Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Juzi nimekutana na mmama mmoja akaniambia njoo nikasogea

Unaonekna wewe ni kobaz cc Poor Brain nikamjibu ndiyo


Ooh mpokee Yesu, chukua kitabu ukasome uokoke mm namtazama tuu huyo kasepa

Nikasema duuh nikatambikie mizimu ya kwetu
Yqan hyo mmama akasema kabisa et "" weee kobazi poor brain""

Hilo jina kobazi mi ntakuja kupigana na watu humu ndani
 
Hello

Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.

Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.

Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake

Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.

Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.

Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.

Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.

Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.

Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.

Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.

Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.

Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.

Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake

Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Kwanza siamini uwepo wa Mungu wala miujiza wanayoclaim kwaiyo nipo immune na upuuzi wao ndo maana nashangaa watanzania wengi keep falling for these nonsense. Hata km unaamini Mungu c uamini na umsalie yeye kuliko hawa intermediarries. Wewe kama unaamini na una ushahidi wako unamujitaji mtu km Tony cjui nani wa nn??? Wote mnaoenda kwa hawa watu ndo wapuuzi. Yule jamaa na mapastor wengi ni wafanya biashara tu
 
PT ni tapeli tu kama matapeli wengine ila kuna vidada rika la miaka 20's mpaka 30's huviambii kitu kuhusu huyu Pastor sijui wamelishwa nini aisee
 
Ndiyo alifirwa na wajeda 3, baada ya fumanizi na mke wa mjeda m1, jamaa akawaalika wenzie 2, wakamla kiboga mchungaji,

Week 2 yuko hospital Peramiho,
Sijui walitumia kilainishi au kavuu, Dooh.
ona sasa mtu hadi anapokonywa Ubingwa
 
Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.
😂😂
 
Nchi ina maelfu ya wainjilisti, mfuatilie unayemwamini, wengine hawakuhusu, kuna maelfu ya Imani za watu, fuata yako, acha kupinga ya wenzako maadam hawavunji Sheria za nchi au haki zako

KETA ISYAKO
 
Nchi ina maelfu ya wainjilisti, mfuatilie unayemwamini, wengine hawakuhusu, kuna maelfu ya Imani za watu, fuata yako, acha kupinga ya wenzako maadam hawavunji Sheria za nchi au haki zako

KETA ISYAKO
Uko sahihi ila watu wana haki ya kuwakosoa na kuwasema hao matapeli wa kiimani madam hawavunji sheria za nchi
 
Back
Top Bottom