I don’t wanna marry him, what should I do?

Hamisha makazi kimya kimya na uache kila kitu hadi chakula acha kipo mezani simu ziache pia
 
"...Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu..."...

Hapo umedanganya. Kuna vitu vilivyokufanya umpende mpaka ukakubali ahamie kwako. Pengine vitu hivyo kwa sasa havipo au vimebadilika. Au pengine ulitaka tu akusaidie katika hayo mambo ya rent na mengineyo na sasa umefikia melengo yako unamwona hafai. Kizungumkuti cha dunia: wenzio wanahaha kutafuta waume wa kuwaoa.

Ili kuzuia mikanganyiko jikaze tu umwambie ukweli. Toa sababu zako. Hata kama umepata mwanaume mwingine unayedhani anakufaa zaidi we mwambie tu. Hii ni bora kuliko kuanza kumfanyia visa na mambo mengine ya kitoto. Kama anakupenda kikweli atakuelewa na hatakulazimisha lakini lifanye hili kwa heshima, utashi mwema, uwazi na unyenyekevu. Kama unaona ni vyema unaweza kumwambia mbele ya mchungaji wenu au mtu mwingine mwenye mamlaka kama mama yako...Ukifanya vinginevyo si ajabu tutakuja kukusoma ukiwa kama mwathirika wa hawa wanaocharangwa mapanga na kuchomwa visu na wapenzi wao baada ya wapenzi wao kuwekeza sana tena kwa muda mrefu halafu wanakuja kuwafanyia visa vya kijinga mwishoni mwishoni huku...

Mungu Akuhekimishe katika hili

Shikamoo Mhenga!!
 
Shikamoo Mhenga!!
Marahaba binti yangu. Za miaka?

Hebu mwaga busara zako kwa huyu mwenzako anayetaka kuacha mbachao kwa msala upitao !!!

dae2a9f7-b55f-4352-8f42-dc0c5c11ab89.gif
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
BE VERY CAREFUL of what you wish for it may come true and you may live to regret it.

Haijalishi wewe unajisikiaje kwa ahatua mliyofikia it is too late.Are you in love with some else?Kama ndio basi pole but if no think about this.

I have been married to a person I thought I did not love but we are moving on.

Unaweza kufikiri humpendi kumbe ni kwamba hujui kupenda,yaani hujui kupenda kabisa kwa hio unajikuta kupendwa kuna kusuffocate kama ambavyo unasema.

What you can do.Tafuta namna uwe mbali naye atleast for a week or more a month will be better then baada ya hapo asses yourself was the time spent apart the best for you?

Be careful what you wish for it may come true
 
Kwanini ulikubali alipokutongoza

Wanawake bhana sijui tukoje... Me bwana mtu kama simpendi walah sikubali mtongozo wake hata njiani akinisimamisha nikishapiga hesabu zangu fasta sisimami ng'o nisije kuwatesa watu kwa mawazo

Mtu kama unaona humpendi mapemaaaa kabla hakujapambazuka mwambie kuliko kukubali kukaaaaaa siku unaanza oooh ntamuachaje..... Kaa nae huyo ni chaguo lako
Ubarikiwe sana kama kweli uko hivi.
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Kwanini haumtaki?
 
As if kila mtu anayeachana na mtu huko mbele yanamshinda. Wewe hujawahi kuachana na mtu?
Inategemea na type ya mahusiano. Remember walikua wanaishi wote for good 2 yrs as husband and wife. Yaani wenyewe ni mwili mmoja tayari
 
Na
Atleast umeshauri kwa kutumia akili mkuu, bora mwanaume akuache kwa ridhaa yake tu ila akijua umefanya visa ili muachane kisa umepata mtu mpya au brazamen Karma yake sio nzuri. Huko anakokimbilia yatamshinda tu arudishe majeshi mbio mbio
Na atakapo rudisha atakuta colony lina mwenyewe
 
Wana wa Adam hawajui wakitakacho, hawa madanga hawa ndoa.
Weee olewa nae utampenda ndani huko huko.
 
bibie nimesoma thread yako baada ya kukuazima simu kumbe ndo mipango yako hiyo siyo. asalaleeeee bora kuishi Chato uone Chatu kuliko kuishi darisalama kwa mwanadarisalama ukidhani uko salama kumbe atakuachia alama.
 
Nakisia tu mwanaume wako sio Malaya na anakupa kila kitu...

Achana nalo tu hilo
 
hahaaa wadau wana shangaa Edelyn
kweli maajabu Edelyn huyu huyu kubwa la ma defendants wa wanawake humu Jf leo hii anakuwa tofauti na upande aliyezoea kuutetea.

Huwezi amini comment ya mtu wa kwanza kuifikiria baada ya kusoma hii mada ni yake. Binafsi nilitegemea atavizia comment ya mwanaume mmoja humu inayopingana na mawazo ya mleta mada kisha atashusha gazeti moja matata akijaribu kumtetea mwanamke mwezie halafu baada ya hapo inakuwa ni mjadala usioisha ndani ya mjadala mwingine.

ila ame ni surprise sana Leo.
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
We mrudishie gharama alizoingia kwako basi utakua umemsaidia sana
 
Tafuta hekima ya kumwambia ukweli, inawezekana ameshahisi humpendi ila nayeye kakaza.Mwambie ukweli kwa busara na mkubaliane mtaendeleaje na maisha yenu.
 
Back
Top Bottom