What do you men want??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What do you men want???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sikitu, Aug 19, 2012.

 1. S

  Sikitu Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It hurts so much whenever I hear a man crying over a woman he love, coz the same thing is happen to me crying over the man I love. I am an independent young woman, i happen to meet this man for the first time I saw, ma heart screamed that he is the one, nikjikaza moyo nikasema ngoja ngoja Utakuta mwana si wako, nikamuuliza a you married, jibu ilikuwa NOO, nikauliza tena do you have girlfriend akasema hapana am single nikamwambia am sorry but I have to say this nakupenda, alitabasamu nakuniambia tutaongea.

  Nilichukua namba yake, nikasema I will have to call him next weekend tukutane, Kabla sijalala alinipigia nakunitakia usiku mwema, nikasema yes he might fallen too, akawa the first person Kabla ya kulala nakuamka kunijulia hali, nikasema after all this year of suffering where was he when my tears were wetting my pillows. Kwa sababu ya kazi zetu na umbali tuliokuwa tunakaa, we had to meet only on weekend.

  Mahusiano yaliendelea Siku hadi siku, sikuwahi kumuomba vocha wala ela ya nauli au petrol nilijitimzia all the need by my self, I have that mentality kuwa a boyfriend will not be my dad until am married, incase tukienda out he pays half I do the same sikutaka kuwa Mzigo kwake hata, akaanza kuongelea kuhusu ndoa, nikamwambia my main inttention kuwa nae sio kwamba nataka kuolewa, I just someone who can hold my heart, who I can feel free to talk too, hiyo ndoa acha I've automatically as for now we have only 6 month yamahusiano, hujanijua sijakujua, akasema well done, Mbona sijawahi kukutana na mwanamke Kama Wewe, nikamwambia hata identical twins kunakitu kinacho Wa unidentify.

  Ni mwaka sasa Wa mahusiano yetu ila mwanamme kageuka sumu, sasa ananiambia nilishindwa kukwambia kuwa nilikuwa na girlfriend wangu na tuna muda mrefu sasa, haikunijia akilini, nakujiuliza how could really man do such a thing to a woman who doesn't give him headache I cried without showing kwamba it hurt kusikia hivyo, alichoniambia in kwamba though alikuwa na mtu alishindwa afanyaje coz anaona anatupenda wote, I told em ur lying to one of us so naachia ngazi, alinisihi nisimwache Kwani Anaona ananipenda sana, eti nimvumilie ataachana na Yule mwingine. What heart me nakuvumilia yote still someone plays like a king. Nimechoka sasa na maswali ni mengi ninayomuuliza Mungu wangu why does he let innocent people to suffer na mtu uweje someone to know unampenda.

  Swali langu kwa wana JF wanaume wanapenda mwanamke watabia gani, player anaepretend he is the only one, au anaesema I have a true love so don't break my heart, please mawazo yako ni muhimu nitaelewa what is this world of love all about and I will take it from hapo.
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Listen to the lyrics of this song...

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo mnadanganyana. Kila mwanaume ana sifa anazotaka kwa mwenza wake na si lazima zifanane.
   
 4. S

  Sikitu Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ohhh okay, basi u have kuangalia sehemu ya kuchezea sio kila moyo ina deserve pain,
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pole sana!! Tulizana kwanza achana na ma playbway!
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Sikitu,kwanza nakuuliza swali kama ulilotuuliza sisi,halafu jibu,kisha nitakupa uzoefu wangu kwenye mahusiano,unaweza ukakusaidia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  Wanaume wanatak kipochi manyoya.....

  Sometimes wanaume wanapenda wanawake madrama queens....(ingawa wanajifanyaga hawataki, lakini ndo wanapoangukia wengi)

  wanaume wanataka kukuhudumia...sasa wewe humsumbui, humwombi vocha...hapo ni mawili either aone amepata cha bure yer ale mzigo asepe, au ulimpunguzia confidence kuona hata bill mnalipa pasu pasu....

  Mwisho ndoa hupangwa na Mungu.... Mahitaji yanatofautiana kati ya mwanaume na mwanaume mwayego.....
   
 8. k

  kazini Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya mambo magumu sana wanaume wengi sasa hawaeleweki kabisa nini wanatka nini hawataki
   
 9. S

  Sikitu Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi nakujibu, ningependa mwanaume anayenipenda, anaejali, mwenye kujua anafanya nini Kwenye mahusiano
   
 10. N

  Neylu JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah!! Meeeeeeeeen...
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hii mambo hii hainaga kanuni Sikitu, afterall every human being is unique in his individuality, la msingi usiwe mwepesi wa kumuamini mtu, you gotta be cautious!, ni rahisi kama ilivyo vigumu kumpata mtu mtakaependana na mka match! usichanganyikiwe,safari bado ni ndefu!
   
 12. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ila ukweli wanaume wengi wanapenda wanawake pretender
   
 13. j

  jrnedy Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole kwa lililokutokea. u seem to be a very nice gal! Ila inabidi ujue everyman is different, and everyone wants different things! Mapenzi hayana formulae!

  Mahusiano yanayodumu na almost stressfree ni yale baina ya watu ambao personalities zao zinamatch! To know if ur personalities match, try to make a guy ur friend first, if u can be best friends, then u have a chance of having a successful relationship!

  Usiwahi kutamka unampenda mtu kama hujui if your personalities match! It is like walking in the dark, its risky, u might hit a wall!
   
 14. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ingawa sikuweza kuusoma huu uzi mpaka mwisho lakini kuna jambo nataka nikuhakikishie. Ngono na mapenzi ni vitu independent ingawa sio lazima viambatane. Mtu yeyote anaweza kuwa na mtu kwa ngono na sio kwa mapenzi and vice versa. Huyo jamaa yako yaelekea ana uhusiano na huyo mtu wake kingono tu na hana mapenzi naye.Nina mifano mingi, kuna binti mmoja ofisini kwetu ana uhusiano wa kingono na bosi wangu lakini siku moja alinieleza kuwa hampendi kabisa, yeye analinda maslahi yake tu.
   
 15. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe kama wataka kujua wat men want ebu nawe kwanza kuwa careful na selection yenu ya wanaume...sio kila swit word unaambiwa basi wee una amini.
   
 16. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Wanaume tunataka kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja kimapenzi, haijalisha mapenzi ya ndoa au mahusiano. Hii ndiyo asili yetu, na mwenye asili kamwe haiachi. Wanawake lazima mjifunze kuchangia wanaume kwani mpo wengi zaidi yetu, kila mwanaume aki-stick na mwanamke mmoja, wanawake wengine watakosa wanaume. Ndiyo maana wewe mleta mada ulikaa kwa muda mlefu bila mwanaume, lkn ulimpata mwanaume baada ya mwanaume kutoka nje ya mahusiano yake.
   
 17. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana sikitu..
  Sijajua kama huyo jamaa yako anakupenda kwa dhati au ndo hivyo tu anakutaka kwa ajili ya kukidhi mambo yake fulani..Labda aliona kama we ndiyo ulimuhitaji zaidi ndo maana aliamua kukubaliana nawe tu,sasa ndo ameona ni muda wa kukuacha ndiyo maana akakwambia ukweli kuwa ana girlfriend.
  Ni vyema kuepuka msongamano coz is not easy for him kumuacha huyo mwingine ndo maana amekuweka wazi.
   
 18. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sikitu,haya mambo magumu sana na hayana prepared protocols unazotakiwa kuzifuata, lakini i want you to know that ''There is a very thin line between a Player and a True Lover'. Always play your cards with caution..
   
 19. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  ..Mara nyingine baadhi ya me hutokea kutothamini sana mwanamke aliejileta bila kutafutwa...kuna notion kwamba simba huwa wanawinda na huthamini na kufaidi catch ambayo imetokana na purukushani za uwindaji sababu ni kitoweo bora na chenye afya kuliko kile kinachokileta na hakihitaji kuwindwa...hiki kinaweza kuwa kimechoka na goigoi....metaphorically baadhi ya wanaume huchukulia wanawake wawatakao kwa namna hii na hivyo huwa nao kwa kuwa ni nature ya simba kula nyama...pindi atakeapo mnyama mwenye nguvu uwindaji kamili utaendelea...yaweza kuwa moja ya sababu
   
 20. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi siku hizi mpaka nimekata tamaa kuwa na mahusiano,kwa upande wangu na mazingira yanayonizunguka wanawake ndiyo wamekuwa vigeugeu sana kwa mapenzi yaani mtu unafikia hadi hatua ya kujitambulisha kwao kumbe lijitu limewapanga list nzima,kweli mapenzi yanaumiza sana kuna wakati mpaka huwa najiuliza hivi nikiishi bila kuwa na mwanamke nitakufa? Pole sana dada Sikitu.

  My take:Si sisi wanaume wala nyie wanawake siku hizi mapenzi ya kweli hakuna ni kudanganyana tu na kupotezeana muda,kumpata wa kweli ni kumuomba mungu sana.Mimi nilishajikatia tamaa siku nyingi.
   
Loading...