- Feb 10, 2006
- 4,433
- 15,853
Nakumbushwa hapa kuwa sijagusia kupanda ghafla kwa gharama za vitu (MFUMUKO WA BEI) bila udhibiti maalumu, hilo sikutaka lakini niliye naye hapa anadai nigusie.
Vyakula, vinywaji n.k vimepanda bei mara dufu! Haya ndiyo maisha bora ambayo tuyatarajie muungwana?
Vyakula, vinywaji n.k vimepanda bei mara dufu! Haya ndiyo maisha bora ambayo tuyatarajie muungwana?