I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

Akifanya hivyo ndio hataumia? Halafu acha kumtisha binti wa watu
Hatishwi huo ndio ukweli 😄😄😄 wanawake selective wana tabu sana, ukute mashosti washamnanga jamaa yake..So anataka aridhishe bunge ila dhambi ya kumpotezea mtu muda na kumuumiza kihisia itamtafuna.
 
Kwani mtoa mada amechagua chagua mara ngapi?
Hizo ni tabia za kike tunazijua na symptom moja wapo ni hio ya kubreak up for stupid reasons. Na hali ya kukosa msimamo, ukipata HB utaona anakuboa maana ni Mario hajui kutafta hela unaacha, ukipata mchapakazi utaona hana sura nzuri na mfupi unaacha, Ukipata mrefu utaona hajui kuvaa na yupo rough sana, Ukipata aliepo smart na mrefu kumbato vizuri hawezi kama yule mfupi unaacha.

Cycle inaendelea hivyo mpaka 35 and ticking!😆😆😆 unaona mbeba zege ni kama ChrisBrown tu wacha anioe tu.

Hapa ndipo naona faida ya watoto walioolewa bikra enzi za mama zetu na kwanini wazee walifanikiwa kuozesha watoto kwa amri. Maana zama hizi kuozesha kwa amri mzee unaeza ukafa kabla ya miaka yako mbona ndo maana wameachana na hio habari. Maana binti mpaka kutoboa 20 ameshafunuliwa na raia kama 10 hivi kila mashine anajua.
 
Inawezekana kabisa, hivi wewe hufahamu kuwa kuna watu wanaolewa na watu wasiowapenda kabisa huku wakiwa na matumaini kuwa watawapenda taratibu. Lakini pia huenda bibie alikuwa na kaupendo kwa jamaa kidogo ila alipoishi nae akagundua vitu fulani asivyovipenda kutoka kwake, (sio lazima aviseme maana vingine vinakuwaga vya kipuuzi tu ila vinapunguza sana mvuto). Au labda bibie alijikuta amemchoka tu na akajikuta hana hamu nae tena japo mwanzo alikuwa na mapenzi naye (hii pia huwa inatokea)
Ndio aviseme hata kama ni vidogo kiasi gani, vitakuwa fundamental ya fair judgement. Maana mpaka sasa ametuacha hewani tutashauri kwa assumptions tu.

Na nikwambie kitu mpenzi, hutakaa upate mtu perfect. Kama huna uvumilivu wa mambo madogo utaendelea kuchakazwa chupini huku ukibadili mabwana kwa mawazo kuwa utampata wa sifa zote utakazo, na mungu aliweka hilo makusudi ili kila mtu asikose mwenza.
 
"...Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu..."...

Hapo umedanganya. Kuna vitu vilivyokufanya umpende mpaka ukakubali ahamie kwako. Pengine vitu hivyo kwa sasa havipo au vimebadilika. Au pengine ulitaka tu akusaidie katika hayo mambo ya rent na mengineyo na sasa umefikia melengo yako unamwona hafai. Kizungumkuti cha dunia: wenzio wanahaha kutafuta waume wa kuwaoa.

Ili kuzuia mikanganyiko jikaze tu umwambie ukweli. Toa sababu zako. Hata kama umepata mwanaume mwingine unayedhani anakufaa zaidi we mwambie tu. Hii ni bora kuliko kuanza kumfanyia visa na mambo mengine ya kitoto. Kama anakupenda kikweli atakuelewa na hatakulazimisha lakini lifanye hili kwa heshima, utashi mwema, uwazi na unyenyekevu. Kama unaona ni vyema unaweza kumwambia mbele ya mchungaji wenu au mtu mwingine mwenye mamlaka kama mama yako...Ukifanya vinginevyo si ajabu tutakuja kukusoma ukiwa kama mwathirika wa hawa wanaocharangwa mapanga na kuchomwa visu na wapenzi wao baada ya wapenzi wao kuwekeza sana tena kwa muda mrefu halafu wanakuja kuwafanyia visa vya kijinga mwishoni mwishoni huku...

Mungu Akuhekimishe katika hili
kabisaaaaa
 
Ndio aviseme hata kama ni vidogo kiasi gani, vitakuwa fundamental ya fair judgement. Maana mpaka sasa ametuacha hewani tutashauri kwa assumptions tu.

Na nikwambie kitu mpenzi, hutakaa upate mtu perfect. Kama huna uvumilivu wa mambo madogo utaendelea kuchakazwa chupini huku ukibadili mabwana kwa mawazo kuwa utampata wa sifa zote utakazo, na mungu aliweka hilo makusudi ili kila mtu asikose mwenza.
Chupi yangu navua wakati wa kukojoa tu tuachane na hilo, hakuna mtu perfect kwa asilimia mia moja ila kila mtu ana vitu vya kuvumilia. Kuna vitu vingine vinaweza kufanya umchukie mtu hata kama ulikuwa unampenda, na vitu ninavyoweza kuvumilia mimi yawezekana Atoto asiweze, na vitu vinavyoniturn off mimi nikimwambia Edelyn anaweza kuniona sina akili sawa sawa. Binadamu tumeumbwa tofauti kila mtu ana kasoro zake, sihitaji mtu perfect nahitaji mtu ambaye ninaweza kumchukulia na yeye hivyo hivyo akanichukulia
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
kweli bahati haiji mara mbili..
 
