I don’t wanna marry him, what should I do?

Hamna sio Kweli. . Wanaume tuna umia ila ni watu ambao huwa hatupendi kuonyesha Jinsi ambavyo tulivyo umizwa ....huwa tuna amua kufa kifo cha mjerumani na Tai shingoni yaani tuna ugulia maumivu ndani kwa ndani

Haswaa kwa kuwa sisi tuna ile ego ya kupenda kutawala na kuheshimiwa na wenza wetu ...pindi linapojitokeza suala kama hilo and the likes huwa Tuna Patwa na sonona sana -huwa tuna hisi kama tume dhalilishwa. ...ila ndio hivyo tu huwa tuna amua kupiga kimya. ....

Ila pia Wanaume Tuna tofautiana katika Hisia zetu na kwenye kuchukua maamuzi. ..Ndio maana huwa una sikia kuwa Kuna wengine huwa wakifanyiwa mambo kama hayo huwa Wana diriki kuua.kujiua. .Kupatwa na anguko la kiuchumi ama wengine Akina siye huwa Tunapotezea tu na kuchukulia kuwa ni mambo ya kawaida na maisha lazima ya endelee
Wanaume huwa hatuumii. I am sure ukimwambia atafurahi sana.
 
Na hii ndio sababu kubwa inawafanya mnakufa mapema. Mnatunza sana sumu mwilini
 
Khantwe .. Umeona hapa binamu ameweka usawa wa jinsia yake na mtoa mada kando. .Kisha ameamua kusimama kwenye ukweli 'kama ambavyo Utu unavyo taka. ....

So what if ninge include mawazo yako au ya mtoa mada kuwa ndio mawazo ya wanawake wote don't you see kuwa ningekuwa nime muonea madame snowhite

Yeah Mkuu huyo ametoa mchango wake kibinadamu siyo kutetea jinsia siku hizi Mkuu wanaothamini utu ni wachache sana mtu yupo radhi asifie jambo ambalo si la kiungwana sababu kafanya mwanamke mwenzie au mwanamme mwenzie

Sehemu moja Tu ambayo wanakosea wengi wao ni kuacha mtu atumie gharama zake jumlisha muda alafu mwisho wa siku unaleta mapicha picha ya hisia hazikuwepo, ndiyo unakuta wenye roho ndogo wanajinyonga wao au kunyonga wenza wao.

Ukiona hauna hisia naye usimuingize gharama na usimfanye ateseke sababu yako, rahisi tu.

IMPERFECT WORLD
 
Nimejitahidi sana kwa kipindi chote hicho ila sikuwahi na sidhani kama nitaweza. Imefikia hatua i just hate everything about him. Kumbuka hata hii ya kuishi pamoja sikuwahi kuifurahia.
Pole asee ngekuwa mimi ngeshaenda kuchukua kozi ingine ya miaka miwil
 
Kama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??

Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.

Kumbe kunatofauti ya mwanaume na mchumba mwenye malengo
 
Wewe waache tu. ..nadhani wa nadhani kuwa -- habari tunazo zisikiaga kuwa kuna wanawake/wanaume wanao uwawa kwaajili ya mahusiano Wana tokea Mars na sio duniani. .siku yakiwafika wao ndio ndio watajua kuwa dunia ni lukumba lukumba. .imagine Kuna mwanamke eti ameandika uzi Ana mchamba mwanamke mwenzie na kutamba kabisa kuwa ame mchukulia mwanamke mwenzie mume wake ...!!!!!

Ogopa sana Kuchezea .Hisia.mali na muda wa mtu
Yeah Mkuu huyo ametoa mchango wake kibinadamu siyo kutetea jinsia siku hizi Mkuu wanaothamini utu ni wachache sana mtu yupo radhi asifie jambo ambalo si la kiungwana sababu kafanya mwanamke mwenzie au mwanamme mwenzie

Sehemu moja Tu ambayo wanakosea wengi wao ni kuacha mtu atumie gharama zake jumlisha muda alafu mwisho wa siku unaleta mapicha picha ya hisia hazikuwepo, ndiyo unakuta wenye roho ndogo wanajinyonga wao au kunyonga wenza wao.

Ukiona hauna hisia naye usimuingize gharama na usimfanye ateseke sababu yako, rahisi tu.

