I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

Kwa nin na wew hukumkataa mwanzo hata kabla hajahamia kwako na kukutambulisha kwa ndugu zake...mambo mengine tunajitakia tu...kama hukumpend hukutakiwa kumpa ushirikiano tangu mwanzo maana unapomtambulisha mtu hata kwa rafki zako yey anajua unampenda na upo serious kwake ila kama umeamua kumuacha fanya hivyo kabla ya hajaanza mipango ya ndoa ila umueleweshe kistaarab japo itakuwa si rahisi kukuelewa hata ndugu zake pia watakupa wakat mgum kwel
 
"Siku zote mwenye upendo wa kweli huangukia pasipo na upendo wa dhati."
**************************

Hapo kwenye red siyo kweli. Pengine ungesema mara nyingi...au wakati mwingine...na si ajabu mifano kinzani ya kauli hiyo unayo wewe mwenyewe ukiichunguza vizuri safari yako ya malavidavi....
Asante kwa marekebisho mkuu
 
Asante kwa marekebisho mkuu
Asante pia kwa kupokea marekebisho mkuu. Si wote wanaweza kufanya hivyo
cd460949-62bb-4a59-b2b2-7f1a17e2f871.gif
 
Umeona enh? Angekuwa mwanaume ungewasikia wanaume wenzie wanamwambia aachane na papuchi moja mbona papuchi zipo nyingi sana.
Hahahahah yamewakuta yanalia kama mijibwa koko
One man down dadek
Wanasemaga ooh kuna mademu wa kuzugia na kuoa,kumbe pia kuna wanaume wa kupunguza genye na husband material
Tatizo wanaume/wavulana wa JF wako na uelewa finyu(most of them,si wote)kwenye ishu za mijadala ya mitandaoni,they think cause they have a d.ck they know it all
Hapana kuna wanawake wenye uelewa pia
Mijadala ya mitandaoni especially jf imepoteza mvuto sana,hawataki kujadil hoja bali wanayoyawaza kuhusu kina koku na chausiku wa huko wanakoishi
Wangekuwa wanatembelea forum kubwa za wenzetu wakenya,waganda,wanigeria nadhani wangepanuka sana mawazo na upeo
Kukaa bongo nako from birth to death kunachangia,asilimia kubwa ya watz hatuna exposure,ni aibu sana
Pia nadhan level ya elimu imeleta yote haya, quality ya elimu yetu, after hizi shule za kata imedrop sana,they way mtu anaargue inamuexpose level ya elimu na upeo wake sema wengi hawajui hili.
 
Fact kabisa kutokuwa na exposure nako ni tatizo kubwa mtu kazaliwa mwananyamala kakulia mwananyanala na anakutana na watu wa aina ya huko tu basi ndo anawachukulia hao hao kama sample ya watu wote duniani

Yaani kwa sababu amezoea kuona wanawake wa huko wakisalitiwa au wakipigwa na waume zao wanavumilia basi anasema wanawake wote tumeumbwa na uvumilivu

Bila kujua kwamba hao wanaovumilia wanavumilia kwa sababu wakiachika hawana pa kwenda maana wanawategemea waume zao kwa kila kitu na siyo kwamba eti wanavumilia kwa sababu wana upendo sana au wana heshima sana

Maana kuna wanawake wengine wanaacha waume zao wenye utajiri mkubwa kwa sababu tu ya usaliti au unyanyasaji sasa sijui labda hao siyo wanawake
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Utakua una matatizo ya kisaikolojia wewe
 
Back
Top Bottom