Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

.....hujanikosea but mm ndio nakukosea wewe.....Am truly sorry, I don't deserve you.. Please move on without me...
Mkuu BILGERT ukiona maneno kama hayo amekutumia mwanamke basi fahamu wazi kabisa kuwa tayari amepata mwanaume mwingine na kipindi chote mlipokuwa pamoja alikuwa anaku-cheat. Sasa kuna ahadi atakuwa amepewa kutoka kwa huyo "mume mwenzio" ndiyo maana ameamua kuuvunja uhusiano wenu ili yeye aendelee kwa uhuru zaidi na huyo jamaa yake.

Ushauri wangu kwako ni huu, kwanza usimjibu kitu chochote kile, wewe kaa kimya kama utaweza kuvumilia lakini. Pili usijaribu kuanza kufanya Zinaa hovyo hovyo ili kuondoa mawazo, tayari umeshaumizwa hisia zako na ZINAA, sasa ukiendelea kufanya zinaa utaumia zaidi.

Nasema zinaa sababu huyo "mwanamke" hakuwa mkeo wa ndoa, mlikuwa mnafanya uasherati tu, hivyo hayo maumivi unayopata sasa hivi ni matokeo ya Uasherati wenu. Mwache yeye aendelee na Uasherati wake, ikiwezekana wewe tulia kisha jipange upya kupata "Mke wa ndoa" na siyo "mwasherati" kama huyo aliyekuacha.
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
nimecheka kiinglish na mimi
 
The myth is... madem katika ujana wao. Huwa hawataki nice guys, hata kama wanapesa huwa wanawatema.
Then ikifika umri wa kuolewa wanawataka nice guys kwa ajili ya ndoa.

Women are so confusing.
And controversial as well.
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
Kapata mwenye hela zaidi
 
.....hujanikosea but mm ndio nakukosea wewe.....Am truly sorry, I don't deserve you.. Please move on without me...
Mkuu BILGERT ukiona maneno kama hayo amekutumia mwanamke basi fahamu wazi kabisa kuwa tayari amepata mwanaume mwingine na kipindi chote mlipokuwa pamoja alikuwa anaku-cheat. Sasa kuna ahadi atakuwa amepewa kutoka kwa huyo "mume mwenzio" ndiyo maana ameamua kuuvunja uhusiano wenu ili yeye aendelee kwa uhuru zaidi na huyo jamaa yake.

Ushauri wangu kwako ni huu, kwanza usimjibu kitu chochote kile, wewe kaa kimya kama utaweza kuvumilia lakini. Pili usijaribu kuanza kufanya Zinaa hovyo hovyo ili kuondoa mawazo, tayari umeshaumizwa hisia zako na ZINAA, sasa ukiendelea kufanya zinaa utaumia zaidi.

Nasema zinaa sababu huyo "mwanamke" hakuwa mkeo wa ndoa, mlikuwa mnafanya uasherati tu, hivyo hayo maumivi unayopata sasa hivi ni matokeo ya Uasherati wenu. Mwache yeye aendelee na Uasherati wake, ikiwezekana wewe tulia kisha jipange upya kupata "Mke wa ndoa" na siyo "mwasherati" kama huyo aliyekuacha.
Mkuu Son of Gamba nashkuru saana Kwa ushauri wako Murua .Ntaufanyia kazii.Ubarikiwee
 
Deo mambo? Umeamua kuja humu kuomba ushauri?

Ur not a real man my dia

Kwahiyo wewe ulitaka jamaa afanyaje?

Halafu ni vizuri ukimrudishia hela zake kwanza kabla ya yote
 
ushauri mwingi humu ni move on!
ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe!
Kama unapenda kweli basi tafuta nini tatizo....pengine kanuna .....au anakujaribu ...anataka kupima unamjal au kumuhitaji kiasi
gani!
mapenzi yana tambo nyingi....
umejibu Brilliantly!!!
what a wisdom
Elementary psychology
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
Pole sana kijana,tatizo nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom