Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Nilienda kwenye mkesha wake mmoja hivi, sikuhitaji dakika mbili kutambua huyu ni tapeli.

Nasikitika yule ndugu yangu aliyenipeleka bado anahudhuria.
 
Atakua anawapulizia hewa ya mizimu waumini wanajikuta hawajielewi...
 
Hello

Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.

Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.

Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake

Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.

Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.

Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.

Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.

Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.

Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.

Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.

Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.

Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.

Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake

Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Shetani adhihakiwi
 
Yaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, 😂😂😂😂😂😂
Unasali wapi nije?
 
Pesa yeyote usiyoitolea jasho lazima ikuchanganye.Ila kuongozwa na watu kama hawa,huwezi kufika popote zaidi ya kuchanganyikiwa.Haya majigambo ni ushetani hamna Roho Mtakatifu hapo.
 
Back
Top Bottom