kuoa je maslai yatakuaje sio upendo sana...
..upendo wangu uliobaki duniani sasa nitauonesha zaidi kwa watoto zaidi
Anataka kurudi baada ya kua hana options. Ni ngumu kuendelea kumpenda mtu anae ona ww ndo kete yake ya mwisho.

Ntaendelea kumpenda kwa mbali tu..

Kuna ka babygirl kapo saiv hakana shida japo pepo la distance limeanza kututafuna kwa kasi.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom