hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,604
- 73,982
Yaani haujaliona tatizo la mtoa mada like seriously? ? Au ni kwa kuwa kwako ni Habari ya binaadamu kumla SamakiHehehe nawashangaa wanaume wanavyomwaga povu kwenye huu uzi yaani nawashangaa sana aisee
Ila ingekuwa ni tukio la Samaki kumla binaadamu kwa upande wako ..basi Ungetamani kuona TV .magazeti. na social media zote zikikemea vikali na kutaka Samaki huyo achukuliwe hatua! !!!
hivi umejiuliza endapo tukio hilo angekuwa amefanyiwa mwanamke Hali ingekuwaje humu katika upande wenu. ........??
Kuna wakati yatipasa tu - onyeshe Utu wetu katika Matukio kama Hasi kama haya pasipo kujali jinsia zetu. Dini .wala itikadi
Mtoa mada ametoa boko
