I think am in love with the wrong person

Naughty girl

Member
Aug 5, 2017
95
231
Za usiku.
Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi.

Kiukweli ninampenda i can't deny my feeelings kwake though kuna muda uwa namjibu vile ninavosijikia mimi kumjibu cha kusikitisha i can say ni kwamba huyu kaka haniamini kabisa ananiona mimi ni mtu wa mambo mengi na muongo hata nikimuambia ukweli vipi hawezi kuniamini na mimi pia namuona ni mtu wa kupenda wasichana ingawa sijawahi kumuona nao ila hisia zangu zinaniambia hivo.

Mpaka nakuja kuandika hapa ni kwamba leo nimegombana nae tena kiasi cha kufikia tumeamua kuachana mbaya zaidi tunatumiana texts ambazo hazifurahishi na mimi imefikia stage nimeanza kumtumia message ambazo kwa kweli nikiziangalia naumia mwenyewe maana namjibu vibaya sana na kumdanganya zaidi ili anione sijali hata nilivoachana nae na yeye ananijibu vibaya pia kuonesha kama hanijali na hata tukiachana hataumia.

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana mwisho wa siku aje kuniumiza ila nikifikiria kwa upande wa pili nawaza nitakuwa na wanaume wangapi maana kila mtu akinikera kidogo tu ninaamua kumuacha,nimejikuta hata nikiachana na mtu uwa sijutii kabisa nachukulia kawaida

Naombeni msaada wenu katika hili jambo
 
IMG_20170810_183509.jpg
 
Ww dada kaa chini utafute chimbuko la tatzo ni nn? pia badilika kujishusha sio ujinga kiukweli watu uwa tunashindwa kugundua kitu kimoja unapoingia kwenye mahusiano tunashindwa kuelewa huyu mwenzangu ni wa aina gani na ni nn hataki na ni nn anapenda ukishatambua hvyo kamwe uwezi gombana na mtu.

Pia ubabe co issue kwenye mahusiano kaaeni chini mjitafakali mtumie njia gani ya mapenzi ili kuepuka vitu kama hvyo mapenzi co kitandani ni chimbuko lenye kina kirefu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom