Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

tibwilitibwili

Senior Member
Sep 12, 2006
181
10
Kikwete said:
watu wengine wanasema ama hata kudhani kwamba sasa Nchi hii itatawaliwa na Marekani ama kufuata maamuzi ya Marekani, mimi nasema hapana Tanzania itaongozwa ama itatawaliwa na Watanzania.


Swali je JK haya maneno uliyo yasema pale Bungeni siku ile si ukweli wa matendo yako kwa leo hii juu ya Marekani ?
 
Inapatikana hapa. Soma ukurasa wa tatu.

Kipengele hiki hapa!!!!!

SASA MBIO ZA MAREKANI ZIPO AU HAZIPO?

UCHUMI UNAOPAA

Mheshimiwa Spika: Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuunza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

Wakati wa kampeni wapo baadhi ya wapinzani waliothubutu, kwa kukosa shukrani, kusema ati Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa inatekeleza sera zinazobuniwa Washington. Serikali ya Awamu ya Nne haitaogopa kubuni na kutekeleza sera na mikakati ya maslahi kwa ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania ati kwa vile zinaungwa mkono au kufadhiliwa na nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa.

Hatutafanya lolote lisilo na maslahi kwa taifa letu kwa kuwaogopa au kutaka kujipendekeza kwa wakubwa hao. Lakini vile vile hatutaacha kufanya lolote la maslahi kwa taifa na Watanzania kwa vile tu linaenda sambamba na ushauri wa mashirika ya fedha ya kimataifa.Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Sham US firm leaves Tanzania in the dark
Juma Kwayera
Posted Wed, 11 Oct 2006

Dar es Salaam - United States authorities raised a stink over Tanzania's power equipment procurement procedures with revelations on Tuesday that an American incorporated firm that won a $172mn contract to supply 100mW capacity emergency generators was "a mailbox company".

The revelations followed growing concerns over delays in the delivery and installation of the generators that have caused panic over imminent further power cuts after the company, Richmond Development Company, failed to deliver the first consignment of generators on October 8.

Richmond cited freight schedule changes that had led to delayed shipping of the equipment from North Carolina, Texas in the United States.

After many months operating in the shadows, the secretary of North Carolina, William Pate, said the firm did not exist.

Pate said: "The secretary of (Texas) state is supposed to receive filing notices of the companies that do business in Texas. It would be odd for a legitimate company not to comply with this requirement." Richmond, he said, had never done that before going on to question the firms creditworthiness.

Pate's disclaimer threw open possibilities that the state-funded power firm, the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), was engaged in underhand dealings with briefcase firms that seek to dupe gullible and corrupt government officials.

Revelations that Richmond Development Company was a "mailbox firm" came as a slap in the face of President Jakaya Kikwete, who during a recent tour of Tanesco premises assured the country that power generation would be stepped up from October 8, the same day the firm was supposed to deliver a 40mW capacity generator.

President Kikwete's assurance snapped the growing criticism, with critics angry that his frequent foreign trips had shifted attention from the economy, which they fear was tottering on the brink of collapse.

Richmond's address was given as Houston, Texas and its directors' names as Tanzanian-born Mohammed Gire and Pakistani Mohammed Huque, a. Pate's report denies the existence of the addresses.

Gire's kin, Naeem Gire, said on Tuesday in Dar es Salaam that the firm was unable to secure a cargo plane to airlift the turbines to Dar es Salaam. "The equipment is already there in North Carolina. We are only having problems with the freight company that keeps changing its schedules," Gire said.

Richmond's financial inability to meet its contractual obligations first came to light October 9, when it was revealed that the central bank had turned down an application for $10mn as down payment "to lease and airfreight the turbines" to the East African nation.

The revelation about Richmond's hazy background coincided with Tanesco's announcement on the same day that it planned to shut down its main hydropower plants – Mtera, Kihansi and Kidatu - in the south after water dropped further to critically low levels this week.

