Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Na ukitaka kujua wajinga hawajawahi kuisha toka dunia iumbwe ndio kama hivo, kuna waumini huwambii lolote kuhusu mchungaji wao.
Mimi linalonishangaza zaidi kwa Wakristo hata Zumaridi na So called Nabii Titto Wana wafuasi wengi tena ni Loyal supporters .

Hapa Kuna uwezekano mkubwa hata Maghayo The Mongolian Savage , Busu la Kenge na Ghayo TheMongo Barbarian wakafungua Kabisa lao lakuitwa Ghayos Salvatory Church na wakapata wafuasi wengi tu halafu wakapiga pesa na kupelekea kwenye bange zao.

Maarass!!!
 

🤣🤣🤣,Nimetoka isikiliza hiyo😁mie na mziki,,moto huu hapa💥
Screenshot_20250808-181155.jpg
 
Yaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, 😂😂😂😂😂😂

Wafuasi wote wa kitabu kinachosema Nyoka anaongea ni wendawazimu

Pia na wafuasi wa kitabu kinachosema punda ana mabawa anapaa kwenda mbingu ya saba nao ni wendawazimu.

Hakuna wa kumcheka mwenzake. Wote matapeli tu.
 
Back
Top Bottom