Well said broMkuu Bilgert
Love,
Is it anything and everything you hoped for?
Or do the feeling haunt you?
I know the feeling haunt you
Move on ma dude She's no longer yours
Thanks LMWell said bro
Atajua kwmb anavunga bora atulie kmya 2Mjibu hivi;-
"Ahsante bibie, but samahani unaweza kunitumia picha yako ili niweze kujua ni Dear yupi huyo?".
Then move on kama alivyokwambia.
Pole sana mkuu.
Mleta mada ameomba ushauri wa "amjibu vipi" huenda ameona kukaa kimya hawezi.Atajua kwmb anavunga bora atulie kmya 2
Kwani hyo ni dear? Me nmezoom nmeona kama ni Dee sijui ndo kifupi cha jina lakeMjibu hivi;-
"Ahsante bibie, but samahani unaweza kunitumia picha yako ili niweze kujua ni Dear yupi huyo?".
Then move on kama alivyokwambia.
Pole sana mkuu.