DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 561
ili kuhimili maisha ya dodoma kipindi hiki....itabidi nikakope hizo pesa za bilioni moja,niweze kula angalau kuku. wakati huu wa rvf,bei ya kuku imepanda sana!
ili kuhimili maisha ya dodoma kipindi hiki....itabidi nikakope hizo pesa za bilioni moja,niweze kula angalau kuku. wakati huu wa rvf,bei ya kuku imepanda sana!
Watu wanapoteza maisha kuhusu huu ugonjwa kuliko hata tunavyodhani au tunavyoelewa.Fedha nyingi zimeteketea kukabiliana nalo na Bado nyingine zinahitajika kingine kikubwa ni Busara Rais kuliongelea hilo kwani kama wananchi watalipuuzia litaendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa...............Inaua HARAKA SANA,Tukumbuke huyu ni Amiri Jeshi Mkuu na hii ni moja ya vita dhidi ya adui maradhi.Mimi najiuliza kama Nchi ina shida hii tu yaani hotuba ya mwezi mzima ameongelea haya pekee ?Tanzania haina shida zingine urgent sawa na RVF ?
Mfano imeripotiwa kuwa znz, amekodi parlours presidentials wings rooms 3@3800/day* 10days=114,000$
other studio rooms 15@300/day* 10days=45,000$
sasa hapo bado foods,entertainment ,galas,LOGISTICS etc
kimsingi mapumziko yake ya siku kumi tu pale znz yatatugarimu si chini ya dola 500,000 hapo sijaweka na posho za walinzi na vitu vingine.sasa kwa mwendo huu nakisi ya bajeti itaacha kufikia shillingi 1.14 trillion kwa mwaka huu tu ,maana hadi leo tayari nakisi ni 900 billion.
still ameita kikao wiki ijayo wakuuu wote wa mikoa na wakuu wa idara na mawaziri dar kujadili ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali inayoseama kuna nakisi... kumbukeni kikao cha Lowasswa na wakuu wa mikoa kujadili shule waziri kombani kasema walitumia 160million kwa posho,,,
sasa na cha wiki ijayo cha JK?
JK is on his way to become the worst president we ever had. He needs to see a ENT specialist to clear his blocked ears. Imagine, kikao cha kujadili nakisi ambacho nacho kitaongeza nakisi!! Its like forming a committee to discuss why there are so many committees!!i.....sasa kwa mwendo huu nakisi ya bajeti itaacha kufikia shillingi 1.14 trillion kwa mwaka huu tu ,maana hadi leo tayari nakisi ni 900 billion.
still ameita kikao wiki ijayo wakuuu wote wa mikoa na wakuu wa idara na mawaziri dar kujadili ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali inayoseama kuna nakisi...kumbukeni kikao cha lowasswa na wakuu wa mikoa kujadili shule waziri kombani kasema walitumia 160million kwa posho,,,sasa na cha wiki ijayo cha jk?
i am taken by surprise to read in the news withregard to jk ..holiday at zamani kempski zanzaibar,..this is a series of relaxing holidays made last year including the dec 2006 in serengeti and ngurdoto....
sasa hizi gharama its too much ,mfano imeripotiwa kuwa znz,
amekodi parlours presidentials wings rooms 3@3800/day* 10days=114,000$
other studio rooms 15@300/day* 10days=45,000$
sasa hapo bado foods,entertainment ,galas,LOGISTICS ets
kimsingi mapumziko yake ya siku kumi tu pale znz yatatugarimu si chini ya dola500,000$ hapo sijaweka na posho za walinzi na vitu vingine.sasa kwa mwendo huu nakisi ya bajeti itaacha kufikia shillingi 1.14 trillion kwa mwaka huu tu ,maana hadi leo tayari nakisi ni 900 billion.
still ameita kikao wiki ijayo wakuuu wote wa mikoa na wakuu wa idara na mawaziri dar kujadili ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali inayoseama kuna nakisi...kumbukeni kikao cha lowasswa na wakuu wa mikoa kujadili shule waziri kombani kasema walitumia 160million kwa posho,,,sasa na cha wiki ijayo cha jk?
Hivi washauri wa Uchumi ni kina nani pale Ikulu?Hivi washauri wote wa Rais kwenye mambo mbali mbali pale Ikulu ni kina nani Hao?Mbona kila ushauri unaotolewa na kutangazwa kwa ajili ya kutatua swala fulani linaacha maswali mengi kuliko ufumbuzi.JK is on his way to become the worst president we ever had. He needs to see a ENT specialist to clear his blocked ears. Imagine, kikao cha kujadili nakisi ambacho nacho kitaongeza nakisi!! Its like forming a committee to discuss why there are so many committees!!
Waheshimiwa niombeni kazi ya ushauri,Ninaweza nisiwe mzuri Lakini nafikiri ninaweza nikawa Bora Kulikoni hawa tulionao pale Ikulu. Hata ukaguzi wa mikataba nitaifanya,Mnaofahamiana na muungwana mko wapi?Mniombee kazi nitaifanya under probation ya miezi mitatu nikishindwa basi anitimue na Mapendekezo yangu yasipofanyiwa kazi baada ya miezi mitatu au kuonyesha dalili ya kuleta mafanikio Basi nitajiuzulu .Hasa kwenye hili la kubana matumizi kwenye serikali nitalifanya vizuri Zaidi......................!
Chief:
Hakuna wataalamu wa kumshauri Muungwana on such things.
Kazi ipo!