I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Kwa hiyo ulitaka akuhiti and go
 
Nini kilikufanya umpende at the first place na ni nini kinakufanya usimpende sasa hivi!
 
Wengi humu if watakuponda na kukulaani ila mm binafsi nimekuelewa sana, hujawahi kuvutiwa na huyo mwanaume, tafta mwanaume unaempenda ujitongozeshe..huyu usiempenda muache, maana naona huna uvumilivu wa kuishi na mwanaume usiempenda kama wanawake wenzio.. Uvelia
Naunga mkono hoja,atafute mwanume anayempenda...ila ajue tu kuwa Anabeti. Mkeka unaweza kuchanika.

If things go wrong akakutana na vijana wa town atamkumbuka sana huyu kaka wa sasa and it will be very late.
 
Wengi humu if watakuponda na kukulaani ila mm binafsi nimekuelewa sana, hujawahi kuvutiwa na huyo mwanaume, tafta mwanaume unaempenda ujitongozeshe..huyu usiempenda muache, maana naona huna uvumilivu wa kuishi na mwanaume usiempenda kama wanawake wenzio.. Uvelia
Naunga mkono hoja,atafute mwanume anayempenda...ila ajue tu kuwa Anabeti. Mkeka unaweza kuchanika.

If things go wrong akakutana na vijana wa town atamkubuka sana huyu kaka wa sasa and it will be very late.
 
Let the poor girl prepare to fry her own ass after a short while with her poor decision which i really feel it bases on selfish grounds.

The next lady will face the grievances that stem from this dying relationship which weren't even supposed to be part of her new love journey.
You don wanna marry him while you already cohabit with him matrimonially and the dude plays all the husband's roles that you've been enjoying for two good years! Now you are here seeking for the validation of your devilish decision of dumping a poor guy whom you claim you have never been in love with despite all his good deeds to you.

Girl, as you say you never loved him(of course it's true) you actually spent your time with him b'se of his commitment and subservient actions to you. Now there is huge possibility that guy is in tough financial situation whereby your selfish ass tells you to leave coz the pool of milk is about to go dry.

Kama kweli ulikuwa humpendi kwanini usingemwambia tangu mapema kabla hajaji commit kwako kiasi hicho? yaani umesubiria aishiwe ndio unajifanya humtaki? wanawake kama wewe ndio mnaofanya wanaume wawe heartbreaker kwenye mahusiano.

Once you dump that poor nigga dont expect him to be the same! i cant imagine the amount of venom your fellow woman next to date that guy will face.

Halafu nyie wanawake wa siku hizi mna vihere vihere sana, aliyekwambia kwamba kwenye ndoa mwanamke ndio anapenda kwanza sijui nani..!!!?
 
Mpumbavu sana wewe.
Naona kama uko karibu kuuwawa, hujui mapenzi huua unapofifisha penzi la mtu?
Heri umuweke wazi mapema.

Yani unataka asikuache, ila uolewe na mtu mwingine. Sasa unamaliza nguvu zake za nini?
 
Let the poor girl prepare to fry her own ass after a short while with her poor decision which i really feel it bases on selfish grounds.

The next lady will face the grievances that stem from this dying relationship which weren't even supposed to be part of her new love journey.

You are damn right!! the girl will come to get the taste of her own medicine in her future relation, let her decision feeds her short lived fantasy now.

How we take our current relationship is often determined by our previous dates, the heartbreaker is the product of heartbreaking happened in the past relationship. The guy in the question won't be loyal and generous again in his next dates! The sad part he may meet a kind of girl who fully deserves his current version.
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa mkuu nikajua nimesoma vibaya maoni yake na hizi pombe kichwani kumbe ni yeye
A see!! hata mimi imebidi ninawe uso kwa mara ya pili hili nisome tena yawezekana labda nimesoma vibaya
 
Kwanini ulikubali alipokutongoza


Wanawake bhana sijui tukoje... Me bwana mtu kama simpendi walah sikubali mtongozo wake hata njiani akinisimamisha nikishapiga hesabu zangu fasta sisimami ng'o nisije kuwatesa watu kwa mawazo


Mtu kama unaona humpendi mapemaaaa kabla hakujapambazuka mwambie kuliko kukubali kukaaaaaa siku unaanza oooh ntamuachaje..... Kaa nae huyo ni chaguo lako
 
Kwenye mapenzi hakuna huruma, vyovyote utakavyoondoka utamuumiza.

Ila utakakoenda hutapata aina ya mwanaume kama huyo, anayebeba majukumu yote hayo, anayekupenda kiasi hicho. Hili nakuhakikishia.
Kinachoenda kutokea baada ya kuachana na huyo anajua MUNGU, maana yake dah....
 
Back
Top Bottom