Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,075
Let her go shes no longer urs, aidha amepata mtu mpya au amerudiana na ex wakeMkuu, hata ukimya ni jibu pia. Yaani sijielewi hapa nilipo
Polee
Let her go shes no longer urs, aidha amepata mtu mpya au amerudiana na ex wakeMkuu, hata ukimya ni jibu pia. Yaani sijielewi hapa nilipo
Tena wasioridhika wanajua kuwa watakutana na yakijani au ya bluu,au watakutana na raini ambayo haina mishipaWanawake kama hao huwa ni wazinzi
Sio lazima umjibu,kwani ukimjibu atatafuta neno lingine la kukuumiza zaidi,na atajigamba kuwa huwezi ishi bila yeye,Mwache aende ipo siku atakukumbuka hata kwa sekunde na atakuwa ameshachelewaHahaa, Mimi kizungu hakipandi mkuu
Wewe sio wakwanza kuachwa au kuumizwa na mapenzi wala hutakuwa wamwisho ivyo amua kuishi bila yeyeInauma saana mkuu, Haya mambo yasikie tu
Hahah noma mdau anapitia kipindi kigum sana.Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.
Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.
Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?
Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
View attachment 836200
shukrani saana Kwa ushauri wako mkuu.usijaribu kujibu hiyo msg, nakuhakikishia baada ya siku mbili au tatu atakutafuta. Ukijibu na kuanza kulia lia hiyo ndio furaha yake.
hata akikutafuta usijibu labda akutafute kama mara 10 hivi ndio umjibu napo kwa malingo sana.
Kuna jamaa aliachwa na mwanamke na akaondoka kabisa nyumbani kwake.
Jamaa baada ya kuona kaondoka, akaenda kariakoo akanunua nguo za kike kama gauni, pichu, etc.
basi kila siku akawa anafua zile nguo na kuzianika nje,
kumbe yule mwanamke alikua anapita kuchungulia kama jamaa kapata mwanamke mwingine.
Basi kila akipita anakuta nguo zimeanikwa, siku ya kwanza akajikaza, ya pili , ya tatu baada ya wiki yule mwanamke uvumilivu ukamshinda ikabidi amtolee uvivu yule mwanaume. akawahi asubuhi sana akamkuta jamaa yule nje, akaanza kuwaka " unadhani naliogope hilo limwanamke lako bonge" jamaa akawa anacheka tuu..
sometimes wanawake wanafanya mambo kutujaribu na furaha yao ni kuona tunateseka kiasi gani kutokana na maamuzi yao, ila katika mambo ambayo huwaumiza wanawake ni kuona yule aliye mwacha anaendea vizuri na hata shida kabisa na amependwa na mwanamke mwingine.
Endelea na maisha yako bro, atakutafuta.
HahahahaaUshamgonga?
😛🙂😀U MADE MY DAYDah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi