Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Tapeli kubwa tu,hivi mnapata wapi muda wa kwenda kwa hawa?
 
Haya endelea siku ukibanwa kwenye kona ndio itafahamika kati yangu na wewe nani poyoyo.
Kubanwa kwenye kona ipi wewe kiazi ? Kwamba wanaodai huyo ni nabii hawabanwi kunywe hiyo kona unayodai?
 
Movie inapatikana plat form ipi? Nimejaribu kuitafuta onstream sijaiona
Hata uki Google itakujia, movie inayohusu mtoto mmoja alizaliwa kibahati mbaya na mama muuza samaki akataka kumuua kwa kumtupa kwenye mabaki ya magamba ya samaki ili aliwe na mapaka au mbwa lakini dogo akalia kwa sauti akaokolewa na walinzi wa soko la samaki, mama yake akakamatwa akanyongwa hadharani, mtoto akalelewa na waleaji mayatima, alivyokuwa yule aliyemlea naye akauawa dogo akawa na kipaji cha kunusa kuliko hata mbwa!! Ananusa mtu mkoa hadi mkoa na anamfuata!! Akaenda kuuzwa kama mtumwa kwa mzee mtengeneza perfume, hapo ndio balaa likaanza!! Akawa anatafuta mafuta ambayo wanadamu wakimsikia amejipaka watalegea na kufuata kila asemacho!! Alianza kuua warembo anawakamua mafuta ya maiti, anachanganya na kila anayeua! Akapqta Perfume moja matata! Hata akiua hapo hapo akiletwa kwako unamuhisi kama Mungu wako!! We itafute mkuu .
 
Dahh! Mkuu asante kwa kuweika kwenye summary... Ngoja niitafute
 
Mkuu nimefanikiwa kuipata kisha nikaipakua itoshe kusema dunia ina siri nzito na wanaoweza kung'amua siri naweza kusema ndio wanaishi maisha yao free bila kuyumbishwa hasa kwenye swala la imani na wachungaji.

Fikiria dogo Jean B alivyopelekwa ahukumiwe mbele ya halaiki then ghafla yale mafuta yanabadilisha atmosphere kuanzia mtekeleza hukumu hadi umati wote unamuona Jean malaika. Angalia kilichofuata hadi bishop naye anahamishwa na kuzama kwenye mahaba pamoja na halaiki.

Sasa ukiangalia vile vitendo vilivyokuwa vinafanyika mfano watu wa jinsia moja kuanza kutomasana inakupa picha halisi ya mambo hayo ulimwenguni kote.

Naona kama kilichoonyeshwa kwenye hii movie ni sehemu ndogo ya mambo ya hovyo yanayofanyika duniani kupitia spiritual force. Kupitia hii movie wachungaji ni wa kuwaangalia kwa jicho la tatu kama sio la nne ni hatari kuliko hatari yenyewe

Wakuu itafuteni hii movie kuna elimu nzuri hasa kwa wale wapenda miujiza
 
Mkuu hongera kwa kuiona movie, umeona jinsi hata ya namna alivyokufa!! Alijizidishia mafuta watu wakamtamani mpaka wakamla nyama akaisha!! Sasa unaambiwa yale matone machache yaliyobaki baada ya kuchupa kile kuvunjika, ndio manabii hadi leo wanachanganya na maji wanawarushia wafuasi wanakuwa vichaa, imagine yangepatikana mafuta yote yale dunia ingekuwaje!!?
 
Hapa ni matone yaliyobaki ndio fujo zote hadi kufikia watu kukanyagana hadi kupoteza maisha, hakika dunia ina siri nzito
 
Ndio, ni vimatone tu ndio vinatesa wake za watu, wanahama majumbani kwao, wako radhi washinde kwa nabii wampikie wamfulie, wampe kila kitu kuliko mume na ukiwaonya ni wakali balaa!! Wanaamini kwamba wanamtumikia Mungu. Ni hatareee!! Ndio maana niko huru sitaki imani yoyote ila najua Mungu wa kweli yupo.
 
Halafu mwanawake ni kiumbe rahisi zaidi kurubuniwa, nawaona baadhi wakishika hizo mafundisho za manabii wanakuwa chanzo cha kukosekana utulivu kwenye ndoa zao, na pengine hata mahusiano.

Wanaume sio rahisi kumrubuni ila dada zetu sasa kazi kweli kweli
 
Kabisa
 
Hello

Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.

Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.

Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake

Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.

Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.

Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.

Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.

Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.

Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.

Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.

Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.

Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.

Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake

Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Wew unaumia nini kama unamuona anakasoro temana naye kwanini uangaike naye nini tatizo
 
Back
Top Bottom