Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Naomba kujua suala la ARTHI LINASIMAMA WAPI KWENYE HII EAC...Hapo ndipo pa kuchinjana kwa mapanga butu..!!!


Kuna mwenye link ya ninapoweza kupata jibu..??
 
Hili swala la ARDHI sasa hivi litaleta matatizo makubwa sana baadaye na haliwezi kuwa -solved under any leadership iwe chini ya Chadema wala CCM wawajibikaji. Tanzania ni nchi ambayo haina vitambulisho wa mfumo bora wa kulinda nchi yetu kiuchumi, kesho Watu wote wa kuja watazungumza kiswahili kama sisi na pasi zao za Utanzania. Wenye fedha watainunua ardhi na most likely wageni..Tanzania itageuka kuwa Palestina ya Afrika.
Tumekwishaaaaa!
 
Hili swala la ARDHI sasa hivi litaleta matatizo makubwa sana baadaye na haliwezi kuwa -solved under any leadership iwe chini ya Chadema wala CCM wawajibikaji. Tanzania ni nchi ambayo haina vitambulisho wa mfumo bora wa kulinda nchi yetu kiuchumi, kesho Watu wote wa kuja watazungumza kiswahili kama sisi na pasi zao za Utanzania. Wenye fedha watainunua ardhi na most likely wageni..Tanzania itageuka kuwa Palestina ya Afrika.
Tumekwishaaaaa!


Watanzania wengi wanadanganyika kuwa nchi ina arthi kubwa sana ambayo haiwezi kwisha...!!
 
Mkandara,
Mambo bado. Nimesikia leo waziri Ngasongwa akisema kuwa serikali imeshatambulisha eneo la ekari milioni mbili watakalotengewa wawekezaji katika mkoa wa Dar. Huu ni mwanzo tu, zoezi hili litasambazwa nchi nzima. Kasi mpya hiyo.
 
Jasusi,
nilisikia habari hizo ktk mkutano wa viongozi wetu walipokuja hapa lakini ndio hivyo wanajenga mifumo bila tahadhali ya kuwalinda wananchi... Macho yao fedha tuuu, wanaona highway nyeupee haina traffic!
 
Wabongo have very shortlived memories.They have forgotten how they were kicked out of Kenya after the collapse of the EAC in 1977;just when we were getting ready to launch the formation of CCM.Waliwahi kuniambia that we had nothing more than Cholera to contribute to the Union.
They even went to the extent of saying Pole Sana when you told themyou were Tanzanian.Nashinwa kuelewa kwanini hatuone kama sasa tutanyanyawa hapa hapa kwetu safari huu.
 
Amri wa Shura ya Maimamu, Sheikh Mussa Kundecha, aliitaka serikali ya Tanzania kuacha kuharakisha kuanzishwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki kwa madai bado halijaeleweka vema miongoni mwa wananchi wengi.

``Kuna ajenda ya siri iliyopo nyuma ya uundwaji wa shirikisho hilo na ndio maana viongozi wanataka kuharakaisha kuundwa kwake wakati wananchi wengi hawajui lolote, watoe muda kwa wananchi kuelimishwa na watakapoiva ndio wasikilize maoni yao,`` akasema.
source: http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/01/24/83001.html

Washkaji hii kali...EAC ipingwe...wapinzani wetu wapo wapi?Mbona hili hawakuluzungumzia? au basi waandae Maandamano mengine juu ya hili. Nchi zote duniani zinawalinda wenyeji. kwani wanajua wasije kuleta NOMA...
 
Catholic Information Service for Africa (Nairobi)
January 24, 2007
Posted to the web January 24, 2007
Nairobi

Current land problems in Tanzania are due to the effects of the country's past policy of African socialism and self-reliance, participants at the World Social Forum said.
The policy laid the foundation for the continued discrimination of women and peasants in terms of access to land.

Activists therefore called for a reassessment of the present land policy to facilitate issuance of individual customary land titles.
According to Makaburi Phiri of United Peasants of Tanzania, for decades the country has operated two land laws: the National Land Act and the Village Land Act. The National Land Act, he said, vested power on the President to issue land, giving him "the right to determine who should own land."
Under the Village Land Act, community land is registered yet peasants do not have the right of occupancy, Phiri added.

