I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

We hujaamua tu au kama anakasoro zingine useme nikwambie tu ukipata mtu anakupenda na anakuhangaikia hvo usimpuuzie,utayakumbuka haya nisemayo m nadhan pia kupenda unaeza jifunza anza kuimagine upendo wake na vyote vzur anavokupendea bila kusahau nyakati nzuri
Ndo maana kuna methal inasema mpende akupendae nasisitiza unaeza kujifunza kumpenda mtu
Uliwai mkuu kujifunza kumpenda mtu. Ungetupa na iksipiriensi ingekuwa vyema.
 
Meza pain killer tu mkuu.. Hiyo ndio fact yenyewe. ..wachache baadhi yenu mnajielewa ila majority yenu wengi kichwani hamna kitu '' so Hata pale mnapo jitahidi kuji tetea huwa utetezi wenu unamezwa na madudu kama haya tunayo yaona hapa. ... na hatimae huwa tunabaini kwamba mnafanya kazi ya kuitakatisha kaniki iwe nyeupe. .... I'm so sorry to say this
As if nyie ni wasafiiiii!! SMH!
 
Pole. Basi tafuta kisababu kitakachomfanya akereke na akuache kabisa,au mtengenezee fumanizi either la sms au namna yoyote ili iwe sababu ya ww ku walk out. Ila usithubutu kumuacha maana unaweza kujikuta huolewi Maisha yako yote,ila mngekua hamjawahi kuishi pamoja ingekua simple sana. Ila miaka miwili si mchezo
 
Kama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??

Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.
 
Kama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??

Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.
Hapo kwny kuhamia mtihani
Imezoeleka mke ndo anaenda kwa mwanaume
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Bora mapema kuliko kufosi ndoa
Mwambie naomba tuishi separate nitafakari abt mahusiano yetu

U nevr know u may miss him or meet a new person or he may meet mtu mpya pia ikala kwako
Tafakari then chukua hatua
 
Nimetamani kumuacha kwa muda sasa ila nashindwa namna ya kumuacha.

Wengi humu if watakuponda na kukulaani ila mm binafsi nimekuelewa sana, hujawahi kuvutiwa na huyo mwanaume, tafta mwanaume unaempenda ujitongozeshe..huyu usiempenda muache, maana naona huna uvumilivu wa kuishi na mwanaume usiempenda kama wanawake wenzio.. Uvelia
 
Back
Top Bottom