Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Natamani ningekuwa kama wew, mapenz yananitesa sana.
Njoo PM tuongee hata mimi yananitesa kweli kweli.
Natamani ningekuwa kama wew, mapenz yananitesa sana.
Hako katabia unakokajenga katakuja kukucost ata kwenye maisha yako ya ndoa ,baadae utaanza kumlaumu mungu kwamba amekusahau kumbe ni wewe na kichwa chako unashindwa kuchanganua mambo na kusolve matatizo yako.Unafikiri kugombana na wanaume ni sifa,au ukijifanya haujar kuachana na mtu ni sifa lahasha niujinga,wewe ni mtoto wa kike unajishushia hadhi yko na utu wako kama mwanamke.Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.
Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile ninavosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo