Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,016
- 11,905
Kwanini msifungue makanisa na ninyi mtapeli. Ndugu zangu wana jamii forum kuanzisha kanisa sio kazi ya kitoto ni kazi ngumu sana. Unaanzia chini mnoo unaanzia kushuhudia watu mmoja mmoja baada ya hapo ndio unaanza kuhubiri stendi bararabani. Baada ya hapo unatafuta mabanzi unatengeneza viti vya waumini watatu wawili watano wewe ukiwa mchungaji na mkeo akiwa praise and warship. Sio kazi nyepesi.