Una hamu ya kufa weweNilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.
Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.
Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.
Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.
Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Nadhani shida iko hapo maana kama pesa mshikaji anatoa kodi analipa. wanawake si watu wazuri kabisaHutaki kuolewa?Tatizo ni nini? hawezi ile kazi vizuri?
Kwa kifupi kuna member wengi wamempa ushauri mzuri sana kazi ni kwa ke kuufanyia kaziHicho kilikuwa ni kidokezo tu tena cha nyongeza. Ushauri wangu na wa wadau wengine hapa bila shaka utakusaidia katika maamuzi yako...na always akili za kuambiwa changanya na zako !!!
Ki sheria huyo ni mke wake tayariPole. Basi tafuta kisababu kitakachomfanya akereke na akuache kabisa,au mtengenezee fumanizi either la sms au namna yoyote ili iwe sababu ya ww ku walk out. Ila usithubutu kumuacha maana unaweza kujikuta huolewi Maisha yako yote,ila mngekua hamjawahi kuishi pamoja ingekua simple sana. Ila miaka miwili si mchezo
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.
Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.
Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.
Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.
Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Chepuka akunase, anakuacha vizuri tu
ila hii dunia ni ndogo sana, hakuna binadamu ambae hana mapungufu, utaja mkumbuka tu
Naomba nimtetee, inawezekana ukajikuta mtu keshajihamishia bila makubaliano mbona hata ninyi hili huwa mnalalamika kuwa tunajihamishia? Mtu anaweza kulala leo, kesho anakuja na nguo ya kulalia, keshokutwa anakuja na nguo plus viatu vya kubadilisha pamoja na vitu vyake anavyotumia, kumbuka muda huo anabebelea hivyo vitu vile alivyoleta mwanzo havirudishi. Anaanza kulala siku moja baadae siku mbili, tatu, baadae unakuta kamaliza wiki bila kurudi kwake ndipo hapo anaanza kufahamu hata mambo ya kodi, mboga n.k. Ni hapo tu ndio nimetofautiana na wewe vinginevyo naungana na wewe..Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu......
Hapo umedanganya. Kuna vitu vilivyokufanya umpende mpaka ukakubali ahamie kwako. Pengine vitu hivyo kwa sasa havipo au vimebadilika. Au pengine ulitaka tu akusaidie katika hayo mambo ya rent na mengineyo na sasa umefikia melengo yako unamwona hafai. Kizungumkuti cha dunia: wenzio wanahaha kutafuta waume wa kuwaoa.
Ili kuzuia mikanganyiko jikaze tu umwambie ukweli. Toa sababu zako. Hata kama umepata mwanaume mwingine unayedhani anakufaa zaidi we mwambie tu. Hii ni bora kuliko kuanza kumfanyia visa na mambo mengine ya kitoto. Kama anakupenda kikweli atakuelewa na hatakulazimisha lakini lifanye hili kwa heshima, utashi mwema, uwazi na unyenyekevu. Kama unaona ni vyema unaweza kumwambia mbele ya mchungaji wenu au mtu mwingine mwenye mamlaka kama mama yako...Ukifanya vinginevyo si ajabu tutakuja kukusoma ukiwa kama mwathirika wa hawa wanaocharangwa mapanga na kuchomwa visu na wapenzi wao baada ya wapenzi wao kuwekeza sana tena kwa muda mrefu halafu wanakuja kuwafanyia visa vya kijinga mwishoni mwishoni huku...
Mungu Akuhekimishe katika hili![]()
Hii ndio mbinu ambayo hawezi chomoaMsenge wee!
Ila ngoja tumsaidie jamaa awe free, mwambie umepima una UKIMWI, itamkosesha kabisa hata hamu ya kukuona.
Mwanaume usiyempenda kweli anaweza kufanya hivyo na ukamwachia tu ukaendelea kuishi naye kwa miaka miwili na nusu anakukula na kukuhudumia we umeuchuna tu? Khantwe siamini !!!Naomba nimtetee, inawezekana ukajikuta mtu keshajihamishia bila makubaliano mbona hata ninyi hili huwa mnalalamika kuwa tunajihamishia? Mtu anaweza kulala leo, kesho anakuja na nguo ya kulalia, keshokutwa anakuja na nguo plus viatu vya kubadilisha pamoja na vitu vyake anavyotumia, kumbuka muda huo anabebelea hivyo vitu vile alivyoleta mwanzo havirudishi. Anaanza kulala siku moja baadae siku mbili, tatu, baadae unakuta kamaliza wiki bila kurudi kwake ndipo hapo anaanza kufahamu hata mambo ya kodi, mboga n.k. Ni hapo tu ndio nimetofautiana na wewe vinginevyo naungana na wewe
dont treat her like a cerebrity ,coz if u do she treat u as fan,
aliawahi sema mwana jf mmoja siku zilizopita
Inawezekana kabisa, hivi wewe hufahamu kuwa kuna watu wanaolewa na watu wasiowapenda kabisa huku wakiwa na matumaini kuwa watawapenda taratibu. Lakini pia huenda bibie alikuwa na kaupendo kwa jamaa kidogo ila alipoishi nae akagundua vitu fulani asivyovipenda kutoka kwake, (sio lazima aviseme maana vingine vinakuwaga vya kipuuzi tu ila vinapunguza sana mvuto). Au labda bibie alijikuta amemchoka tu na akajikuta hana hamu nae tena japo mwanzo alikuwa na mapenzi naye (hii pia huwa inatokea)Mwanaume usiyempenda kweli anaweza kufanya hivyo na ukamwachia tu ukaendelea kuishi naye kwa miaka miwili na nusu anakukula na kukuhudumia we umeuchuna tu? Khantwe siamini !!!
Hahaha kwa hiyo mtu kusema biashara zangu ni kosa? Katika eneo hilo alitakiwa asemeje eti, biashara zetu? Wanaume watu wa ajabu sana ninyiSometimes namwelewa mtoa mada sometimes simuelewi.
Namuelewa kwa sababu najua huwezi lazimisha kupenda.
Nashindwa kumuelewa kwa sababu naona ana ego flani hivi, maana sentensi tatu anatamka, "biashara zangu". Sitaki kuendelea kufanya profiling, lakini, a brother is in a very difficult situation.
Yote kwa yote, Lazima ufanye uamuzi kwa faida yako, faida yake, na faida ya Jamhuri.
Kwasababu hatuingii kwenye mahusiano kwasababu tunapendana, kila mmoja anaingia na lake. Huyu anataka papuchi,huyu anataka pesa nk.
Mwisho wa siku mnaishia kuviziana na kuumizana tu.
Hahaha kwa hiyo mtu kusema biashara zangu ni kosa? Katika eneo hilo alitakiwa asemeje eti, biashara zetu? Wanaume watu wa ajabu sana ninyi