Clkey unafaa kutulizwa ndaniNilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana
Una safari ndefu sana kama kweli hutabadilika

Hahahahaha haya bwana utani huo sio mzuriClkey unafaa kutulizwa ndani![]()
![]()
Kweli 100%..wakichelewa nijuzeHahahahaha haya bwana utani huo sio mzuri

TeheheheheheheKweli 100%..wakichelewa nijuze![]()
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.
Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile ninavosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.
Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.
Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida
Naombeni msaada wenu katika hili jambo
Ha ha ha ha ha haaaaa. Duh!!!! Umenifanya asubuhi yangu iwe nzuri,kwanini unashindwa kupata uhalisia wangu?
Asante sanaKila uzi unaumudu kulingana na uhalisia, vilevile nilipenda ulivyoimudu Interview yako swali kwa swali.
Hujajutia kumpaThrice
Haaaaa sasa kwa kiburi icho si itaota sugu maana kila mtu ataonja mtazinguana anasepaKm he ate that P thrice n yet hutak kuonyesha unampenda somethng z wrng wit u
First thing u have to grow up. A real man or a real women hawaachan kitoto namna hiyo na kutupiana maneno machafu.Za usiku.