At the same time, Kenyan pastoralists cried foul over the group ranches system, which they said does not allow them the right to their land. The rest of the land is reserved for wildlife.
Titus Lengishili, an activist, said pastoralists want the government to give them a bigger share of wildlife revenue.

These and many more are the problems Tanzania is going to face when this handycapped union takesover.
 
mimi napingahili shirikisho na nitakuwa SCEPTIC kwa sababu naona hakuna much info na tunapelekwa pelekwa tuuu
 
Ni hatari sana huu mchezo wa kuingizwa na watawala kichwa kichwa bila ya sisi kuelezwa . JK nashindwa kujua kwa kweli ana nia gani na Tanzania yangu .Mambo haya ya EAC wenzetu wamesha jiandaa sik nyigi kwa kuwasomesha watu na kuwaambia haki zao za msingi . Tutaishia kushitakiwa sasa kila mara na kudaia fidia maana wenzetu wanajua wanacho kifuata na sisi tuna waita tu .Pole Tanzania yangu
 
Ahadi walizoahidiwa viongozi wetu zinawachanganya na kufanya haraka kuunda shirikisho kwa faida ya marekani, hawa jamaa wanaona mbali sana, kuna taarifa zinasema mafuta yameanza kupungua mashariki ya kati, na kunasemekana kuna dalili za hifadhi kubwa ya mafuta africa mashariki na zanzibar.

Hawa jamaa wanaharakisha shirikisho, apatikane rais alafu waingie mkataba na east africa, hata baadae ikivunjika jamaa watakuwa wamefanikiwa azma yao.

Tujifunze kutokana na makosa, Ben Makonde aliahidiwa msaada mkubwa na marekani endapo angefanya marekebisho ya uchumi, Ben hakusia la mimam au mnadi sala, akataifisha mashirika kwa speed, tanzania inkaingia kwnye mpango wa mellinum challenge ... mpango wa marekani kusaidia nchi masikini, mpaka leo hii pesa haijatoka wao wameshafaidika.

Ni juzi nimesikia wakitangaza kwamba marekani itamwaga 1 trillion kwa tanzania na wapambe wakasema hii ni matunda ya safari ya muungwana US, nani kakuambia. Kabla ya kuzipata hizo pesa watatuumiza tena.

Misaada inatuumiza.........
 
Hili swala linaniudhi sana ila tu najilaumu kwani nini siko katika position ya kuzuia hii jumuia isipewe madaraka yatakayotumaliza kabisa baada ya CCM kuwa wamelewa madaraka tuliyowapa na kuamua kuyatumia kutuharibu kiasi hiki. Viongozi wetu wanafanya mambo ya kijinga kweli kweli kama vile nchi hii siyo yao. Nadhani ni kwa vile wanajua kuwa madhara ya jumuia hiyo hayatawafikia wao. Kama swala la ujirani mwema tungeweza kujenga model nzuri tu ambamo kila mtu analinda familia yake wakati wote tuna ushirikiano ambao unaosidia pande zote zinazohusika. Hii model ya kusema kuwa ni ruksa kwa jirani kuingia hata chumbani kwangu na kulala na mke wangu ni uendawazimu kabisa ambao sijwahi kuuona. Wakenya walipoona kuwa jumuia ilikuwa haiwapi masilahi ya harakaharaka waliyokuwa wanataka wakaivunja. Leo hii Kenya wameshajizatiti sana wanaanza kutuamria jinsi ya kufanya ili waje watudumbulie raslimali zetu. Ujinga kabisa kabisa kabisa.

Mimi yangu macho tu. Swala la kuachia wakenya na waganda waje kuchukua kazi Tanzania kweli haliniingii kichwani kabisa kabisa.
 
Nadhani Wazungu wanataka eneo la Afrika Mashariki liingie katika mgogoro mkubwa na hata vita ili wachukue rasilimali vizuri wakati watu wanapigana.
 