IMPERFECT WORLD
 
Khantwe .. Umeona hapa binamu ameweka usawa wa jinsia yake na mtoa mada kando. .Kisha ameamua kusimama kwenye ukweli 'kama ambavyo Utu unavyo taka. ....

So what if ninge include mawazo yako au ya mtoa mada kuwa ndio mawazo ya wanawake wote don't you see kuwa ningekuwa nime muonea madame snowhite
Utakuwa hujanielewa? Kuna mahali nimesema mtoa mada yuko sawa? Mimi ndio nawashangaa ninyi mnaotetea jinsia, akifanya mwanaume ni sawa na akifanya mwanamke povu linawatoka... Mimi siku zote huwa nasimamia ninachokiamini bila kujali aliyefanya ni mwanaume au mwanamke
 
Wewe waache tu. ..nadhani wa nadhani kuwa -- habari tunazo zisikiaga kuwa kuna wanawake/wanaume wanao uwawa kwaajili ya mahusiano Wana tokea Mars na sio duniani. .siku yakiwafika wao ndio ndio watajua kuwa dunia ni lukumba lukumba. .imagine Kuna mwanamke eti ameandika uzi Ana mchamba mwanamke mwenzie na kutamba kabisa kuwa ame mchukulia mwanamke mwenzie mume wake ...!!!!!

Ogopa sana Kuchezea .Hisia.mali na muda wa mtu
Ukichezea mali yangu naweza kukusamehe ila sio muda wangu
 
Damn girl yo fukd up, big tym. Two yrs with a nigga? You'v been sending out the wrong msg then, release him. Don't do a nigga lyk that, he deserves better!! Kama humfeel and you cohabit then definitely unachepuka,, konnichiwa!!
This bihh is a killer...Wtf is wrong with her damn hormones nigga?😆 She fukked up,,,i believe.
 
Wanaume huwa hatuumii. I am sure ukimwambia atafurahi sana.
HAMNA WATU WANAUMIZWA NA MAPENZI KAMA WANAUME!
yani hawapoooo!
WANAWAKE TUSHAJIZOELEA
PILI WANAWAKE TUNAONGEA
TATU WANAWAKE TUNASHARE EXPERIENCE, kifo cha wengi msiba!
WANAUME HUWA MNAAMINI NYIE NI WA KUACHA, SIO KUACHWA!
NYIE NI WENYE MAAMUZI SIO WA KUAMULIWA!
NYIE NI WENYE MAMLAKA YA KUANZA SO MWANAMKE ANAMALIZAJE?

ehehehehhe wounds za wanaume kwenye mahusiano ni worse kuliko mnavyoweza kuimagine au kutarajia!
 
Wewe waache tu. ..nadhani wa nadhani kuwa -- habari tunazo zisikiaga kuwa kuna wanawake/wanaume wanao uwawa kwaajili ya mahusiano Wana tokea Mars na sio duniani. .siku yakiwafika wao ndio ndio watajua kuwa dunia ni lukumba lukumba. .imagine Kuna mwanamke eti ameandika uzi Ana mchamba mwanamke mwenzie na kutamba kabisa kuwa ame mchukulia mwanamke mwenzie mume wake ...!!!!!

Ogopa sana Kuchezea .Hisia.mali na muda wa mtu
mimi mali zichezee mpk mdako!
yani tapanya zoteeee, vuruga vurugaaaa!
HAZINIKAMILISHI NA NTATAFUTA ZINGINE, NITAZIPATA.

HISIA ZANGU NA MUDA WANGU!
aseee , na hivi huwaga nazimaanisha!
MI NIKICHEKA NAMAANISHA
NIKITUKANA NAMAANISHA!
NIKINUNA NAMAANISHA
NIKIPENDA NAMAANISHA!
 
Kama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??

Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.
mchumba wako sio mwanaume😂😂😂???
 
Nilichogundua ni kuwa wewe huna uwezo wa kushika mimba,maana kwa maelezo yako ni kama zoezi la mimba kwako limekwama,sasa unataka kubadili gia angani eti hutaki kuolewa naye,,tafuta ufumbuzi pia mshirikishe mwenzio juu ya hilo
 
Back
Top Bottom