Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Huyu Tony Kapola amekuwaje?

aaah yule jamaa anazamiaga kwny maji kama kambale, yule anaitwa James Nyakia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,,Eeeeeeh huyo bhana, akizamia Huwa nacheka, yule jamaa Huwa namuona ni comedian 😁
 
Songea Nako wameona Kwa kuchumia,maana Kuna vinabii uchwara😁
Usiseme hasa msamala, mtaani kwetu kuna makanisa uchwara 4, yote ni full kugombania waumini.

Kiboko ni mashahidi wa Yehova, walikuja home ili wanirubuni mie, niliwatoa ndukii, hawana hamu kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂.
 
Mashahidi wa yehova wanazo connection zaidi ya walokole 🤔
 
"Nmecheka anawajibu kwamba nyie ongeen, mkimaliza mnarud kwenye nyumba za kupanha yeye anaenda kwenye nyumba yake ya maana, watapanda daladala yeye anaendsha mashine "dah mm n mlokole ila huyu jamaa n noma sjawahi kuskia mchungaji anatoa maneno haya ya kuwaaudhi watu
 
Usiseme hasa msamala, mtaani kwetu kuna makanisa uchwara 4, yote ni full kugombania waumini.

Kiboko ni mashahidi wa Yehova, walikuja home ili wanirubuni mie, niliwatoa ndukii, hawana hamu kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂.
Hao mashahidi wa yehova si walikujaga home pia mama alikuwepo,wakanishawoshi niende kanisani watanipa pesa niwe muumini wao,wakanipa na kitabu yaaani😁,,,,mama kakaa pembeni kama mgeni vile anasikiliza tu,
Usiseme hasa msamala, mtaani kwetu kuna makanisa uchwara 4, yote ni full kugombania waumini.

Kiboko ni mashahidi wa Yehova, walikuja home ili wanirubuni mie, niliwatoa ndukii, hawana hamu kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂.
 
Mashahidi wa yehova wanazo connection zaidi ya walokole 🤔
Hata sijui, nikashangaa wanakuja home wako lelelee, afu kijana na binti, wako na vijitabu vyao,

Nkawasikiliza baadae, nkawaambia mie sio mfuasi wa mambo hayo, wasianze mahubiri yao.
Oooh umepotea, mkaribishe yesu, mara blaah blaah, afu mama alikuwepo, nkamuambia em waambie watoke kabla sijaamsha uchizi wangu. Ndo wanajifanya kumuambia mama, muache huyu kijana mwenzetu tumuweke ktk nafasi bora.

Nilianza kuwachamba na kuwasukuma getini watoke nje. Na niliwachambaa haswaa.
😂😂😂😂😂😂
 
Hao mashahidi wa yehova si walikujaga home pia mama alikuwepo,wakanishawoshi niende kanisani watanipa pesa niwe muumini wao,wakanipa na kitabu yaaani😁,,,,mama kakaa pembeni kama mgeni vile anasikiliza tu,
Afu hawana aibu, kulazimisha watu wawe waumini wao, afu ni wabishi, mie ndo niliwakomesha haswaa.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Super charger toka afirwe hana jipyaa, sahivi mambo yako kwa jirani angu Mbilinyi, hadi Alphard nyeusi kanunuliwa, na nyumba shule ya Tanga karibu inamalizika ahamie.

Huku wafuasi wake wakikesha madimbani luhira na nakarai.
😂😂😂😂😂😂😂
Kafiruulah kaliwa mtu 🤔
 
Kafiruulah kaliwa mtu 🤔
Ndiyo alifirwa na wajeda 3, baada ya fumanizi na mke wa mjeda m1, jamaa akawaalika wenzie 2, wakamla kiboga mchungaji,

Week 2 yuko hospital Peramiho, 😂😂😂😂😂😂
Sijui walitumia kilainishi au kavuu, Dooh.
 
Juzi nimekutana na mmama mmoja akaniambia njoo nikasogea

Unaonekna wewe ni kobaz cc Poor Brain nikamjibu ndiyo

Ooh mpokee Yesu, chukua kitabu ukasome uokoke mm namtazama tuu huyo kasepa

Nikasema duuh nikatambikie mizimu ya kwetu
 
Ndiyo alifirwa na wajeda 3, baada ya fumanizi na mke wa mjeda m1, jamaa akawaalika wenzie 2, wakamla kiboga mchungaji,

Week 2 yuko hospital Peramiho, 😂😂😂😂😂😂
Sijui walitumia kilainishi au kavuu, Dooh.
Nan kamjengea nyumba Tanga ?
 
Afu hawana aibu, kulazimisha watu wawe waumini wao, afu ni wabishi, mie ndo niliwakomesha haswaa.
😂😂😂😂😂😂😂
Mie mama akaniambia hivi ulivyokaa hapo utapika saa ngapi??

Au hauna kazi eeeh😁,

Nenda kapike haraka😁,
Kwani waliondoka😁,
 
Wajinga wataishaje ilhali wanawamenta watoto wao,ndugu zao na wengine wengi?
Kanisani wanaenda na watoto wanaona wanachofanyiwa,watoto wengine wanaona kwenye TV au kusikiliza redioni,je unadhani Wataisha?
Ni tatizo kubwa mkuu, wajinga ndio waliwao.
 
Mie mama akaniambia hivi ulivyokaa hapo utapika saa ngapi??

Au hauna kazi eeeh😁,

Nenda kapike haraka😁,
Kwani waliondoka😁,
😂😂😂😂 wanakera kuzamia nyumba za watu na kuwaletea mambo yao.
 
Wamemroga akina Mwamposa maana anataka kuigaiga biashara zao. Wamempiga jini la kujichanganya
 
Back
Top Bottom