Unfortunately sina namna ya kukuelewesha zaidi ya kuacha time na experience ikufundishe/ikusaidie mkuu, being a kid has nothing to do with being childish. take or leave it madam.Am not a kid! But why uniambie hivo,maybe una sababu unaweza kuniambia
Kwani hizo ni dharau?Oooh!!
Namkumbuka mary, alikuwa na tabia kama zako, nimeachana nae mwezi sasa.
Ingawa analia kila siku turudiane lkn nimekaza uzi.
Sipendi dharau mm
Sent From Ikulu-Magogoni street
NotedToo much ego.
Msaada badilika.
This is it! Mleta mada pitia comment ya huyu mtu.Too much ego.
Msaada badilika.
Sina utoto sema tu inabidi nibadilikeKwa Mfumo Huo Hutakuwa Siti Ya Daladala Kila Mtu Anakaa Then Anasepa End Of Day Sit Itachokaaa ... Be Matured Acha Habar Za Utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafanyiakazi hili! NashukuruWw dada kaa chini utafute chimbuko la tatzo ni nn? pia badilika kujishusha sio ujinga kiukweli watu uwa tunashindwa kugundua kitu kimoja unapoingia kwenye mahusiano tunashindwa kuelewa huyu mwenzangu ni wa aina gani na ni nn hataki na ni nn anapenda ukishatambua hvyo kamwe uwezi gombana na mtu.
Pia ubabe co issue kwenye mahusiano kaaeni chini mjitafakali mtumie njia gani ya mapenzi ili kuepuka vitu kama hvyo mapenzi co kitandani ni chimbuko lenye kina kirefu sana
Hapana sina tabia hiyoNaye pia was in a relationship with a wrong woman. Kumbe tabia zako ndio hizo za kujikweza?
Bora mmeachana,ungemsumbua sana huko mbeleni.
Thrice
Yah ni mkubwa! That's why nataka kuchange sitaki kurudi nyumaUna umri gani? Mi nahisi ukikua na ukielewa unachokitaka katika mahusiano utatulia! Na kama ni mkubwa! Utakuja jutia baadae jua likizama!