Habari hii ya kuundwa shirikisho la Afrika Mashariki ni maamuzi ya Viongozi wetu pekee!.Halina Baraka,wala halikubaliki hata kidogo kutoka kwa wananchi wa kawaida.Suala zima limechukuliwa haraka haraka bila kuangalia nini madhara yake kwa wananchi!.Mimi binafsi nililipinga toka mwanzo na sitokuwa na aibu kulipinga Daima,kwani nakumbuka Jumuiya hii ilivyokufa kifo cha kijinga mwaka 1977.Ndugu watanzania tunawakaribisha hawa wenzetu,naapa hapa kwamba watatutawala ndani ya nchi yetu,nawajua vyema watanzania kwa ujinga wetu wa ukarimu hata kwa maadui.Hawa akina Onyango wanakuja kama wajinga leo,lakini baada ya miaka kadhaa utaona wanamiliki ARDHI nasi tunaachwa bila mali.Eeeeh MUNGU we!Mbona Nchi inauzwa mchana kweupeeeeee!
 
Mkandara,
Mambo bado. Nimesikia leo waziri Ngasongwa akisema kuwa serikali imeshatambulisha eneo la ekari milioni mbili watakalotengewa wawekezaji katika mkoa wa Dar. Huu ni mwanzo tu, zoezi hili litasambazwa nchi nzima. Kasi mpya hiyo.


Hizi ekari milioni 2 zipo ndani ya Dar kweli..??
 
Yebo Yebo,
Na mimi nimeshangaa. Labda wataelekea Bagamoyo.
 
In Favor of An East African Community​

I assume that none of us is against some form of an East African Community. It is not feasible to be isolationistic in these days of globalization. Singly, Tanzania, Kenya and Uganda do not carry much weight on the global scene, but if united, the block would be hard to ignore. An addition of Rwanda and Burundi to this mixture would bring in some variety in language (French) and history (massacres, unfortunately).

But what areas of cooperation would benefit the people of East Africa? We can have enhanced economic cooperation, but must we be a single economy? We can be politically united but do we have to be one country? The union between Tanganyika and Zanzibar does seem to indicate that we can have a thoroughly integrated East African while remaining Tanzanians, Kenyans, Ugandans, etc (the etc hare meaning, of course, Rwandans and Burundians).

It would be useful, I suppose, to note here that there would be some interesting advantages in having the complete thing (a single country) out of these five entities. The Hutus of the new nation of East Africa would no longer see the rest of their countrymen as Tutsis. They would not want to machete the "rest of the country" out of existence because the "rest of the country" would then consists of Kikuyus, Chaggas, Baggandas, and above all, the warlike Maasai!

I guess a lot of the opposing people are looking at what they would be giving, in the event of a federation, and ignoring completely what they would be receiving. Tanzanians would be giving (sharing is a more opportune term) what is in Tanzania (land, jobs and natural resources) to Kenyans and Ugandans (etc), but they would be availing themselves of what is in Kenya and Uganda (a more developed industrial and educational infrastructure, factory jobs, natural resources). Tanzanians have gold (or so they think, for they really have sold it out) but they forget that Kenya almost certainly has oil, and Uganda does clearly have oil in the North.

Tanzanians feel that there is an English gap between them on one hand, and Kenyans and Ugandans on the other. Being isolationistic will surely keep it that way, but coming together will address the problem. Intermingling freely in one nation is a sure way of spreading out a language. Besides, if you cannot beat them then you should join them. We made a mistake by de-emphasizing English in the seventies; we should not make another mistake by refusing to live with those who did not make the same mistake. Hundreds of Tanzanians like to migrate to the US and be one with the Americans. They do not fear the higher educational and technical skills there, for they know that they will catch up with the Americans. Joining into one country with the Kenyans and Ugandans is a sure way of catching up with them.

The headquarters of the proposed nation of East Africa will almost certainly be in Arusha. Dar (or Dodoma if you like), Nairobi, Kampala (etc) would still have some form of parliaments, but the mother of all East African parliaments would be in Arusha. It is a substantial advantage. By the way, Arusha would provide an excellent excuse for those of us who like to live in the capital to move from Dar to Arusha. That would be a most welcome move, for we have learnt, over the years, that the weather in Dar is not conducive to human settlement. It is almost impossible to think in the kind of heat that one finds in Dar around this time of the year. No wonder I am just at this moment wondering about what it is that I am really trying to write here!

Augustine Moshi
 
AM

Why you didn't put your artical where it belongs. You're a senior member & expert, does this reflect your ideas?
 
Back
Top Bottom