Tatizo la wanawake huwa hawasemi ukweli,kuna kitu hyu anatuficha,aseme ukweli tu kwamba jamaa hakuamia kwake kwa bahati mbaya,alikuwa anataka kuwa karibu na ngono usiku kucha kila siku,maana zipo namna nyingi za kumzui mwanaume asihamie kwako kama unataka,hata kumdanganya kwamba mama yako huwa anakuja kila mwez kwako,au unajitaid wewe kuwa unakwenda kwake,lakin baada ya mwanaume kuhami kwake amekutana na kitu tunaita reality of life,when life is more than sex and love,amekuja kumfaham zaid mwanaume na anajikuta sio mwanaume amabaye ndio alitamani awe muwe wake.lakin mtu asiye na msimamo katika mambo yake yote ni hatari sana kushirikiananae katika jambo lolote,may you have UNSTABLE MIND,ambayo itasababisha usitulie uko uendako