The three dams were currently generating a total of 78mW against their installed capacity of 460mW. Eighty percent of the current power generation capacity was being met by overstretched thermal plants, which were producing slightly above 100mW. The shortfall has resulted in a crippling 12-hour seven-days a week load-shedding schedule.

A senior official in the ministry of energy and minerals, Arthur Mwakapugi, confirmed the looming crisis, saying, "The only way out is to install emergency generators as soon as possible."

He added, "We will not be able to supply power to towns in the north of the country. A 40mW capacity should be installed there as soon as possible and there is also a need for additional power generators as soon as possible." Most of the country's agro-based industries are in the north, where tourism is also a key component of the economy.

As the government grapples with the deepening power crisis, Tanesco managing director Adriaan van de Merwe warned on Tuesday that the country would plunge into total darkness from around October25, when the hydropower options would be exhausted.


http://www.businessinafrica.net/news/east_africa/269560.htm
 
Haya ndiyo mafanikio ya MBIO ZA KUKIMBILIA MAREKANI.

JK BADILI MWELEKEO HAO VIJANA WANAOKUSHAURI KUELEKEA MAREKANI WANAKUPOTEZA!

WATANZANIA HATUKUKCHAGUA UENDE MAREKANI!

HISTORIA YETU SIYO YA HUKO HATA KIDOGO. UNADANGANYWA HALFU MWAKA 2010 TUTAKUULIZA NA WATU WATUKWEPO WAKISEMA SI MNAONA HUYU MAAMUZI YOTE YANAFANYA NA BUSH!!!
 
JK cannot be trusted unless you are a fool who can buy his arguements. JK anashiriki kuhujumu Nchi kwa urafiki wake na ndugu zake kuvurunda knowingly lakini haweza kusema wazi . JK umejaa unafiki na unaipeleka Nchi pabaya . JK kama alivyosema Mzee Es hashauriwi kufanya ama kukubali haya kwa hiyo neno anashauriwa vibaya halina nafasi . JK ni mtu ambaye amekuwa kwenye system kabla wengine hapa hawajazaliwa na tuko wadogo he must have known what Tanzanians want mwaka 2006 .I cannot trust my President kwa kwua hataki ukweli na anaogopa kuchukua hatua . Hata mwaka bado we have hoax businessmen so close to his mtandao je miaka within 5 yrs tutakuwa na hali gani ?
 
Kwenye hilo la kampuni ya umeme anaendeleza tu usanii alioukuta serikalini, ambao ulianza toka enzi za awamu ya kwanza, hakuna jipya! Unawezajer kusaini mkataba na kampuni ambayo hata hujaiona au kuona shughuli zake? Serikali si ina mdhamnini wa mali za srikali kazi ya zamani ya Bhoke Munanka, ambayo ni kuenda na kukagua hizo machine huko majuu kabla ya mkataba haujasainiwa, sasa ilikuwaje hapa ikafanyika hiyo?

Media iko wapi? Na sisi wananchi tuko wapi maana hii article hapo juu ni a big joke kwa wananchi wa bongo, huu usanii haukuanza leo JK anauendeleza tuuu!
 
Sorry lakini JK anahusika vipi kwani wakati wa kuzisign hizi contracts waziri mhusika alikuwa wapi?Katibu wake je? kule wizara ya Mipango na Fedha je? sasa kama JK atalaumiwa kwa kila kitu sidhani kama tutafika kwa sababu serikali ni kubwa na najua tunajuwa wahusika ni akina nani na kazi ya media ni kuwauliza hao wahusika pamoja na TANZA TRADE(USA) kama walihusika ndio maana ya SPECIALIZATIONS AND DIVISONS OF LABOUR
 
Mzee Es,

Mkataba huo na baadhi ya ma-deal kayaendesha waziri wenu wa Nishati alipokuja huku miezi miche iliyopita. Esp. mkataba huu haukuwekwa wakati wa ziara ya rais US mara ya kwanza wala wakati huu wa UN isipokuwa waziri alikuja huku na kaingizwa mkenge kwa tamaa ya 10%.

