cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,389
- 188,125
Ndyo waumini, wamemnunulia gari, wamemjengea nyumba, wanamsomeshea watoto wake shule za private.Na waamini au 🤔
Na kila msimu wa mavuno, kila muumini anatoa kiasi cha mazao yake kwa mchungaji.
Fungu la 10 wanaita.
😂😂😂😂😂