Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Wewe umechoka kula ugali,imeandikwa msiwaguse masiha wa Bwana,ukiambiwa useme utapeli wa Mwakasege utasema ulitapeliwa nini?gusa pengine usiguse watumishi wa Mungu wa kweli.
Acha upoyoyo wako kawatishe wajinga
 
Hello

Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.

Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.

Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake

Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.

Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.

Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.

Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.

Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.

Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.

Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.

Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.

Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.

Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake

Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Alishajua waumini wake pamoja na usomi wao ni manyumbu
 
Mimi tangu ile issue ya Niffer nikamshtukia. Hii ya gesi ndio kajionesha ni mtu wa aina gani.
 
Kwenye drama zote hizo naweza kumtetea Mwakasege tu. Nimemfahamu over 20 years na Mwakasege Hana kanisa.
Mi Pia Mwakasege nimemfahamu kitambo sana. Hana kanisa na sijawahi ona utapeli wake. Ila kuna watu wanabwatuka tu kutaja hovyo majina y’a watumishi wa Mungu
 
Mi Pia Mwakasege nimemfahamu kitambo sana. Hana kanisa na sijawahi ona utapeli wake. Ila kuna watu wanabwatuka tu kutaja hovyo majina y’a watumishi wa Mungu
Kuna watumishi matapeli ni kweli na Kuna Kuna watumishi wa Ukweli na hiyo pia ni Ukweli. Kwenye kundi la watumishi wa Ukweli kwa hapa Tanzania Mwl Mwakasege ndo anaongoza
 
Ukitaka kujua kuwa hawa manabii yale mafuta ni ya nguvu za giza, na yana uwezo wa kumfanya mtu yoyote kugeuka zuzu, itafute movie inayoitwa "The perfume" utajua nguvu ya giza iliyopo nyuma ya mafuta ya upako. Kifupi ni uchawi mtupu!! We itafute hiyo movie, utakuja kusema kweli.
Movie inapatikana plat form ipi? Nimejaribu kuitafuta onstream sijaiona
 
Back
Top Bottom