Chupi yangu navua wakati wa kukojoa tu tuachane na hilo, hakuna mtu perfect kwa asilimia mia moja ila kila mtu ana vitu vya kuvumilia. Kuna vitu vingine vinaweza kufanya umchukie mtu hata kama ulikuwa unampenda, na vitu ninavyoweza kuvumilia mimi yawezekana Atoto asiweze, na vitu vinavyoniturn off mimi nikimwambia Edelyn anaweza kuniona sina akili sawa sawa. Binadamu tumeumbwa tofauti kila mtu ana kasoro zake, sihitaji mtu perfect nahitaji mtu ambaye ninaweza kumchukulia na yeye hivyo hivyo akanichukulia
Basi hujakosea kabisa na upo sehemu salama maana mtu huyo ni mimi😂

You are good then ila kuna mambo ni ya kijinga sana. Nahisi ndio maana mtoa mada kashindwa kuyasema na hakuna kitu kibaya kama unafiki. Jitahidi kusema yote usiyoyapenda mwanzoni mwa uhusiano ili mrekebishane mapema. Impact huwa ndogo sana hata mkishindwana.
 
Basi hujakosea kabisa na upo sehemu salama maana mtu huyo ni mimi

You are good then ila kuna mambo ni ya kijinga sana. Nahisi ndio maana mtoa mada kashindwa kuyasema na hakuna kitu kibaya kama unafiki. Jitahidi kusema yote usiyoyapenda mwanzoni mwa uhusiano ili mrekebishane mapema. Impact huwa ndogo sana hata mkishindwana.
Najua niko sehemu sahihi ndio maana sing'oki hata kwa winchi
 
walimwengu hamna jema ningemsupport mngenisema nimemcriticise napo bado mmenisema ila kiukweli imebidi nimshangae tu maana kwenye hii dunia ya sasa wanaume kama huyo wapo wachache sana waliobaki wote ni mashetani

mimi hata kama simpendi ningeolewa naye tu mapenzi yangekuja yenyewe mbele ya safari huko kwanza nashindwaje kumpenda mwanaume anayenifanyia yote hayo halafu naanzaje kumpenda mwanaume ambaye hanifanyii yoyote kati ya hayo sasa hayo ni mapenzi au mapepo hayo?
Waliobaki mashetani?
Nyie wote ni malaika?
 
Hahaha sio kwamba hatuna jema. .ila imeni-staajabisha kwa-kweli ..kama mleta mada anaijua misimamo yako then ameona kabisa comment yako uki-mshangaa''

Basi ya mpasa hiyo iwe ni Alarm ya kumfanya aanze kujichunguza upya '.... she's not okay aise
Ukichunguza maoni ya bibie edelyn anaonekana kutuchukia Sana sjui tumemkosea nini sisi jinsia ya kiume
 
Nimetamani kumuacha kwa muda sasa ila nashindwa namna ya kumuacha.
Mkataa pema pabaya panamuita. Cha kwanza wanawake ni wengi na wanaume ni wachache. Ukimuacha ataumia lakini atapata mwingine. Shida itakuwa kwako. Kwa taarifa wanaume wa sasa wengi si waoaji material, utamuacha akupendae utakwenda kumpata anayetaka papuchi na hata tigo na matokeo yake utaishi kwa kujuta kwa nini ulifanya kosa ili kubwa. Kaa chini muombe Mungu wako aweze kuondoa roho chafu moyoni. Yaani una bahati ila naona unataka kucheze shilingi kwenye shimo la choo
 
You don wanna marry him while you already cohabit with him matrimonially and the dude plays all the husband's roles that you've been enjoying for two good years! Now you are here seeking for the validation of your devilish decision of dumping a poor guy whom you claim you have never been in love with despite all his good deeds to you.

Girl, as you say you never loved him(of course it's true) you actually spent your time with him b'se of his commitment and subservient actions to you. Now there is huge possibility that guy is in tough financial situation whereby your selfish ass tells you to leave coz the pool of milk is about to go dry.

Kama kweli ulikuwa humpendi kwanini usingemwambia tangu mapema kabla hajaji commit kwako kiasi hicho? yaani umesubiria aishiwe ndio unajifanya humtaki? wanawake kama wewe ndio mnaofanya wanaume wawe heartbreaker kwenye mahusiano.

Once you dump that poor nigga dont expect him to be the same! i cant imagine the amount of venom your fellow woman next to date that guy will face.

Halafu nyie wanawake wa siku hizi mna vihere vihere sana, aliyekwambia kwamba kwenye ndoa mwanamke ndio anapenda kwanza sijui nani..!!!?
 
Back
Top Bottom