Toka Mwnyi na Wasouth, zile benki za kigiriki na sijui Nkapa na Maleysia yote tulifungiwa kanyaboya. JK utawala wake unaendeleza aliyoyakuta kama alivyoahidi na inabidi tum-trust kwa sababu tulimchagua kwa kuendeleza yale ya Nkapa au sio?... heheh! hehehe!... heheh!.

Nyumba za serikali zinauzwa leo hii hadi dollar 300,000 hali viongozi hawa walizinunua chini ya dollar 50,000 hata miaka miwili haijapita.

Ndugu zangu zipo kampuni kibao nyingi za kiafrika zinazoweza kuendesha na kushughulikia matatizo yetu lakini JK sii mtu wa kumtegemea. Ni uongo kufikiria kwamba Marekani wanaweza kuyaondoa matatizo yetu kama alivyofikiri Nkapa miaka yote aliyotawala na kutuita sisi wavivu tusiokuwa na mtaji..

Ebu tazama site hii http://timbuktuchronicles.blogspot.com/ mpate kuona mwamko wa waafrika ktk biashara na sii kweli waafrika hatuwezi ku-invest. Ujinga wa mwafrika ni kutojiamini na kuamini kuwa waafrika wanaweza kuyamudu matatizo yao. JK ni mfano bora wa viongozi wasiokuwa na imani ya uwezo wao wenyewe!
 
Sasa kafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kabla hii issue haijafika mbali, mwanakijji good work kampeni yako naona inafanya kazi. Sasa tutaambiwa tumpe muda kwenye mabadiliko hayo hasa ya watu waliomdanganya kwenye umeme, kti pekee ambacho itabidi nimshauri rais itabidi achukue muda mwingi kupitia ma faili kuliko kutembea kama asivyoangalia watu watamwingiza pabaya. See you next time.
 
JK hajanifurahisha, angepiga chini Msabaha pamoja na wale mawaziri wenye bogus degrees kwa kuwa wanaleta image ya usanii ndani ya baraza la mawaziri.
 
Jamani the buck stops at the president sio waziri, suala urgent kama la umeme hapa bongo utasema n tatizo la waziri?

halafu what is good ya kubadilishwa wizara kwa watu kama Msabaha?
 
Hii mikataba isyokuwa na shingo wala vichwa ni hatari. Kwanza sijuwi kwanini tunawaamini watu waliozaliwa Tanzania wakaikimbia na sasa eti wanarudi kuomba mikataba. Hili haliingii akilini. Ningewaelewa watu hawa kama wangerudi na mapesa wakawekeza kwenye miradi wanayoigharamia wao wao, lakini hili la kupewa rabuni za mapesa za walalahoi kijuchu ni taarifa mbaya sana.

Jk anaangaika hapa na kule lakini kazi ndiyo bado hajaianza, na ingekuwa vema akasafisha yale anayoyajuwa mara moja ama sivyo malengo yake mema itakuwa ndoto tu. Sasa hivi inabidi ashughulikie wale wote anaowajuwa bila kigugumizi: wauza unga, wala rushwa, kurudisha nyumba, wenye PhDs za uongo, mikataba korofi ya zamani na inayoibuka n.k.

Hawa waliolileta hili la akina Mohammed Gire asipowashughulikia basi ataanza kupoteza imani za wazalendo wengi.
 
Nasema hivi.. hawa kina Mohammed & Mohammed wasiruhusiwe kuondoka Bongo hadi hiki kieleweke!! But, ubalozi wetu unasema nini maana Daraja alienda hadi Houston.. akapewa ukazi wa heshima na Meya...
 
Ama kweli huu ni Usanii!
Sasa hawa mawaziri waliotufungia kanyaboya mndio wameisha save au sio. Msabah na umeme bandia alitakiwa kuchukuliwa hatua na sio kuhamishwa wizara. Navyofahamu Wadanganyika wepesi wa kusahahu na kusamehe, kesho utasikia watu wakimlaumu Karamagi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom