TISS...muangazieni macho Mchungaji Uegbert Angel na huyu Tony Kapola

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo mwenyeji wa mchungaji muhuni na tapeli kutoka nchini Zimbabwe ajulikanae kama Uegbert Angel.

Nimeona yupo hapa nchini kwa shughuli za “Unabii” ila nimetilia mashaka sana safari yake hapa nchini. Ikumbukwe huyu mtu ni Mwanadiplomasia na ana “diplomatic pass” kwa maana kwamba akipita pale Airport hawezi kufanyiwa ukaguzi kama watumiaji wengine. Naomba huyu mtu afuatiliwe kwa umakini sana pamoja na mwenyeji wake.

Huyu Pastor Uegbert Angel hivi karibuni ameshushiwa shutma na kituo cha habari cha Al Jazeera kwa kijihusisha usafirishaji wa dhahabu kwa magendo mchini mwake Zimbawe.

1.

2.

Documentary nzima inapatikana huko Youtube kama GOLD MAFIA
 
Toka jamaa anamfanyia promo ya kuja nchini niliweka mashaka makubwa Sana. Nikajiuliza jinsi Watanzania walivyo ndondocha watanielewa kweli?
 
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo mwenyeji wa mchungaji muhuni na tapeli kutoka nchini Zimbabwe ajulikanae kama Uegbert Angel.

Nimeona yupo hapa nchini kwa shughuli za “Unabii” ila nimetilia mashaka sana safari yake hapa nchini. Ikumbukwe huyu mtu ni Mwanadiplomasia na ana “diplomatic pass” kwa maana kwamba akipita pale Airport hawezi kufanyiwa ukaguzi kama watumiaji wengine. Naomba huyu mtu afuatiliwe kwa umakini sana pamoja na mwenyeji wake.

Huyu Pastor Uegbert Angel hivi karibuni ameshushiwa shutma na kituo cha habari cha Al Jazeera kwa kijihusisha usafirishaji wa dhahabu kwa magendo mchini mwake Zimbawe.

1.

2.

Documentary nzima inapatikana huko Youtube kama GOLD MAFIA

sorry!..Ur wrong.Tiss wa Huko London,UK makazi yake yalipo wasimuangalie kwa macho matatu nyie wabongo ndio mumuangalie?😄😄

Huyo ni Ambassador wa president wa Zimbabwe,maana yake ni Raia Anaeaminika nchini kwake zaidi, wewe unaongea nini?

Wahuni wanakuaga na hadhi ya Ambassador to the President? Tafakari
 
Sio kwa zodozi hili, naona unazodolewa ndani na nje ya uwanja. Ubongo wako umemwagwa paleeeeèeeeeee, nao unaonekana haujabeba kitu chochote , hauna rangi ya gray ambayo ni white+black.

Ubongo wako mweupeeeee kama kanzu ya imamu
 
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo mwenyeji wa mchungaji muhuni na tapeli kutoka nchini Zimbabwe ajulikanae kama Uegbert Angel.

Nimeona yupo hapa nchini kwa shughuli za “Unabii” ila nimetilia mashaka sana safari yake hapa nchini. Ikumbukwe huyu mtu ni Mwanadiplomasia na ana “diplomatic pass” kwa maana kwamba akipita pale Airport hawezi kufanyiwa ukaguzi kama watumiaji wengine. Naomba huyu mtu afuatiliwe kwa umakini sana pamoja na mwenyeji wake.

Huyu Pastor Uegbert Angel hivi karibuni ameshushiwa shutma na kituo cha habari cha Al Jazeera kwa kijihusisha usafirishaji wa dhahabu kwa magendo mchini mwake Zimbawe.

1.

2.

Documentary nzima inapatikana huko Youtube kama GOLD MAFIA
Unawaongelea TISS wa nchi gani wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi? Ww subir maandamano ndio utaona intellijensia yao ilivyo na ufanisi ila sio kwenye issue kama hizo.
 
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo mwenyeji wa mchungaji muhuni na tapeli kutoka nchini Zimbabwe ajulikanae kama Uegbert Angel.

Nimeona yupo hapa nchini kwa shughuli za “Unabii” ila nimetilia mashaka sana safari yake hapa nchini. Ikumbukwe huyu mtu ni Mwanadiplomasia na ana “diplomatic pass” kwa maana kwamba akipita pale Airport hawezi kufanyiwa ukaguzi kama watumiaji wengine. Naomba huyu mtu afuatiliwe kwa umakini sana pamoja na mwenyeji wake.

Huyu Pastor Uegbert Angel hivi karibuni ameshushiwa shutma na kituo cha habari cha Al Jazeera kwa kijihusisha usafirishaji wa dhahabu kwa magendo mchini mwake Zimbawe.

1.

2.

Documentary nzima inapatikana huko Youtube kama GOLD MAFIA

Kama tunatapeliwa na DP bandari, wacha achukue na dhahabu, na kama ana usafiri achukue serengeti
 
sorry!..Ur wrong.Tiss wa Huko London,UK makazi yake yalipo wasimuangalie kwa macho matatu nyie wabongo ndio mumuangalie?😄😄

Huyo ni Ambassador wa president wa Zimbabwe,maana yake ni Raia Anaeaminika nchini kwake zaidi, wewe unaongea nini?

Wahuni wanakuaga na hadhi ya Ambassador to the President? Tafakari
Hujayaona hayo, kuwa uyaone!
 
Good news to the world baba

Kama utapeli ni rahisi na we katapeli😀😀
Utapeli ni biashara kubwa kabisa Tanzania.

Ona Bibi TOZO sijui amehongwa kitu gani, anataka kutapeliwa NCHI kabisa.

Na serikali inatapeliwa kila siku 👇👇👇
 
Attachments

  • allvideo-4.mp4
    1.3 MB
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo mwenyeji wa mchungaji muhuni na tapeli kutoka nchini Zimbabwe ajulikanae kama Uegbert Angel.

Nimeona yupo hapa nchini kwa shughuli za “Unabii” ila nimetilia mashaka sana safari yake hapa nchini. Ikumbukwe huyu mtu ni Mwanadiplomasia na ana “diplomatic pass” kwa maana kwamba akipita pale Airport hawezi kufanyiwa ukaguzi kama watumiaji wengine. Naomba huyu mtu afuatiliwe kwa umakini sana pamoja na mwenyeji wake.

Huyu Pastor Uegbert Angel hivi karibuni ameshushiwa shutma na kituo cha habari cha Al Jazeera kwa kijihusisha usafirishaji wa dhahabu kwa magendo mchini mwake Zimbawe.

1.

2.

Documentary nzima inapatikana huko Youtube kama GOLD MAFIA

Hiyo gold mafia ni skendo inayohusisha Dubai pia. kama main trading centre.
 
Back
Top Bottom